U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

Tutaendelea kuchaguliwa viongozi na wapumbavu wachache akina makamba na wajinga wenzake kwa manufaa ya matumbo yao mpaka lini au mpaka tuanze kuwa vizia na manati ndiyo wajue tumewachoka
 
MIMI NILIDHANI BUNGE LA AWAMU HII LINGEKUWA KALI LKN WAMEANZA KULICHAKACHUA MAPEMA MNO. SITTA KUKOSEKANA KWENYE KILE KITI NI PIGO KWETU SAWA NA MSIBA MKUU. BORA WANA JF TUTANGAZE KESHO IWE SIKU YETU YA KUWEKA TANGA. MAXCENCE HAPO UPOOOO...........NAOMBA KUTOA HOJA!
:yield:
 
wakuu!

inavoonekana ni mama Makinda ndie mamlaka za juu zinamtaka,nasoma hapa kwenye gazeti la leo kwamba kalipiwa deni lake la bilioni 1 la kampuni yake,KWELI TUNA SPIKA HAPA??????
We are done!! Its all over, its all over... Sasa ni kujipanga kuwang'oa 2015. Wameshajipalia makaa na hasira za wananchi zitawashukia..
 
tuombe mungu ANNA ABDALAH asipate maana itakua PIUS MSEKWA karudi bungeni.
Nakumbuka yeye ndo alikua akitetea richmond bungeni
Mungu wangu mbona taabu hizi miaka mitano tena!!!
Mi naona tufanye mpango tuwachomoe Sitta na kina mwakyembe waje upinzani tufanye mapinduzi ya jumla maana hii ni kutuangamiza.
 
Usilaani ili nawe usilaaniwe! Angaliwa mabaya unayowatakia yasikurudie wewe. Mungu akusamehe.

Kikwete na Serikali yake ni chaguo la Mungu na Watanzania.
Mungu hawezi kusikiliza dua mbaya dhidi yao.

Sio chuguo la mungu wala watanzania bali ni chaguo la mafisadi wenzake
 
Anna Makinda...??, yaani always CCM chaguo lao Bovu, rooten, rubbish, hadi nakufa i never expect CCM to put a right, a know how personnels in proper positions, Sitta kaachwa walimweka Chenge ili kuzugia ili wamtoe Sitta, Mafisadi everywhere, huyu Anna kuongoza bunge hana lolote utaona anatoa toa MWANYA nje kakunja uso, haswa kwa upinzani hata hoja haijaisha kakatiza hafai, sintashangaa JK akimchagua Mkuchika kuwa Waziri wa Afya, Mwakyusa waziri wa Ngombe, mbuzi, kondoo na kuku pia bata:bathbaby: here we gooo, kila siku:A S thumbs_down: huko vichwani mwao:A S-confused1::A S-heart-2::kiss:😛reggers: najua mafisadi leo ni:tea::clap2: ila Sitta :frusty: nakusihi Sitta usiumize kichwa tupo pamoja:amen:

Mkuu wewe mtaalam wa lugha ya alama eenh!, nimeangalia nilikuwa sijaelewa ila baada ya kurudia mara tatu sina mbavu duh!
 
mafisadi ndio wanapanga nchi iendeshwe vipi wewe tulia tu hadi miaka yenu ifike mje kujiendesha wenyewe subirini hadi kizazi chao kiishe upo wao bado unafanana na ule wa kikoroni poleni sana
Subiri? Tumeshasubiri miaka 50. Kazi ishaanza hamna kisubiri hapa tena
 
We are done!! Its all over, its all over... Sasa ni kujipanga kuwang'oa 2015. Wameshajipalia makaa na hasira za wananchi zitawashukia..
huoni kama miaka 5 ni mingi sana pata picha mfumko wa bei itakuwa imefikia wapi...
 
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika:

1. Anna Makinda
2. Anna Abdallah
3. Kate Kamba

tamthiliya ya maigizo ndani ya CCM, wanachojaribu sasa ni kupandikiza spika atakaendeshwa na remote control, hebu tuone mwisho wa tamthiliya hii utaishia wapi
 
Duduwasha niambie kizazi cha hawa jamaa kitaisha lini wakati wameiunga kama ringi. January Makamba na Riziwani ndio hao wameshaandaliwa kabisa, na wao wanaandaa watoto wao vilevile. Kazi ipo.

Labda tuombe yatokee kwanza mapinduzi ya kijeshi, maana nina imani wapo wanajeshi wengi nao wanaumizwa na hali hii kutokana na baadhi yao kupewa vyeo bila hata kuwa na qualifications, huku wenye sifa wakiachwa.

Kaka mungi acha kuota ndoto! Usitegemee funza kama riz1 na janwari kuchukua madaraka ktk hii nchi wallah ntajitoa mhanga niwapoteze.
 
Mbombo jilipo ana makinda ni dictator ataharibu bunge , mungu isaidie tanzania

mzee gomezi

....hana ujanja huo,mwazoni atajaribu na akili yake ya CCM lakini atatia akili tuu,labda wafukuze wabunge wote wa upinzani maana last time walipojaribu kwa Zitto ndio ulikuwa ndio mwanzo wa mwisho wao
 
du! ina maana sitta nae atakaa na kina sugu!

...itabidi tuu,namwamiania mzee wa bongo flava atakuja na hoja ya nguvu na kuitetea kilivyo,mzee sugu anaonekana hajasoma na hana uzoefu lakini ukiangalia vizuri ameanza harakati zake za muda mrefu kupigana na dhuluma kwenye music industry wengi hawajui lakini huyu ni mpiganaji kisawasawa na anajua kujieleza,no worry kuna watu wengi nyuma watakuwa wanamsaidia kunyoosha hoja zake
 
Usilaani ili nawe usilaaniwe! Angaliwa mabaya unayowatakia yasikurudie wewe. Mungu akusamehe.

Kikwete na Serikali yake ni chaguo la Mungu na Watanzania.
Mungu hawezi kusikiliza dua mbaya dhidi yao.
Kikwete na Kishogo Ni chaguo la shetani
 
kwa hii move CCM (Kikwete) anataka a score points na nchi za ulaya wakati anafanya madudu yake
 
Back
Top Bottom