U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

kwa hii move CCM (Kikwete) anataka a score points na nchi za ulaya wakati anafanya madudu yake
 
Look, in this forum CCM can't do any better. Obviously Chenge wasn't gonna make it. Sitta is an idiot with his personal agenda who would use speakership not for the benefit of the country, but to advance his own ambitions. Anna Abdallah is the real deal. Kama hamtaki si muweke mgombea wenu? kwani mmekatazwa?

Besides, the largest block of voters in our country are women.
 
MAKAMBA,LOWASSA,KIKWETE,KINANA( msomalia),Rostam (muirani) nawahkikishia hili nalo litapita na nchi yetu itabaki mlaniwe na vizazi vyenu vyote. siku zinakuja mtalia na kusaga meno.
 
Hii habari imenisababishia homa............
kama kuna mtu mtaalamu wa dua jamani tuwasiliane mi ntachangia maana sipo tayari kuishi kwa shida na stress miaka mitano ni bora dua isomwe wapinduke hata na magari tukutane ahera.
Khaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! CCM mbona hawajuagi kusoma ramani jamani????
 
Hii habari imenisababishia homa............
kama kuna mtu mtaalamu wa dua jamani tuwasiliane mi ntachangia maana sipo tayari kuishi kwa shida na stress miaka mitano ni bora dua isomwe wapinduke hata na magari tukutane ahera.
Khaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! CCM mbona hawajuagi kusoma ramani jamani????
Sitta ana nafasi mbona... Tarajia mojawapo ya hizi:

  1. Waziri Mkuu
  2. Waziri wa Katiba na Sheria
Hii nafasi ilikuwa obvious aichukue Chenge, baada ya kugundua watu mshaanza kuharibu na kupata kwa Chenge kungeleta balaa basi ikabidi kisingizio cha 'kujali wanawake' kipate nafasi.

Haya ni mawazo yangu, yanaweza kupinduliwa anytime... Lakini la Januari halikwepeki, Wizara nyeti ya usalama wetu ataikwaa tu, kama JK ana guts asimweke kwenye Baraza lake la Mawaziri!
 
duuh mzee wangu sitta unaingia kwenye historia kuwa spika uliyesevu only one term..hahaaa na wewe ulizidisha sana mdomo banaa
 
Look, in this forum CCM can't do any better. Obviously Chenge wasn't gonna make it. Sitta is an idiot with his personal agenda who would use speakership not for the benefit of the country, but to advance his own ambitions. Anna Abdallah is the real deal. Kama hamtaki si muweke mgombea wenu? kwani mmekatazwa?

Besides, the largest block of voters in our country are women.

Crapppppp!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nadhani ile ripoti ya Mwinyi imesaidia sana kutoa mwongozo kwa kamati ya uchakachuaji kufikia hayo maamuzi yao.
Kwenye kamati alikuwepo Mwinyi, Msekwa (alipigwa chini alipogombea na six), na Kinana (a father of all known and unknown ufisadiz) kama sikosei.
Tegemea a positive narrative report ya kumtoa inzi ******.

Tusihuzunike wandugu maana hii ndo chance ya upinzani kuchukua kiti cha uspika. Hao akina mama wamezungukwa na mazongezonge ya kuwatoa thamani ya uadilifu.
Mimi natoa shilingi kwenye mshahara wa spika.....
 
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika:

1. Anna Makinda
2. Anna Abdallah
3. Kate Kamba

Kwa hivyo Mzee wa Vijisenti out, Sitta out!!!

Source: Channel 10 News Bulletin 3 minutes ago.

wataaram wakuchambuwa hayamajina kuna kibaraka wa mafisadi?
 
Makinda ni mkoloni yaani tutaludi enzi za Msekwa NIMESEMA KAAA CHINI
Marando anaweza chukua uspeaker bse kama chadema wako 45 then plus CUF NA NCCR na Wabunge wa CCM wasiompenda mama Makinda.
Mkuu nyumba ya sita si ilikuwa 500million?
 
walioteuliwa na ccm ni anna abdalla, kate kamba na anna makinda. Lengo ni kutoa fursa kwa wanawake kuongoza bunge. Source itv saa 4:30
 
Kate Kamba Profile [FONT=trebuchet ms,geneva]Kamba, Kate S. M.[/FONT]
[FONT=trebuchet ms,geneva] Salutation: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Honourable[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] [/FONT]
[FONT=trebuchet ms,geneva] [/FONT]
kamba.jpg

[FONT=trebuchet ms,geneva] First Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Kate[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Middle Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Sylivia,Magdalena [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Last Name: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Kamba
[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Member Type: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Elected[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Constituency: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] TANZANIA[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Political Party: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]CHAMA CHA MAPINDUZI [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Office Location: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]P.O. Box 35188, Dar es Salaam - TANZANIA[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Office Phone: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]+255 713 252544[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Office Fax: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Office E- mail: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva]Kate_kamba@excite.com This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Member Status: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Current Member
[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Start Date: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] 05 June 2007[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] End Date: [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] 04 June 2012[/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] Date of Birth [/FONT][FONT=trebuchet ms,geneva] [/FONT] Wasifu wake kwa ufupi.
Source: eala.org
 
Ngoja tuone baraza la mawaziri litakuwaje, inawezekana JK kamwomba Sitta awe Waziri Mkuu badala ya kuwa Spika.
 
Semeni mnacho taka juu ya CCM ila hawa watu wanaijua siasa. Michezo yote ya siasa wanaijua kwanzia propaganda, uchakachuaji, kuomba huruma ya wananchi nk. Kuweka mgombea spika mwanamke ni strategy. Hapa wana taka kutumia hisia kupata kura. Kwanza wanajua wanawake wote bungeni watampigia kura mwanamama mwenzao bila kuangalia itikadi za chama. Pili wanajua kama mgombea wao akishinda itakua ni mara ya kwanza kuwa na spika mwanamke kwa hiyo wata leta madai kwamba kweli wao ni chama cha "change". Najua kwa wengi hapa JF hii inaweza kuwa kichekesho lakini kwa wananchi wa kawaida mambo haya yana uzika sana.
 
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika:

1. Anna Makinda
2. Anna Abdallah
3. Kate Kamba

Kwa hivyo Mzee wa Vijisenti out, Sitta out!!!

Source: Channel 10 News Bulletin 3 minutes ago.

Sijui CC imepatwa na nini mpaka watudhara hivi!! Wametuona wajinga kiasi hiki, poa!!!!
 
Back
Top Bottom