Of course nia ya Chenge kumsakama Sitta ilikuwa ni dili ya Rostam, Lowassa na Mzee mzima ili kumng'oa Mr Six na kumweka Anna Makinda ambaye amedaiwa amekuwa kwenye kambi yao sasa.
Opposition wamchague Mabere Marando ili apambane na hilo chaguo la Rostam.
Sasa tutawaona wabunge wa CCM kama wameshakombolewa kifikra na kimaamuzi au bado wameshikiliwa na Rostam.
Inatakiwa wawaonyeshe akina Rostam, Lowassa, makamba, Chenge, Makinda na Mzee Mzima kuwa wao KWANZA ni WAWAKILISHI WA WANANCHI WOTE wa majimbo yao, na si wa CCM tu. wamchague MARANDO.
Hapo wabunge hao wa CCM wataheshimiwa na VIONGOZI, MAFISADI na WANANCHI WAO.