U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

MIMI NILIDHANI BUNGE LA AWAMU HII LINGEKUWA KALI LKN WAMEANZA KULICHAKACHUA MAPEMA MNO. SITTA KUKOSEKANA KWENYE KILE KITI NI PIGO KWETU SAWA NA MSIBA MKUU. BORA WANA JF TUTANGAZE KESHO IWE SIKU YETU YA KUWEKA TANGA. MAXCENCE HAPO UPOOOO...........NAOMBA KUTOA HOJA!
:yield:

Wewe Paulo vipi? Unahoji upumbavu wa Spika kujenga ofisi ya Spika Urambo kana kwamba atakuwa Spika milele, na hapohapo unasikikitika Sita kuukosa Uspika, whose side are you on? To me , it's good riddance, jamaa alijisahau sana , kila siku kudai mabodigadi, kukataa nyumba ya spika na kupanga nyumba ya dola 7000 kwa mwezi. NA AONDOKE !!!
 
Hapa naona tunajaribu kuchagua yule mwenye uafadhari katika Ufisadi na kumvisha kilemba cha manyasi apendeze
Hata Chief Adam Sapi hakujenga ofisi ya Bunge Kalenga.
Kwa hiyo Spika President na Troupe zima la CCM wamejipakaza Ufisadi
Hatuna haja ya kujitia hofu ,huyo spika aje tu vijana wetu wapo makini na ni wengi.
Anna makinda au yeote yule kibano cha hoja hakiangalii Makunyazi pajini.
 
ilikuwa ni ufisadi kupitisha ofisi ya bunge kujengwa jimboni kwa spika aliyeko madarakani kwa wakati huo.

hivi kila baada ya miaka mitano tutajenga ofisi mpya?
 
Sasa kwanini hakuwaambia wanaume wasiombe hiyo nafasi?

CCM hapa wamelikoroga kwa mara nyingine. Kwa mtazamo wangu, ambao sio lazima ukubalike na wengine, ni kwamba katika jitihada za kuziba nyufa ndani ya CCM ambazo zingegeuka kuwa malipizo ya visasi, CCM wameamua wampe uspika candidate ambaye yuko neutral au angalau u afadhali.

In the minds of CCM centra committee members Vita vya Chenge & Co against Samwel Sitta & Co would obviously cement internal division had either camp won. This perception or call it fear of politics of intimidation and revenge within CCM benefit less politically vocal candidates who, by default, happened to be women. For it weighs difficult for cc to directly associate them to a particular faction; therefore, cc can in principle convince itself that the will-be elected CCM speaker is at least as impartial as it can be established. If my assertion above is correct, I'm afraid CCM is on a self-destruction mode because electing neutral paliament speaker doesn't disolve fighting factions. CCM central committe needs to identify, confront, and punish the shit-disturbers instead of covering them up and in process purnishing members of good will.

I think, for the good of CCM and the country as a whole, CCM elected members of parliament have all the good reason to vote for Marando or anyone from opposition. It is left for wapiganaji to rescue CCM from becoming a defunct because a speaker from opposition is likely to bring on issues that are likely to filter out the goods and the bads within CCM, and when this happens CCM will either resolve internal differences or have mafisadi resign or defect to another party at the expenses of public disgrace.
 
kwa hiyo anatuambia speaker atachaguliwa kwa ajili ya uanauke wake tu na sio utendaji?

kwangu naiita ni dharau kwa huyo mwanamke atakaechaguliwa.
 
Mimi nafikiri hawajalikorogoa, kwasababu nia yao siku zote ni kufanya kwaajili yao binafsi. Kwa maana hiyo ili wafanikiwe ni lazime waweke mtu atakae wasaidia kufanikisha matakwa yao. Watanzania imefika wakati wakukataa mambo bila kupitia chama. Kwasababu tukisubilia chama kitusaidie CCM hataelewa, ni lazima tukatae mambo mengine. Kama hili ni la kukataa waziwazi. Giza linaingia tunaongelea vyama, tuache tofauti zetu za vyama na tuikomboe nchi.
 
Hapo ndipo ccm wanaponiacha hoi. Yaani walimweka Chenge makusudi ili baadae watu wapige kelele then wawatoe yeye na Sita ionekane ni mpango wa kawaida. Japo simpendi sana 6 kwani ana madudu yake lakini alikuwa afadhali, sioni namna spika wa kike akiweza kumudu mambo na kuweka mambo kwa uwazi kama alivyojaribu 6. Pia hawezi shindana na mafisadi ASILANI.
 
Na kwa nn akajenga ofisi ya hivyo kwake? Tena akamkaribisha JK kufungua ina maana mkwere alikuwa anamcheka kimoyomoyo maana alijua atapigwa chini tu au sio, ha haaa kweli mkwere yuko juu. Pia ina maana JK hakupenda jamaa abaki spika maana ataweka wazi mambo yao mabaya. Pole 6 ndo ukubwa huo. Ungekuwa US ungeandika kitabu na kupata pesa nyingi tu lakini hapo usijaribu maana unajua kitachotokea. They dont play games.
 
Sababu za sitta kupigwa chini ni hizi. Moja: alikosana na makamba pale alipotoa hukumu bungeni iliyoonekana kumdhalilisha makamba dhidi ya swala la ufisadi wa ardhi lililoibuliwa na halima mdee lililomuhusisha pia londa (meya wa jiji). Pili: alitoa ushauri kwa rais kijwete kwamba wakati mwingine inabidi awe mkali. Watu wengine wenye mawazo finyu walitafsiri ushauri huu kama kumfundisha rais kazi. Tatu: sitta alinusurika kuvuliwa uanacha mwaka jana kwa kile kilichoelezwa na chiligati eti sitta aliacha kazi yake ya u referee nae lageuka mchezaji uwanjani. Swali la kujiuliza je ni kweli serikali ya ccm inasimamia maslahi ya taifa au ya chama?! Wamemteua anna abdala ambaye aliwah kumponda anne kilango bungeni eti anaongea kwa jazba na kupayuka. Hvyo huyu nae yuko kmambi ya mafisadi. Makinda anajulikana kwa kuzima hoja za wapinzani na ni mbabe aliyepindukia nakumbuka aliwbhi kukwaruza na marehemu chacha wangwe na kumtisha eti hajui madhara ya kubishana na kiti cha uspika. Wangwe alimjibu akisema "i have my rights". Huyu mwingine wa tatu simfahamu vizuri....RAI yangu kwa wabunge "makini" wa ccm ni kwamba waungane na wapinzani kuchagua spika kutoka kambi ya upinzani ili mambo yaende sawa kwani dalili zinaonesha ccm inasubiri kuzikwa tu..
 
Hakika nchi hii sasa mafisadi wameiweka kiganjani yameamua kutumia pesa kupandikiza vibaraka wao ili walinde maslahi yao na kuzima hoja muhimu. Kwa hali hii mwaka huu bungeni kutachimbika kama watapita wakina anna natabiri kutatokea vurugu mechi kati ya spika na baadhi ya wabunge na kama kiti cha spika kingekua karibu na viti vya wabunge huenda ngumi zingetembea. Natabiri pia kuna wakati wabunge wa upinzani watasusia maamuzi ya spika.
 
Mimi ngeni sana janvini labda hii ndo post yangu ya kwanza.....!lkn hili limeneuma sana na siamini kama inawezekana kutokea.
For [neno baya] [neno baya]hivi nikweli kuna ofisi ya spika imejengwa jimboni kwake...!?sihoji yeye kuendelea kuwa spika lkn suala la kujenga ofisini ya spika jimboni kwake na raisi kufungua...!haiingii kabisa katika tundu lolote la mwili wangu [samahani sana waungwana].
timekwisha watanzania.Serious nafuta machozi kama si kweli naomba aliyesema uongo atububu hii dhambi .sitaki kuamini nasema sitaki kuamini...!tunakokwenda siko kabisa afadhali tulipotoka.
Mwenyezi mungu tusaidie sisi Watanzania,saidia Tanzania.
AMEN.
 
"Watawala wetu ni wanasiasa wa kawaida ambao wanapenda sana kutawala, hata kama hawana uwezo wa kutawala; na ambao wako tayari hata kuhonga ili wachaguliwe kuwa watawala, na wakisha kuchaguliwa hawatoki bila kulazimishwa. Si busara kuwaachia wao wenyewe ndio wawe waamuzi wa lini waache kuwa watawala" - JK Nyerere
 
Kambi ya sitta this tym haiko strong imechakachuliwa kuanzia kwenye kura za maoni
1.Alyoce kimaro
2.mpendazoe
3.......et al
 
Very sad information kwangu na watanzania walioko nyumbani manake hata
nimeshindwa kwenda kubeba mabox baada ya kupata hii taarifa huwa namku
bali sana Sitta akiwa mjengoni.Naona mafisadi wameshinda kwa kuwa na haya
majina wataweza kuliendesha bunge wanavyotaka ila sijajua nafasi ya unaibu spika
ccm nani kapita,Tunaomba wabunge wote waungane wamtafute spika mwingine tu
 
nimefurahi sana sitta kung'oka nafasi ya uspika. aliniboa sana alipoahidi viwango na kasi na kisha kushirikiana na chama chake kuzia mijadala muhimu bungeni. nilijua tu angeng'oka, alionyesha udhaifu mkubwa sana. badala ya kuwamaliza wale mafisadi aliishia kuwajeruhi, sasa unadhani simba ukishamjeruhi atakapokujia atakuja akikuchekea? aende tu, hapo atakayepata ni makinda na kwake huyo, bunge litalia, namsikitikia tundulisu na ukereketwa wake atakavyokuwa anaburuzwa kama zezeta vile huku wabunge wa ccm wakipiga makofi ya nguvu!! mechi ya safari hii si ya kukosa!
 
Sababu za sitta kupigwa chini ni hizi. Moja: alikosana na makamba pale alipotoa hukumu bungeni iliyoonekana kumdhalilisha makamba dhidi ya swala la ufisadi wa ardhi lililoibuliwa na halima mdee lililomuhusisha pia londa (meya wa jiji). Pili: alitoa ushauri kwa rais kijwete kwamba wakati mwingine inabidi awe mkali. Watu wengine wenye mawazo finyu walitafsiri ushauri huu kama kumfundisha rais kazi. Tatu: sitta alinusurika kuvuliwa uanacha mwaka jana kwa kile kilichoelezwa na chiligati eti sitta aliacha kazi yake ya u referee nae lageuka mchezaji uwanjani. Swali la kujiuliza je ni kweli serikali ya ccm inasimamia maslahi ya taifa au ya chama?! Wamemteua anna abdala ambaye aliwah kumponda anne kilango bungeni eti anaongea kwa jazba na kupayuka. Hvyo huyu nae yuko kmambi ya mafisadi. Makinda anajulikana kwa kuzima hoja za wapinzani na ni mbabe aliyepindukia nakumbuka aliwbhi kukwaruza na marehemu chacha wangwe na kumtisha eti hajui madhara ya kubishana na kiti cha uspika. Wangwe alimjibu akisema "i have my rights". Huyu mwingine wa tatu simfahamu vizuri....RAI yangu kwa wabunge "makini" wa ccm ni kwamba waungane na wapinzani kuchagua spika kutoka kambi ya upinzani ili mambo yaende sawa kwani dalili zinaonesha ccm inasubiri kuzikwa tu..
Mwingine huyu (Niliyem-highlight) ni mwanasiasa wa siku nyingi ambye miaka ya karibuni amejihusisha na biashara na ambaye kwa pamoja na Mama Mkapa "walibinafsishiwa" mradi wa shamba la kuku la taifai Gongo (NAPCO) la Mboto lililokuwa na nyumba, ofisi kadhaa na eneo kubwa sana la ardhi kwa bei ya kutupwa na kujenga iliyokuwa ikijulikana kama Liku Secondary School na sasa nasikia ni tawi la Kampala International University - Dar Es Salaam. Sidhani kama huyu atapambana na ufisadi baada ya kuonja na kufaidi matunda yake.
 
Back
Top Bottom