U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

IMG_8583%5B1%5D.JPG


Sio mbaya tuligeuze hospitali
 
Look, in this forum CCM can't do any better. Obviously Chenge wasn't gonna make it. Sitta is an idiot with his personal agenda who would use speakership not for the benefit of the country, but to advance his own ambitions. Anna Abdallah is the real deal. Kama hamtaki si muweke mgombea wenu? kwani mmekatazwa?

Besides, the largest block of voters in our country are women.

Can any body specifically tell us ...?

1. What was Sitta`s personal agenda..?
2. How he didnt use the speakership for the benefit of the country?
3. What was his ambitions?

 
Taarifa kutoka kikoa cha Kamti Kuu ya CCM jana huko Dodoma zinaonyesha kuwa Mhe Samwel Sitta alituhumiwa kusababisha vyama vya upinzani kuwa na nguvu sana kiasi cha kutwaaa majimbo kadhaa yalikuwa yakimilikiwa na CCM na kuhatarisha nafasiu ya CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, kutokana na tabia ya kuwapatia nafasi sawa wabunge kutoka kambi ya upinzani kinyume na mpango makakati wa CCM wa kunyimwa wapinzania fursa za kujitambulisha ipasavyo kwa watanzania.

Katika kujitetea Mhe Samwel Sitta alinukuliwa akisema kuwa alilazimika kufanya hivyo kama njia pekee ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma mbali mbali kama vile Afya , Elimu, Maji, Barabara n.k kutoka kwa watendaji wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa kwa kutumia fedha zinazotengwa na Serikali. Hii ni kutokanana watendaji wa Serikali Kuu na zile za Mitaa kuamua kufanya ufujaji wa fedha za miradi ya maendeleo kutokana na kikithiri kwa tabia na mwenendo wa CCM kulindana hususana viongoizi wake mbali mbali wanaokabiliwa na tuhuma nzito nzito.

Akadai kwa kuwapatia wapinzani uongozi wa nafasi nyeti za ukaguzi wa mahesabu ya Serikali Kuu na zile za Mitaa na kuwapatia fursa pana ya kuikosoa Serikali, watendaji wa Serikali Kuu na za Mitaa waliogopa kufanya ufujaji mkubwa na anagalau huduma kidogo kuwafikia wananchi, tofauti na kama nafasi hizo asingezitoa kwa wapinzani.

Alidai tofauti na hali ilivyokuwa enzi za uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ambapo masuala nyeti ya Kiserikali yalikuwa hayajadiliwi hadharani hata katika vikao vya bunge kama alivyoruhusu lakini vikao vya TANU na CCM chini ya Mwalimu Nyerere vilikuwa havisiti kumchukulia hatua za kinidhamu kiongozi yeyote anayekiuka maadili ya uongozi. Na katika kusisitiza hoja yake akadai kuwa hata ndani ya kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM wapo wezi wa mali ya umma ambao wanalindwa kwa udi na ubani.


Naomba kuwasilisha!!!!!!!
 
Sitta alikuwa na mapungufu ya wazi yafuatayo:
-Kunogewa na hoja na hasa hoja hiyo inapomwandama asiyemtaka yeye.
-Kubadilikabadilika kimsimamo. Hii ni taabu ya makabila mengi ambayo hata wanaume hawaendi jandoni.
-Ni mgonjwa sana wa umaarufu. Kwa nafasi yake ya Uspika alipaswa kuwa mtu mashuhuri sio maarufu.
-Ni mnafiki Sitta wetu. Atakuchekea huku anakumaliza ili mradi haumuungi mkono.
-Anajisahau Sitta wetu. CCM ndio iliompa Uspika. Alitakiwa kuliongoza Bunge kwa tahadhari kubwa.
-Ana ujasiri wa muda tu. Akitikiswa kidogo anayumba hasa.
-Hana ushirikiano mzuri na wasaidizi wake akiwemo aliyekuwa Naibu wake. Uspika kama Urais ni TAASISI.
-Anaongea maneno mengi kwa watu wengi. Anapenda kuhurumiwa na watu kama Mzee Mengi.
-Haanzi jambo akalimaliza vizuri.
-Ni mzee wa vimada sana tu.
 
kashika mpira ndani penati box na refa nyie 2015 mtafanyaje?
 
Inawezekana ni nafasi nzuri kwa upinzani lakini itategemea na nani atasimamishwa>
Sina uhakika sana na Mabere Marando kama anauzika.
Mabere Marando is a questionable character. He is one of the founders of NCCR-MAGEUZI. All of them have question marks on their backs. Wabunge wa CCM walimzawadia Ubunge wa Afrika Mashariki kwa upande wa upinzani ili kumkosesha yule aliyekuwa amependekezwa na upinzani. Kwa shukrani zipi?
 
nimewahi kwenda Njombe kwa kazi fulani ambayo ilihitaji kupolelewa na mbunge na hivyo mama huyu alikuwepo and gawd!
Nimewahi kuona watu wenye upeo adimu ila huyu kazidi, dah! Hajui kuchonga, hana lugha ya kisiasa na inaonekana ni mnoko. Sijui bwana!
 
Ahaa nimeipata hiyo. kweli pesa za ufisadi zinafanya kazi,lakini namshauri Mh. SITTA asubiri mwaka 2015 aje achukue form za uraisi,ila sasa wale wanawake wataweza uspika au ndo kubeba mafisadi,HAKUNA BUNGE litakuwa la ajabu kama hili.
 
Leo bungeni ndo tutakapoona wabunge wa CCM kama wanatetea maslahi ya Taifa au ya Mafisadi
 
CCM imependekeza majina matatu kwa nafasi ya uspika yaani Kate Makamba, Ana Abdalah na Ana Makinda,

Ina maana Chenge na Sitta ndio basi?

source : Chanel Ten
nimekusa jibu apo:smile-big:
 
The Following User Says Thank You to Safari_ni_Safari For This Useful Post:

Masikini_Jeuri (Today)​





Hivi ni kwanini haikujengwa Idodomya?
ubinafsi, choyo, uchu wa madaraka, utemi na kuupenda utawala. na kwa hilo dalili za ufisadi wa kinamna namna zipo ndani yake. Ndio maana nasema siku zote HAKUNA MSAFI KATIKA VIONGOZI WA SASA TANZANIA. (simaanishi wote hapo):smile-big:
 
Mh. Sita:
Pole na 'ajali za kisiasa' ulizokumbana nazo huko njiani:
Ujumbe wangu kwako na wapiganaji wenzako dhidi ya ufisadi et al ni huu:
kama unamapenzi mema na nchi wewe pamoja na wapiganaji wenzako katika magwanda ya kijani basi kwa leo mwaweza kuvaa magwanda ya kaki katika mioyo yenu na kumpigia kura za ndiyo Mh. Marando hili tulete shime na ushindi kwa wananchi!
Wakatabahu:
Shadow.
 
Mh. 6 bado unamasaa machache ya kuchukua hatua sahihi!:smile:
 
Umeongea point mkuu! Otherwise hili bunge litaongzwa ma majambazi! Huyu mama atafanya kazi kama "alivyoagizwa" sio kwa utashi wake mwenyewe!!
 
Back
Top Bottom