U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika:

1. Anna Makinda
2. Anna Abdallah
3. Kate Kamba

Kwa hivyo Mzee wa Vijisenti out, Sitta out!!!

Source: Channel 10 News Bulletin 3 minutes ago.
 
Wameteuliwa Anna Makinda, Anna Abdallah na Kate Kamba.
Habari ndiyo hiyo!
 
CCM imependekeza majina matatu kwa nafasi ya uspika yaani Kate Makamba, Ana Abdalah na Ana Makinda,

Ina maana Chenge na Sitta ndio basi?

source : Chanel Ten
 
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika:

1. Anna Makinda
2. Anna Abdallah
3. Kate Kamba

Kwa hivyo Mzee wa Vijisenti out, Sitta out!!!

Source: Channel 10 News Bulletin 3 minutes ago.

Bado CCM wana MTIHANI mkubwa!
 
Kwa habari niliyoisikia kwenye taarifa ya habari channel ten, ni majina matatu yamepitishwa kugombea uspika, nayo ni ANNA ABDALLAH, ANNA MAKINDA NA KATE KAMBA.

SITTA NA CHENGE OUT. Fuatilia habari ya saa mbili
 
Kamati kuu imepitisha majina matatu kugombea uspika -- Anna Makinda, Anna Abdallah, Kate Kamba. Source: Channel Ten 7pm news bulletin

Kazi ya Chenge kumuharibia Sitta imefanikiwa!

Leo Rostam Aziz, Edward Lowassa, Nazir Karamagi na Andrew Chenge hawalali kwa furaha!

Kigumu Chama Cha Mapinduzi!
 
Nilitegemea hilo kwani lengo la Chenge kugombea ulikuwa ni mpango wa kumchomoa Sitta ili asijekulalamika,mpango huo ulikuwepo sana na sishangai sana,:smile-big:
 
Chama kushika hatamu!

Spika hapo ni Mhe Makinda, ...opposition kilio!

Mhe Ndugai naye atachukua umakamu.
 
Kamati kuu imepitisha majina matatu kugombea uspika -- Anna Makinda, Anna Abdallah, Kate Kamba. Source: Channel Ten 7pm news bulletin

Kazi ya Chenge kumuharibia Sitta imefanikiwa!

Leo Rostam Aziz, Edward Lowassa, Nazir Karamagi na Andrew Chenge hawalali kwa furaha!

Kigumu Chama Cha Mapinduzi!

sad news. Nafikiri sasa ni wakati muafaka tukawa na spika kutoka kambi ya upinzani
 
Kwa staili hii Mabere marando anaweza kupata nafasi ya Uspika kwani tunahitaji wabunge 72 tu kutoka CCM
 
Chama kushika hatamu!

Spika hapo ni Mhe Makinda, ...opposition kilio!

Mhe Ndugai naye atachukua umakamu.

Vyovyote vilivyo -- naenda kunywa pombe sasa hivi kwa kusherehekea kutoswa kwa Vijisenti!
 
Kazi ipo, Hapo ni piga ua galagaza mteule ni Makinda ila huyo mama japo mnoko kinoma lkn ataipata fresh toka kwa moto wa upinzani!!
 
Back
Top Bottom