U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

WanaJF,
Mama ANNA ABDALA ndiye speaker wetu kuanzia leo.

PM anabaki MIZENGO PINDA.

Mawaziri wengi mwaka huu ni kinamama tuu, wanaume imekula kwao.

MwanaJF Dodoma.
Yaonyesha uko kwenye mchakato!
Ila wengi wanadhani ni Anne Makkinda!
Labda thibitisha kwa vigezo!
Aksante.
 
kwa kweli si habari nzuri kwa watanzania, ingawa Sitta naye aliwabania sana wapinzani (alichelewesha sana mijadala na pia kuruhusu mijadala kufungwa ili hali haijakamilika)


Chenge hakuwa anautaka uspika bali alitumwa na genge la waathirika wa mijadala akina EL,RA ili kumvurugia sitta, ndiyo maana aliongea na vyombo vya habari kumshambulia Sitta. Hii ilikuwa makusudi ili kuwafanya wabunge wa ccm wafikirie mara mbili kuhusu sitta.
Chama pia kilimtuma chenge ili Sitta asijelalamika kuwa kuna rafu maana akisema ataambiwa mbona chenge hajalalamika.
Kuhusu Sitta, huyu mzee ana nguvu kubwa ya umma nyuma yake.Kosa lake ni pale alioamua kumuua nyoka kwa kumpiga mkiani. Baada ya kutishwa kunyang'anya uanachama basi akaamua kufunika mijadala yote inayohusu mafisadi akidhani mafisadi watafurahi. Kumbuka CC na NEC wamejaa mafisadi, sasa wakati wa kulipa kisasi wameutumia vyema. Sitta angesimama imara angerudi bungeni, mbona Shibuda amerudi? Hapa wa kumlaumu ni Sitta mwenyewe kwa kusita sita wakati wa vita.
 
Ni Vizuri kuwa na Mwanamke wa Kwanza Speaker lakini sio hao watatu --- Wote ni Ndio Baba CCM; hawana nguvu za kuleta Mabadiliko na Usawa kama alivyokuwa Samwel Sitta; NCHI YETU INAKWENDA WAPI? yaani Mafisadi Wameshinda just election imeisha haijapita siku saba.

Sasa naona Hawatamuweka Justine Muhagama -- yeye angetakiwa kupambana na hao akinamama she's better na ana haki...

Kikwete Kikwete; Tanzania itabomolewa na mwenye moyo

Inapendeza unapompata kiongpozi mwanamke aliyeshinda kwa uwezo wake na sio kwa kumkwepesha kupambanishwa na wanaume kwa kusherea kuwa angeshindwa.
 
Aaagh hii nchi inahiaji ukombozi. CCM inatuburuza buruza tuu. Revolution Redeeem itakuja tuuu
 
Hvyo vikongwe vi-Anna havifai kuwa spika, havina guts za kugusa mambo ya mafisadi. Natamani sana jamaa wa CUF, Hamad Rashid angekuwa spika....ana akili, ujasiri na hekima...such a great guy!
 
haya tena vita vya panzi furaha kwa kunguru,hii ni nafasi kwa chadema kuchukuwa uspika
mapinduziiiiiii daimaaaaa
 
Ubabe usio na mantiki dhidi ya hoja za wapinzani na wanaopambana na ufisadi, umemwezesha huyu mama 'kuula' uspika.

Lakini nikijikumbusha umbumbumbu wa huyu mama kwenye masuala ya sheria za nchi na kanuni za bunge, nachelea kusema huyu mama atakuwa zaidi MC. Sio Spika...
 
Usilaani ili nawe usilaaniwe! Angaliwa mabaya unayowatakia yasikurudie wewe. Mungu akusamehe.

Kikwete na Serikali yake ni chaguo la Mungu na Watanzania.
Mungu hawezi kusikiliza dua mbaya dhidi yao.
Chaguo la Mungu yupi! huyu Mungu wa shehe Yahaya!
 
Atakuwa anapokea maelekezo toka kwa Waziri Mkuu na kuyatelekeza kama alivyoyapokea
 
Yaani wanataka mwanamke hata kama hana uwezo! Huyo spika mwanamke akibanwa ataanza kulia kama Zakia Meghji kuwa walimbana kwa sababu alikuwa mwanamke. Pia nafikiri mwanamke ana sifa mbaya ya kudanganywa kirahisi - mfano Eva/ Hawa alivyodanganywa na nyoka kule Eden; Zakia Meghji alivyodanganywa na marehemu Daudi Balali na kuingia mkenge.

Sasa tusubiri jinsi Anna Makinda atakavyodanganywa na mafisadi na kuingia mkenge wa nguvu!!
 
Amini usiamini matokeo ni haya

TATHMINI YA UCHAGUZI MKUU MWAKA HUU WA 2010REGIONAL # OF VOTERS VOTERS TO VOTE KIKWETE LIPUMBASLAARUNGWEPETERMUGAHYWA TOTAL WINNER BY REGIONALARUSHA 831,827.00 540,687.55 179,240.00 10,814.00 349,011.00 220.00 500.00 902.00 540,687.00 SLAA DAR ES SALAAM 1,786,290.00 1,161,088.50 464,435.40 104,497.97 580,544.25 3,000.00 5,500.00 3,110.00 1,161,087.62 SLAA DODOMA 1,032,372.00 671,041.80 416,045.92 26,841.67 221,443.79 2,000.00 2,000.00 2,710.00 671,041.38 KIKWETE IRINGA 921,054.00 598,685.10 239,474.04 11,973.70 341,250.51 1,986.00 2,100.00 1,900.00 598,684.25 SLAA KAGERA 1,155,770.00 751,250.50 308,012.71 7,512.51 428,212.79 2,000.00 2,512.00 3,000.00 751,250.00 SLAA KIGOMA 768,797.00 499,718.05 264,850.57 134,923.87 94,946.43 1,997.00 1,560.00 1,440.00 499,717.87 KIKWETE KILIMANJARO 912,542.00 593,152.30 166,082.64 5,931.52 415,206.61 1,930.00 2,000.00 2,001.00 593,151.78 SLAA LINDI 508,193.00 330,325.45 188,285.51 109,007.40 32,032.00 200.00 300.00 500.00 330,324.91 KIKWETE MANYARA 634,065.00 412,142.25 98,914.14 4,121.42 304,985.27 2,000.00 121.00 2,000.00 412,141.83 SLAA MARA 813,330.00 528,664.50 200,892.51 10,573.29 315,198.00 1,405.00 500.00 95.00 528,663.80 SLAA MBEYA 1,275,389.00 829,002.85 265,280.91 24,870.09 530,561.82 8,000.00 200.00 90.00 829,002.82 SLAA MOROGORO 1,122,583.00 729,678.95 496,181.69 145,935.79 80,264.68 500.00 600.00 6,196.00 729,678.16 KIKWETE MTWARA 731,444.00 475,438.60 247,228.07 180,666.67 38,035.09 8,500.00 750.00 258.00 475,437.83 KIKWETE MWANZA 1,659,641.00 1,078,766.65 409,931.33 21,575.33 636,472.32 2,000.00 787.00 8,000.00 1,078,765.98 SLAA PWANI 562,373.00 365,542.45 201,048.35 109,662.74 51,175.94 655.00 1,500.00 1,500.00 365,542.03 KIKWETE RUKWA 668,817.00 434,731.05 239,102.08 18,790.00 174,500.00 350.00 1,542.00 446.00 434,730.08 KIKWETE RUVUMA 710,579.00 461,876.35 318,694.68 25,454.00 116,727.00 245.00 500.00 255.00 461,875.68 KIKWETE SHINYANGA 1,650,632.00 1,072,910.80 343,331.46 25,450.00 697,392.02 1,200.00 1,450.00 4,087.00 1,072,910.48 SLAA SINGIDA 668,697.00 434,653.05 226,019.59 12,500.00 195,593.00 520.00 8.00 12.00 434,652.59 KIKWETE TABORA 1,000,091.00 650,059.15 273,024.84 162,514.79 213,519.00 250.00 700.00 50.00 650,058.63 KIKWETE TANGA 1,031,239.00 670,305.35 375,371.00 201,091.61 90,842.00 1,200.00 1,412.00 400.00 670,316.60 KIKWETE 20,445,725.00 13,289,721.25 5,921,447.41 1,354,708.36 5,907,913.52 40,158.00 26,542.00 38,952.00 13,289,721.29 %44.5610.1944.450.300.200.29 100.00 MIKOASLAA10KIKWETE11JUMLA

Tafadhari hii table yako iweke kama attachment, halafu mbona umeyaweka kwenye thread tofauti? Tafuta ile thread uliyoanzisha halafu uweke attachment.
 
Sasa kwanini hakuwaambia wanaume wasiombe hiyo nafasi?

Sitta alitakiwa aondoke kwa aibu kwenye nafasi hiyo. Kama wangewaambia wanawake pekee waombe wangemuepusha na aibu ya kuwa Spika wa kwanza kutumika kwa kipindi kimoja tu na kubwagwa na wazee wenzake wa CC.

Mimi nadhani ana deserve kung'olewa kwenye uspika kwani mwishoni mwa uspika wake alibadilika na kuwa boot licker mzuri kwa kufunika kombe la Richmond ili mwanaharamu apite. Alifunga mjadala wa Richmond wakati kulikuwa na mambo mengi ambayo yalikuwa bado hayajajibiwa. Kitu ambacho hakujua ni kuwa mafisadi walishamkamia na wasingemsamehe kwa kuwaumbua hadharani.
 
TUNATAKA spika wa kike.
wanataka wao au taifa ndilo linataka????

CCM walisha fanya taifa hili ni mali yao, thus why wanadiliki kusema "tunataka Spika mwanamke" with no strong reasons.

Kikubwa hapa waha jamaa wanataka kuliongoza Bunge kwa kupitia Spika pandikizi ili kufanikisha mambo yao. Safari hii Bungeni zitapigwa
 
Hata mimi nadhani atakuwa Anna Abdallah, huyu mama kachoka, hana elimu kabisaa yaani ni mbumbumbu, Hajui maana ya Siasa za vyama vingi na ni Pro.Mafisadi kwa hiyo makamba kama kuhani wa mafisadi na kiongozi wa siasa za majitaka atamtaka huyu mama.

Pia tukumbuke kuwa Makamba ni mbumbumbu na Jeikei hana tofauti na makamba kibusara licha ya kuwa na kadigrii kakudesa

naunga mkono hoja. Spika Anna Abdallah
Naibu atakuwa Job Ndugai
 
Back
Top Bottom