U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

Ni Vizuri kuwa na Mwanamke wa Kwanza Speaker lakini sio hao watatu --- Wote ni Ndio Baba CCM; hawana nguvu za kuleta Mabadiliko na Usawa kama alivyokuwa Samwel Sitta; NCHI YETU INAKWENDA WAPI? yaani Mafisadi Wameshinda just election imeisha haijapita siku saba.

Sasa naona Hawatamuweka Justine Muhagama -- yeye angetakiwa kupambana na hao akinamama she's better na ana haki...

Kikwete Kikwete; Tanzania itabomolewa na mwenye moyo
 
Tatizo la nchi hii ni JK mwenyewe. He cannot provide LEADERSHIP. Yupo na anaheshimiwa kama vile tunavyoiheshimu bendera. He has nothing to do with leadership.

KUKOSEKANA KWA LEADERSHIP KUTATUPELEKA KUBAYA! NCHI INAENDA KAMA GARI LISILO NA BREKI KWENYE MTELEMKO WA MLIMA KITONGA. YOU CAN GUESS KITAKACHOTOKEA KWA GARI HILO NA WALIOMO
 
Sasa ni zamu ya Mwakyembe kunyolewa na mafisadi. Ajiandae tu kwa kuzitia maji.
 
CCM unaowaulizia hawapo ndugu yangu,yan wote ni .................................................
 
Anna Abdallah hafai. Ana Makinda nae hovyo. JK na chama chake CCM aka CHAMA CHA MAFISADI aka CHAKACHUA MATOKEO hawana lolote wamemwogopa Sita atawapa wakati mgumu Bungeni.

Pamoja na uozo wote huu utawashangaa watanzania tena wengine wakiwamo wasomi uchwara wanashangilia.

Ngoja wawaweke tu hao mafisadi wenzao ili 2015 wawe wamechokwa hata na kundi kubwa la watanzania wajinga wanaowaunga mkono
 
Mhh na Anna abdala je huyu si wa Msekwa! :A S angry:
Huyu mama ni mbeijing dunia nzima. Nakumbuka katika kuchangia kipindi kimoja aliwahi kuwaponda wapinzani hata hamu naye sina. Muhimu wapinzani tupeleke mtu!
 
Anayesema jf ni wazushi na alaaniwe, hii ilisemwa muda kitambo kuwa kulikuwa na mpango wa kumtosa 6 wengine wakasema eti tunazusha, sasa nani anapinga hili? Wapinzani nasi tupeleke kichwa kimoja kwa kuwa kura za mafisadi zitagawanyika!

Wataita wazushi,lakini mengi mazuri ya kuendeshea serikali yao wanachukua humu!
 
Just a moment... this could be as blessing in disguise. CCM imemeguka tayari, opposition can capitalise on this. They need to just play their cards correct
 
SINA LA KUSEMA zaid ya kumpa pole sita , anahali ngumu sana bungeni.
 
Kwa kweli hapa hatuna spika tena. Sijui bunge litakuwaje, naomba angalau Marando ashinde ili awe spika, hao waliopitishwa na CCM sina imani nao.
 
Anna Makinda alionekana siku ya kuapishwa Kiwete uwanja wa Uhuru akiwa busy sana anaongea na Rostam Aziz.
 
CCM wamekufa, nimekuwa nikiwavumilia, kuanzia sasa no no no, nachana kadi lao na niejiunga kundini Rasmi
wametangaza kupitisha majina matatu ya mgombea uspeaker.

Yaani anna Abdallah, Anna makinda na Kate Kamba.
 
Wote ni majina ya siku nyingi sana: Anna Makinda, Anna Abdallah na Kate Kamba ni majina niliyoskia tangu miaka ya sabini.
Hivi Kate Kamba kafanya nini huo EALA?
Hivi Anna Abdallah ndiye mke wa Msekwa?
Hivi Anna Makinda ndiye aliyekuwa Naibu Spika wakati Sitta?
 
PressRelease-BHC.jpg

Kwa hisani ya www.issamichuzi.blogspot.com
N.B
Kumbe mambo ya RADAR hayajasafishwa na Crown Court ya London ni matumaini PCCB na serikali ya Tanzania itakuwepo kortini kufuatilia chenji yetu.
 
Back
Top Bottom