NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 598
Hao ni kwa upande wao tu,kuna wa opposition pia!!Chama kushika hatamu!
Spika hapo ni Mhe Makinda, ...opposition kilio!
Mhe Ndugai naye atachukua umakamu.
Hao ni kwa upande wao tu,kuna wa opposition pia!!Chama kushika hatamu!
Spika hapo ni Mhe Makinda, ...opposition kilio!
Mhe Ndugai naye atachukua umakamu.
Nilitegemea hilo kwani lengo la Chenge kugombea ulikuwa ni mpango wa kumchomoa Sitta ili asijekulalamika,mpango huo ulikuwepo sana na sishangai sana,:smile-big:
Ile ofisi ya Spika (Bil 5) kule Urambo itakuwa Museum?
Vyovyote vilivyo -- naenda kunywa pombe sasa hivi kwa kusherehekea kutoswa kwa Vijisenti!
CCM bwana!! hivi Mr. six alikosea wapi?
Naona ni mabifu tuu ccm walau Anna makinda anaweza faa kidogo
Nami naenda kuzikoka kisawasawa kwa furaha!
hili jina Anna Makinda limetuchosha tangu tunasoma Primary hadi sasa watoto wetu wanasoma!!!!!!!
Ile ofisi ya Spika (Bil 5) kule Urambo itakuwa Museum?
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika:
1. Anna Makinda
2. Anna Abdallah
3. Kate Kamba
Kwa hivyo Mzee wa Vijisenti out, Sitta out!!!
Source: Channel 10 News Bulletin 3 minutes ago.