Nilifikiri nimeliona peke yangu hili!!!
Wale wanaozungumziwa kwenye hii saga in wale wa Mkombozi Bank tu wa bilioni 70,sijaona kabisa wale wa Stanbic bank wa bilioni 200 wakizungumziwa kabisa na mbaya zaidi upande huo nasikia ndipo familia ya JK ilipoingiziwa!!!
Nafikiri kufukuzwa kwa Tibaijuka utakuwa mwanzo wa kujua yote,maana kuna kundi ambalo halitakubali mama huyo 'afe' peke yake!Kwani inavyoonyesha,ametolewa muhanga kwa ajili ya kuipoza tu hii saga!
Time will tell!!
Napenda sana hii movie iendelee wallah sema ndo hvyo watakua washampoza mama tibaijuka hawz kuwalipua
Hapo kwao ndo wanapesa yani...Alhamdulillahi...kumbe me mzuri...
Ila mimi bado naamini Raisi hakupanga kumtema reprofesel ni baada ya kuona ile feedback toka kwa wazee. alikua hana jinsi zaidi ya kumgeuza mama wa watu mbuzi wa kafara.
![]()
Acha kurusha matusi bhanaaa
Mbona kafanana sana na Diamond? ni mapacha nini?
Kweli kabisa mkuu....Na wale wa Ikulu waliopokea kati ya milioni 800 na bilioni 5 je walizipokea kwa majina yepi!? Walitumia majina yao halisi au walitumia majina fake au ya "kampuni" zao? Bado kuna maswali mengi sana ambayo hayana majibu.
Hizo zote jk kapiga chenga na hazitachunguzwa kwani ameshasema fedha zilikuwa za iptl na mchakato ulifuata sheria , taratibu na kanuni (STK).. Haya majina yanayopigiwa kelele, ni majina ya "wema" wa kajibenki kadogo tuu, ka "Mkombozi", laiti watu wangeliyaona majina ya recipients wa sadaka za wema kubwa wa PAP toka libenki likubwa la Stanbic!, au majina ya "wema" mkubwa wa JR kutoka kwenye account yake ya nchini Holland, kuwa transifia "wanene" kupitia account zao zilizoko Credit Susie!, watu humu wangebaki midomo wazi!.
Ni ujinga wa hali ya juu. Sijui ni lini serikali itasimamia shule zake ili zirudi kuwa na heshima (angalau) kama zamani...
Umaarufu una gharama zake.Kumbe RELATION ILIKUWA UNAIMANISHA DOMO MMMMH
![]()
![]()
Kienglish kigumu hata sijamwelewa kabisa huyo mdada! Ila nataka ajue tunafahamu yote kuanzia milembe insurance brokerspumbavu kabisa binti Tibaijuka wewe,kizazi cha kifisadi nyie,halafu mwambie mamako arudishe pesa zetu kabla hatujataifisha vi asset vyenu.