Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
Na wale wa Ikulu waliopokea kati ya milioni 800 na bilioni 5 je walizipokea kwa majina yepi!? Walitumia majina yao halisi au walitumia majina fake au ya "kampuni" zao? Bado kuna maswali mengi sana ambayo hayana majibu.

Akina Ridhone....
 
Ungekuwa na akili ungshauri mama ako kabla ya zahama haijamkuta. Wazee wa bongo ndio wamevuruga mama ako angepona lakini ndio hivyo tutaenda hivyo hivyo yaani na mahakamani tutapanda naye uje kumwekea dhamana
 
Ila mimi bado naamini Raisi hakupanga kumtema reprofesel ni baada ya kuona ile feedback toka kwa wazee. alikua hana jinsi zaidi ya kumgeuza mama wa watu mbuzi wa kafara.
 
Mbona kafanana sana na Diamond? ni mapacha nini?
 
Chezeya Wazee wa Dar weye!!! Hata wao wamestukia DHAIFU.

Ila mimi bado naamini Raisi hakupanga kumtema reprofesel ni baada ya kuona ile feedback toka kwa wazee. alikua hana jinsi zaidi ya kumgeuza mama wa watu mbuzi wa kafara.
 
Inayoa kwa ng'ombe ngapi ya musasi?
 

Attachments

  • 1419280033670.jpg
    1419280033670.jpg
    41 KB · Views: 491
Ukiangalia hii saga ya Escrow ni disgrace kwa Nchi na sisi Wananchi. Huu ni mfano moja tu, people are really running low....
Sijui nani kawadanganya hawa viongozi na familia zao kuwa they are safe. They can run but i can guarantee them kuwa they cannot hide.
 
Hapa tatizo haliwi Escrow Bali ni Kupokea fedha nyingi kutoka kwa Mfanya biashara huku ukiwa Kiongozi wa umma mwenye MAAMUZI kuhusu Ardhi na majengo. Ada ktk shule tajwa nimeambiwa 4.5m , pale hawasomi maskini. Hapa lipo tatizo , wacha MAMA AWAJIBIKE....

Mkuu mbona Chenge akiwa AG mtumishi wa umma, na ni mbunge nae alipokea?

Hapo kuna double standard. Jk ame deal na impact baada ya source.

Walioidhinisha pesa kutoka mbona wao haiwahusu?

Ok UKAWA tunanjia nyeupe 2015.

Miaka9 tumekuwa taifa lisilo na uongoz. Aibu sana kudeal na Tibaujuka na kumuacha Chenge tena anapewa na kamati ya uandishi wa katiba? What a shame mkuu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom