Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
mama yako alipaswa kuwa mahabusu kwa tuhuma za kuhusika na utakatishaji wa pesa haramu sema kwa vile ni ccm ndo maana yupo uraiani ila tambua mama yako,chama chake na serikali yake imechafuka na hatakatiki hata kwa jiki
 
B1HgTD7IEAA1aKQ.jpg:large

Acha kurusha matusi bhanaaa

Mhhh.......
Mbona ametabasam kama ananusa harufu mbaya.....
Loohh.....!!
 
Kadoda 11....kitendo cha kuleta tweets za huyu demu humu umeshampa promo ya kutosha na amekuwa maararufu na huo umbulula wake
 
sura ka ugali wa udaga

masai dada mpige mzinga bshosti mwezio,anaweza akakugawia kaburungutu kamoja toka ktk kale kibilioni ka bmkubwa aliko pewa na pedeshee rugemalira.
 
Nimeupenda huu uzi, kuna maneno yanatupiwa kwa kigereza hadi nachekelea aiseee
 
Nilifikiri nimeliona peke yangu hili!!!
Wale wanaozungumziwa kwenye hii saga in wale wa Mkombozi Bank tu wa bilioni 70,sijaona kabisa wale wa Stanbic bank wa bilioni 200 wakizungumziwa kabisa na mbaya zaidi upande huo nasikia ndipo familia ya JK ilipoingiziwa!!!

Nafikiri kufukuzwa kwa Tibaijuka utakuwa mwanzo wa kujua yote,maana kuna kundi ambalo halitakubali mama huyo 'afe' peke yake!Kwani inavyoonyesha,ametolewa muhanga kwa ajili ya kuipoza tu hii saga!
Time will tell!!

hwez kushindana na dola, iliyofichwa imefichwa tu.
 
watu km hawa kinacho waokoa kdg wakaonekana ni elimu peke yake.angekuwa Hana shule huyu mmmh!!!!mungu tusamehe.
 
Watu tumesubiria hotuba mwisho wa siku anachekacheka na kuelezea historia ambayo kila mtu anaijua...huyu rais wa maisha bora ni shida
 
Kwa jinsi mama fisadi Tibaijuka alivyoshupaa kwenye ile news conference hadi mishipa ya shingo kumsimama na kudai "sijiuzulu ng'oo" bila shaka hatakubali kuondoka kirahisirahisi labda Mkulu atamuahidi cheo kikubwa mahali ili aondoke kimya kimya vinginevyo itakuwa patashika nguo kuchanika pale Ikulu.

....alternatively (and more likely) anaweza kuwa Ulimbokwad/Kibandwad/Kolimbwad.
 
masikini ya Mungu hakajui nini kanafanya...kajiingiza kwenye sakata ambalo angekaa kimya wala asingehusishwa sasa hapa kanajionyesha kanavyotetea urithi!!! anarusha mawe wakati anaishi kwenye nyumba ya vioo...



hata mama ake angekaa kimya tangu sakata lianze angepata reliefs..

lkn yule mama kajitetea sana mapema. angekaa kimya tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom