Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

Status
Not open for further replies.
Nilifikiri nimeliona peke yangu hili!!!
Wale wanaozungumziwa kwenye hii saga in wale wa Mkombozi Bank tu wa bilioni 70,sijaona kabisa wale wa Stanbic bank wa bilioni 200 wakizungumziwa kabisa na mbaya zaidi upande huo nasikia ndipo familia ya JK ilipoingiziwa!!!

Nafikiri kufukuzwa kwa Tibaijuka utakuwa mwanzo wa kujua yote,maana kuna kundi ambalo halitakubali mama huyo 'afe' peke yake!Kwani inavyoonyesha,ametolewa muhanga kwa ajili ya kuipoza tu hii saga!
Time will tell!!

Kwa kweli haiwezekan yani 1.6 kaadhibiwa.. Waliochota bilion 200 Kimyaaaa
 
kwanza mkuu nikupe hongera kidogo maana leo utalala usingizi mzuri. Binti mwenyewe huyu!


blogger-image--1593854567.jpg

Nimeamini ule msemo sura sio roho. Ila kazuri sana na kana kafiga. Kwa shepu nafikiri nimekapenda.
 
Bitch please!!! You know better. How does a school get money from an Escrow account.?? Was this the purpose of this account? If ur school got that much money from this account how about the rest? You stink just like your mother......
 
Ako kabinti czan ata historia ya nchi kanaijua, uzungu huu unawagharimu hii ngoz nyeusi...
 
Wow, kumbe madaraka yana raha yake, eh? Sasa anatokwa na povu for what reason? Inabidi ashukuru tu kuwa mpaka sasa Mama yake hajapewa hukumu ya kifo kwa wizi wa mali ya taifa.
 
KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 56m56 minutes ago

This is aimed at diaspora Tanzanians who are so desperate to be part of the convo but you aren't here with us. Shut. the. ***.up (5/7)
0 replies6 retweets0 favorites Reply
Retweet6
Favorite
More





KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 58m58 minutes ago

My mum did nothing wrong except wanting to help young girls get an education. A school built with my late father. Accepted a donation (2/7)
0 replies12 retweets0 favorites Reply
Retweeted12
Favorite
More






KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 46m46 minutes ago

But more disappointed about the women in Tanzania who are so happy to see a woman down on her luck. Don't worry your time will come.
0 replies9 retweets0 favorites Reply
Retweet9
Favorite









KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 44m44 minutes ago

So glad I can finally say how I feel about this whole #EscrowSaga. People believe what they want to believe, I know the truth.




KagemTibaijuka @KagemTibaijuka · 60m60 minutes ago

A donation that was from clean money upon which TRA taxes were paid (3/7)
0 replies11 retweets0 favorites Reply
Retweet11
Favorite
More



Angalia shule alizosoma na kazi anayofanya kwenye hizo social media zilizopo kwenye hiyo website yake http://kagem-tibaijuka.com. Kama hiyo shule wanayoisaidia inafaa sana kwa nini alielekea kusoma nje ya nchi?!

Sasa hiyo truth si ai-tweet nayo ili tubadilishe beliefs zetu!!
 
Huyu Mama na clowns wenzake wote inabidi wahukumiwe na sheria ichukuliwe haraka sana.

Hawa hukumu yao ni kunyongwa na kufirisiwa mali au to be put in a public zoo where people will spit on them and pork them with sharp materials ili tu uwe mfano for other clowns to come.
 
nipenI namba yake mwenye nayo nitangaze uchumba.......ana kashepu fulanI kumbe
 
Mama yake japo kapiga Dili la 1.6 billion lakini huwa hana Roho mbaya sana ni mtu poa na hafanani Tabia na Mwanae kabsa, Tambua kuwa huyo mwanae ni Mtu mwenye Roho mbaya sana ndugu wa mama Tibaijuka huwa hawaendi pale anapokaa kwani wanajua hapendi ndugu na ni Mchoyo hakuna Mfano.
Ila kuhusu ndugu kwenda kwake .... naweza kumuunga mkono.

La kusaidia wanawake... that's just bull!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom