Tweets 3 za Dk.Wilbroad Slaa kuhusiana na kashfa ya Escrow

Tweets 3 za Dk.Wilbroad Slaa kuhusiana na kashfa ya Escrow

.. gsu.. MSALANI nyie ufisadi ubathirifu ukifanywa mnaona sawa tu mnataka kuumbuliwa mara ngapi!
 
Last edited by a moderator:
msitake kuvuruga mada nyie chipukizi wa magamba...
 
-‘…Tulisema hili la Escrow mapema. Akaunti nyingi zilizopokea hela zilikuwa ni mpya, nyingine hazikuwa hata na vitabu vya hundi. Hatuliachi….”-“… Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata benki zinazomilikiwa na madhehebu ya dini sasa zimekuwa sehemu ya kusambaza fedha zilizoibwa…’.-‘…Fisadi anapoachia ngazi bila kufikishwa mbele ya sheria ni sawa na kupewa mapumziko kwenda kutumia alichofisadi. Kuachia ngazi tu haitoshi…’.

View attachment 205688
Dr.Slaa analia na benki ya Kanisa Mkombozi Benki.
 
mzee slaa aliiba pesa za kanisa lakini hajawahi kutuambia kama alizilipa.

Na pesa zetu za kodi wanazopewa chadema kama ruzuku "kazikopa" kumjengea jumba la kifahari hawara yake huko mabwepande, sijui kama atazirudisha!
 
Tulisema hili la Escrow mapema. Akaunti nyingi zilizopokea hela zilikuwa ni mpya, nyingine hazikuwa hata na vitabu vya hundi. Hatuliachi. Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata benki zinazomilikiwa na madhehebu ya dini sasa zimekuwa sehemu ya kusambaza fedha zilizoibwa. Fisadi anapoachia ngazi bila kufikishwa mbele ya sheria ni sawa na kupewa mapumziko kwenda kutumia alichofisadi. Kuachia ngazi tu haitoshi.

attachment.php


W eeeeeeeeeeeeeeeeeeeweweeeeeeeeeeemwenyeeweeeeeeeeeeeeeeeeweweeweeeeweeeeeeeeeeeeeeeeeeE
 
Tulisema hili la Escrow mapema. Akaunti nyingi zilizopokea hela zilikuwa ni mpya, nyingine hazikuwa hata na vitabu vya hundi. Hatuliachi. Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata benki zinazomilikiwa na madhehebu ya dini sasa zimekuwa sehemu ya kusambaza fedha zilizoibwa. Fisadi anapoachia ngazi bila kufikishwa mbele ya sheria ni sawa na kupewa mapumziko kwenda kutumia alichofisadi. Kuachia ngazi tu haitoshi.

attachment.php


Mzee slaaa anawezaje kuandika wakati ana ulemavu wa mikono
 
Back
Top Bottom