Tweets 3 za Dk.Wilbroad Slaa kuhusiana na kashfa ya Escrow

Tweets 3 za Dk.Wilbroad Slaa kuhusiana na kashfa ya Escrow

Wazee wa Escrow walikupatia hela ngapi Mkuu? kwa sababu hii kushinda kwenye mitandao si buree

hao wasikusumbue akili hao nmegundua hawalipwi zaidi ya buku7,hao kikubwa wameathiriwa na kunywa maji ya bendera ya ccm na mbio za mwenge zimewaathiri.......kuna mmoja wao naskia alizaliwa wakati mama yake alikuwa anakimbiza mwenge
 
Msome vizur Dr.Slaa analia na benki yenu ya Kanisa imekuwa kichaka cha kuibia pesa za wananchi hivi unajua kama Mkombozi Bank ni benki ya Kanisa?

unapoteza muda wako kujaribu vuruga mada.....
 
mzee slaa aliiba pesa za kanisa lakini hajawahi kutuambia kama alizilipa.

Zilikuwa shs.ngapi?katika akaunti gani?unaweza ku tender docs zote za kuhusu ufisadi wake?utakuwa umetusaidia ili naye tumuondoe kwenye chama!
 
....ulisema nchi haitatawalika na ndio tunashuhudia hii leo...kwanini majeshi yetu yasiokoe nchi hii?


Jeshi letu liko wapi wakamate nchi na kunyonga hawa mafisadi haswa marais waliopita mpaka na huyu wa sasa?
 
umetia aibu sana .
Hapa tunahusika na kodi ya wananchi iliyoliwa kupitia Escrow a/c, sasa wewe unaleta habari ya SADAKA!!! huo ni mchango wa hiari hulazimishwi kutoa kama ilivyo kodi so ya kanisani kwenu yapeleke hukohuko kwa wanajumuiya wenzako
 
Tulisema hili la Escrow mapema. Akaunti nyingi zilizopokea hela zilikuwa ni mpya, nyingine hazikuwa hata na vitabu vya hundi. Hatuliachi. Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata benki zinazomilikiwa na madhehebu ya dini sasa zimekuwa sehemu ya kusambaza fedha zilizoibwa. Fisadi anapoachia ngazi bila kufikishwa mbele ya sheria ni sawa na kupewa mapumziko kwenda kutumia alichofisadi. Kuachia ngazi tu haitoshi.

attachment.php

ni jambo pia la kusikitisha kuona pia viongozi wa dini nao wako kwenye orodha ya wanufaika wa hizi hela
 
unapoteza muda wako kujaribu vuruga mada.....
Usiwe punguani wewe nimevuruga mada gani au hii ya Benki ya Kanisa kutumika kama kichaka cha kugawana mali ya umma kimekukera.
 
Tulishawaambia muda mrefu kuwa jembe ni hili-Dr W.Slaa.
 
Usiwe punguani wewe nimevuruga mada gani au hii ya Benki ya Kanisa kutumika kama kichaka cha kugawana mali ya umma kimekukera.

Sijawahi kuona mtoto wa rais mpumbavu kiasi hiki...
 
Sio kanisa tu kugawa pesa za wizi, hata mapadri na makadinali wao wapo kwenye mgao huo wa wizi, nchi imehujumiwa sana na kanisa miaka kibao, sijui ndio usomi wao wanaojisifu nao?
 
....ulisema nchi haitatawalika na ndio tunashuhudia hii leo...kwanini majeshi yetu yasiokoe nchi hii?[/QUOTE]Una uhakika gani kuwa nao sio sehemu ya ufisadi unaoendelea?
 
slaa wewe ulipoiba hela za kanisa ulifukuzwa tu wakumbushe wakufikishe mahakamani.

Ushahidi wa wezi wa pesa za Escrow ni bank statement ambazo zinaonyesha majina yao na fedhawalizogawiwa.

Tuletee ushahidi ambao unaonyesha kuwa Dr. Slaa aliiba fedha za kanisa!
 
Back
Top Bottom