Invarbrass
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 504
- 111
Mi sijui mkuu kama aliiba au la ila najua kuwa theoretically yaani kimantiki hoja hufanana na aliyeitoa. Ni semantics tu eti angalia hoja sio mtoa hajo. Kauli hii huwa sio. USINIMEZE SIJASEMA ALIIBAWe uliletewa mashtaka lini na kanisa kua slaa kaiba hela..?au ndo hujielewi
