Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Dr Slaa aache uoga na kuanza siasa za Facebook na Twitter, aonyeshe leadership. Itisha maandamano Dr Slaa wananchi tumechoka
mzee slaa aliiba pesa za kanisa lakini hajawahi kutuambia kama alizilipa.
Wale waliomshambulia FaizaFoxy aliposhangaa kuwa hata benki ya kanisa nayo imo, njooni mumjibu Dokta wenu wa Kanoni Slaa hapa.
Usiwe punguani wewe nimevuruga mada gani au hii ya Benki ya Kanisa kutumika kama kichaka cha kugawana mali ya umma kimekukera.
Dr.slaa aache unafiki mkubwa.hivi anajifanya hajui kuwa bank of vatian husafisha fedha za wauza unga wasisily hko italia?
inahusu nini na issue ya escrow....vp wewe ushakunywa viroba vya 250/ nini
Acha ujinga wewe. Dk.amesema ukweli kuhusu ufisadi wa Escrow we unaleta mambo ya kanisa. Anzisha topic mpya basiDr.slaa aache unafiki mkubwa.hivi anajifanya hajui kuwa bank of vatian husafisha fedha za wauza unga wasisily hko italia?
amen rais wetu. Mungu akutie nguvu
Nimeingia kwenye twitter yake nikakutana na hiki kipande.
"Ni jambo la kusikitisha sana
kuona hata benki zinazomilikiwa
na madhehebu ya dini sasa
zimekuwa sehemu ya kusambaza
fedha zilizoibwa".
Hili neno wanasiasa wengi wanaogopa kulisema.
3.2.3 Mheshimiwa Spika, Kamati pia imethibitisha kwamba fedha zilizolipwa kwa Watu binafsi zilitokana na Akaunti ya Tegeta
ESCROW zilizolipwa kwa PAP ambayo si mmiliki halali wa IPTL.
Kwa maana hiyo fedha hizo zilitolewa kwa watu hao kama rushwa na kuzitakatisha fedha hizo haramu. Aidha, kamati inapendekeza kwamba Akaunti zote zilizohusika na miamala hii haramu ya Akaunti ya Tegeta ESCROW, akaunti zao zifungwe (freeze) na wenye akaunti hizo walazimishwe kurejesha fedha hizo kwa mujibu wa Sheria (Anti Money Laundering) ikiwa ni pamoja na mali zao kufilisiwa.
Kwa upande wa viongozi wa Kisiasa wawajibike na Watumishi wa umma wafukuzwe kazi.
Kwasasa anachuki nao baada kuiba hela wakamtimua.Na ni benki ya taasisi aliyopata kuiongoza
mkuu wewe umepewa mgao wa kwenye viroba ama kutoka mkombozi bank?Baada ya kanisa kumfukuza analeta chuki mpaka kwenye banki ya kanisa zero mzee slaa.
Baada ya kanisa kumfukuza analeta chuki mpaka kwenye banki ya kanisa zero mzee slaa.