Tuyaseme kwa nia njema, kuepusha yaliyotokea Rwanda: Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi, watawala mnaweza kufuta hasira hizo , bado muda upo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda!

Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
 
Watu vifu vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda!

Mdude harudi tena
 
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Sio rwanda tu hata uganda sema hawakulingana na ya rwanda
 
Mkutano wa ccm naona kuna viongozi wametoka nchi za nje kushiriki.

Sasa urafiki ni kwa ccm tu na washirika wake tu? Wanaharakati na Chadema hawana haki ya kuungwa mkono na washirika wao?
Wametaka kuiga yale ya Chadwma uchaguzi wa January 21
 
Rwanda ni makabila mawili, ila kwetu ni chama kwa chama. Unakumbuka wakati wa JPM, ukionekana na vazi la chama fulani unazomewa ila JPM kakomesha.
 
Watu vifu vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda!

Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
Wewe acha kuota. Unajua maana ya genocide? Unajua vinavyosababisha genocide? Nakupa mifano;
a) Rwanda genocide ilitokea kwa Wahutu kuua Watutsi (ethnicity)
b) South Africa ilitokea kwa Makaburu kuua Weusi (race)
c) Afrika ya Kati ilitokea kwa Wakristu (Anti Baraka) kiwashambulia na kuua Waislamu (Religious).
Haya, kwa Tanzania nani atamshambulia nani?
 
Watu vifu vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda!

Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
CCM kuua ni jadi yao
 
Rwanda ni makabila mawili, ila kwetu ni chama kwa chama
It is not a matter of chama kwa chama, ni matter ya WANAOONEWA NA KUNDI MOJA LA WATU KWA KUTUMIA MADARAKA VS KUNDI JINGINE LA WATU LISILOKUWA NA MADARAKA!

Kun wwatu hawana vyama lakini ndugu zao wameuawa, how do you explain this to such a person kuwa ni chama kwa chama?
 
Watu vifu vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda!

Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
Hayawezi tokea ya Rwanda hapa Tanzania because ya Rwanda ni ukabila ulihusika zaidi kuliko hali za kisiasa kwa wakati ule...hapa namaanisha hali za kisiasa zanazohusu maendeleo ya nchi pamoja utawala Bora.

Kwa Tanzania mambo ni tofauti kabisa...kinachotokea hapa kwetu ni ufisadi, utawala usio Bora, viongozi hawana uadirifu, watawala kuwaminya upinzani au yeyote wanaohisi anataka kuhatarisha vyeo vyao kivyovyote vile.

Lakin nikuhakikishe machafuko hayataweza kutokea kivyovyote vile anytime soon...labda miaka 50 huko na kuendelea kutoka sasa, kwasababu Watanzania walio wengine hawana uchungu, ama kisasi, ama hasira hiyo unayoongelea.

Watanzania walio wengi wanaona ama kusikia yanayoendelea lakin wako busy zaidi na kuangalia maisha yao binafsi sio kinyume na hapo.
 
Back
Top Bottom