Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Naungana na wewe kabisa hivi vi fm6 haviwezi kulitambua hilo sababu havijui hata nini kinafundishwa diploma vimekalia ushabiki kwa kushabikia bi degree vyao hewa visivyo kuwa hata na ubora,, mwl wa degree aliye pitia diploma ni mzuri zaid lakini kwa huyu wa fm 6 + degree ni matatizo matupu hata hapa shuleni kwangu nimeajiri hao walimu wenye sifa zote wenye dip na wenye degree kutoka fm6 na mwenye degree kutoka diploma ,,wanatofauti kubwa sana hawa walimu wangu wengi ambao ni fm 6 to degree ndio wanao lalamikiwa sana na watoto hapa shulen hawana weledi,kufundisha hawajui hata ukiwapa utawala wanakiuka kanuni,nimebadilisha utaratibu na nawapunguza taratibu hawa fm6 to degree.

usihangaike na watu wanaodhani degree ni kila kitu, hata sisi tumeanza dip na tukaenda degree tumeona mengi yanayotendeka hapo, wapo wenye bidii binafsi na huja kuwa watendaji wazuri lakini wengine utajuta ukifanyanaye kazi, anabaki na wimbo tu 'mimi nina degree mimi' ila utendaji oooooooooovyooooo, haiba ndio hata sisemi
 
Mnawasifia wenye diploma ili wasisome au? Acheni kudumaza elimu,degree ndio ishu.
 
mmmh,umeamua kuwatukana akina dada z not fair,kuna watu wapo vizur kichwan kuliko ww na p.u.m.b,u zako,take care mdau,
tujadili anachosema mtoa mada hapa na naamini hapa wengi ni walim,stara itumike bhana

kipimo cha utashi wa binadamu ni pamoja na busara, ukiona mtu anaweza kutukana tusi la kumvua nguo baba yake, amini akili yake sio inatatizo. watu waeleweshana kwa hoja na si matusi, hajakidhi sifa ya kuwa mchangiaji halisi wa hii mada, MAANA MWALIMU NI HAIBA NA STAHA. VISHA NGUO KAULI ZAKO HIO NI SIFA YA MWL
pia how sure mimi ni me/ke?
 
Mnawasifia wenye diploma ili wasisome au? Acheni kudumaza elimu,degree ndio ishu.

We Sam Boy kwani ww unaumia sana unapoona wa diploma wanatetewa sana !?, si vyema kulalama hovyo kijana !, ni vyema kama utatumia hoja kutetea ama kukataa mawazo ya wenzio maana nakuona uko kuhesabu comments zipi zinazidi !!, hatuendi hivyo !, tena siyo tu wa diploma, mimi nitasimama kumtetea wa cheti maana hiyo hata haimzuii kuifikia hiyo degree unayoihusudu !!, hv unadhani wewe unayeihusudu hiyo degree uliyoiwahi fastafasta baada tu ya kumaliza vidato utafanana na yule aliyeenda slowly kwa kuanzia grade A , na kisha dip kabla ya degree !, je utakuwa nae sawa hata kama utafanya kazi kwa 5 years !¿ ', THINK BIG boy ! _wewe japo una weza ukawa na degree ,nimegundua ndio wale mnaowadharau waliosomea Grade A na Diploma kwa kujidanganya kuwa uko juu yao saanaaaaa !!!, bado mengi huyajui wewee ! ~"Think Big"
 
nikweli kabisa kua mtoa mada hana nidhamu na amekosa adabu kabisa .Yaan unalinganisha diploma na degree amesahau kua mkufunzi wa diploma ana degree. kwa content walimu wa degree wako juu cos wana uwezo wa kufundisha kidato cha kwanza hadi vyuo vya diploma na hata university bt walimu wa diploma wana fundisha kidato cha kwanza hadi kidato cha nne, kwaiyo kulinganisha mwalimu wa degree na mwalimu wa diploma ni utovu wa nidhamu na kua na upeo mdogo wa kifikra.
 
mwalimu wa degree yuko juu bwana, kwa sababu wewe mwalimu wa diploma bila kufundishwa na mwalimu wa degree A-level usinge pata sifa ya kusoma hy diploma na pia usinge fundishwa hizo mbinu za ualimu na mwalimu wa degree usinge kua na hiyo diploma unayo lingia. Na hata ivyo walimu wa degree wame fanikiwa kufaulu kwa kiwango kikubwa mitihani ya A-level na kwenda university kwa sababu walifundishwa vizuri na degree teachers.SO WALIMU WA DEGREE HAWANA BUDI KUHESHIMIWA NA SIO KUCHEZEWA CHEZEWA .

NOTE: Mwalimu wa degree kwa cheo ni-Education officer
Mwalimu wa diploma..ana baki kua ticha
 
Mwl aliyekufundisha utamzidije tena? uzur wa diploma upo wapi wa kumzidi mwl wake? ukisikia jamii inasema ualimu ni taaluma ya waliofeli inawazungumzia walimu wa diploma na certificate huko ndiko wanakoenda failures NUKTA
 
bado mechi ngumu!! ningekuwa na uwezo niwalete hapa waliomaliza kidato cha nne waseme...walimu wepi walikuwa wanawakubali zaidi kiutendaji na kimaadili...
 
Haha hahaaa cheki huyu!!! kwan mfumo we2 wa elimu unapimaje wenye akili? bas alyepata div5 ndiye mwenye akili? unakoment nzur MMU huku unachemka men!

Sikia wewe kiazi, Mimi ni mwalimu mwenye degree sijapitia diploma ila kwa hawa walimu wenzangu wenye diploma wapo vizuri kuzidi sisi wenye degree kwa mazingira yafuatayo...
1: nidhamu, huwezi kulinganisha waliosoma ttc na wa university kwani vyuo vikuu hakuna mtu anaesimamia nidhamu, mavazi hata ukivaa nusu uchi no one cares huwa tunavaa nguo za heshma katika presentation na field ila walimu wa dip huko vyuoni ni uniform tena za adabu.
2: ufundishwaji, huwezi kulinganisha tu hizi lecture zenye bla bla na hawa waliosoma vyuo vya ualimi ( field zangu zote nimefundisha TTC am very sure na hiki nacho sema) walimu wa dip washaandaliwa psychologically kuwa walimu achana na sie tulioopt education ila tupate mkopo hata maadili ya ualimu hatuna.
Na hiyo conclusion yako ya kupata div 1 ndo kipimo cha akili unajidanganya, what if mtu alipewa mtihani? What if alisaidiwa katika chumba cha mtihani? Na huyo mtu mwenye akili bt akapata div 5 what if siku ya pepa alipata matatizo kama vile kufiwa, au alipanic kwa wale wanaopata exam fever? N.k n.k Usikariri........
 
Sikia wewe kiazi, Mimi ni mwalimu mwenye degree sijapitia diploma ila kwa hawa walimu wenzangu wenye diploma wapo vizuri kuzidi sisi wenye degree. walimu wa dip washaandaliwa psychologically kuwa walimu achana na sie tulioopt education ilI tupate mkopo hata maadili ya ualimu hatuna.


walimu wa degree hapa mwenzenu katoboa siri!! hata hili mtahitaji kugoogle? ukweli ubaki kuwa ukweli hata kama unauma!!
 
Hee tushaanza kukoseana adabu wengne ni viazi ok, whatever, umesikia wewe bibi #Evelyn mwenyewe nimeshafanya field TTC diploma 2010, content yao ni o-level na a-level lkn ni watupu i was teachng them maths bt it was as if am teachng a 4m 1 student..
 
wa diploma ni mzuri zaidi kuliko wa degree hilo nina ushahidi nalo mwaka jana walikuja walimu wa btp kutoka sekomu walikuwa mwaka wa 3, MUNGU wangu kuandaa hawajui kabsa walipokuja wakaguz wao ilibid tuwasaidie kuandaa vipindi na kuwaelekeza jinsi ya kutumia zana, walipokaguliwa walipewa big up.

suala la uwezo ni individual case mkuu so usihukumu chuo kwa kuangalia mtu.Pengine hao ni wale wanaofeligi kbsa hapo sekomu ndo wakachagua kuja shuleni kwenu.Trust me Sekomu kuna vichwa na nina evidence ya hilo nikiwemo mm.Hata mm na ww tupewe the same task lazma ntakukimbiza balaa na nimetoka sekomu.ukitaka kujua potentiality yangu ni pm pengne ntakusaidia hata uhamisho wa hapo ulipo kwenda mahali pazur zaidi
 
Hee tushaanza kukoseana adabu wengne ni viazi ok, whatever, umesikia wewe bibi #Evelyn mwenyewe nimeshafanya field TTC diploma 2010, content yao ni o-level na a-level lkn ni watupu i was teachng them maths bt it was as if am teachng a 4m 1 student..

Kwa comment hii nitakukosoa sana !, eti unasema - As if you were teaching a 4rm 1 student !?, hapo umenishangaza kdg !, vp walikuwa hawatoi ushirikiano eh !, hahah !, we vp kwahiyo ndyo unasema nina degree kweli hapo !? kweli unajisifia kwa hiyo field !? , hv umeshindwa kutambua kuwa huo ulikuwa ni udhaifu mmojawapo ulionao !?, sasa kama uliona walikuwa as like form one na wewe uliamini hvo hvo bila kujiuliza ni wapi unapokosea ili kuwaweka sawa !?, pengine walikuwa wanakushangaa wewe the way you appeared ! _ au ulishindwa kuwa-inspire , you yourself ulikuwa na kasoro !, you are not inspirational , ulishindwa nini kuwa_motivate ili wawe active !?, ww cyo inspirational kama comment yako inavyoonesha hapo ! ', you were not supposed to underestimate them that way rather ulipaswa kuangalia mapungufu yako binafsi !, ur wrongness somewhere is what makes them be like that na usijipaishe kwa kusema - As if . . . _ ,, kwa hapo unapotea !!
 
ni wakati sasa waalimu wanaopitia diploma kuwa chini ya nacte maana utaratibu wa necta unawaumiza sana alafu mambo yanakuwa mengi sana
 
HIVI DIPLOMA YA UALIMU ITATAMBULIKA KIMATAIFA? Ukipata jibu uje uunyofoe uzi wako hapa jukwaani.
 
Degree means u think world wide(university) ingekuwa diploma ndo kila k2 mcngekuwa mnaenda kuongeza elim et KUJIENDELEZA
 
Kwa mfumo rasmi, aliyeenda kusoma diploma ni wazi kuwa hakuwa na sifa za kusoma degree (points za form 6 hazikutosha)... Sasa mleta mada inaonekana form 6 points hazikutosha ndo maana ukaenda diploma, sasa huko kwenye diploma pia umedunda sasa kilichobaki ni kujifariji tu hapa! Ndo maisha lakini, wote hatuwezikuwa na degree bana!

hawa diploma wanatabu sana undo maana Matafia na uniform zenu.walim wa degree ni multipurpose.
 
Back
Top Bottom