usiniguse
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,725
- 1,194
kumbuka unalinganisha ngazi mbili na uellewa tofauti ,kwanini usinishawishi kuwa Grade A wapo vizuri zaidi ya Dip au kwasababu DIP n DEG wanafundisha shule moja .Unachoongea ni probability ya kumpata graduate asiyejitambua ukamlinganisha na Dip anayejitambua,hata mie nina nifano hai kuna mwalimu wa Dip anafundisha phy uwezo wake ni kufundisha Form 1 na 2 ,kidato c ha tatu na nne hata kwa mtutu wa AK 47 haingii na hajawahi kuingia na wanafunzi hawajawahi kusoma na mwalimu tna kutoka Monduli yupo
- Chukua mfano huu rahisi. Una vijana wawili waliomaliza kidato cha sita kwa ufaulu ulio sawa. Na uwezo kimasomo.
- Mmoja mpeleke Diploma In education kwa miaka miwili (2)nna
- Mwingine mpeleke ngazi ya Degree miaka mitatu (3)
- Baada ya kumaliza masomo wote wapewe wafundishe mfano kidato cha nne.
- Je ni yupi atakuwa mwalimu bora zaidi ya mwingine?
- Na ni kwa nini?
Mimi binafsi nilianza na stashahada nikafanya kazi miaka mitatu , ndipo nikajiunga na mafunzo ya shahada, Ukizingatia Mantiki ya mwalimu na ualimu, Ngazi ya Diploma huandaliwa vyema zaidi ili kukabiliana na majukumu yao ya kila siku ukilinganisha na ngazi ya Degree. Ngazi ya degree huwa ni mchaka mchaka wa kumaliza course / course work.
- Unapojibu zingatia mantiki ya Mwalimu na Ualimu - Na mafunzo yatolewayo ngazi ya Diploma na Degree.