Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

bshaneni woote af mkimaliza nendeni NMB,CRDB,EQUITY,DTB,NBC na kwngneko mkaangalie MISHAHARA YENU.diploma holder<health proffesional>TGTH 780000 afu we tcha na degree yako unaetoka povu humu jf et cjui kp bora degree na diploma TGTS 480000

halafu nyie watu mnaosoma masomo ya biashara mnachekesha sana mnafikiri kushika hela za wateja ndio kuwa tajiri
 
kuweka sawa mimi nimefaulu vizuri form six na diploma . nimemaliza chuo mwaka jana nipo nasubiri ajira hapa
wewe hukufaulu vizuri,mbona tokea mwanzo tunawaambia diploma holder yyte anayejiamini alifaulu vzr aweke link ya matokeo yake hapa,either ulikosa mkopo or hukuwa na vigezo kuingia chuo fullstop
 
hawa watu wenye diploma na certificate ndio wanatuangusha sana waalimu mi naona walimu wa degree tuanzishe umoja wetu
 
ninachokiona hapa ni kwamba watu wanatetea status zao za kielimu na siyo uhalisia,pamoja na mapungufu aliyoonyesha muandika uzi kwa kuwa biased kwangu mada imeeleweka...kiukweli kuwa mwalimu kunahitaji pamoja na mambo mengine uwezo binafsi wa kujiamini(uwe wa asili au wa kujifunza),mimi ni mwanafunzi wa ualimu diploma ila huku wengi wanalelewa katika mazingira ya uoga hasa kuogopa uongozi,as alot of them lack qualifications to join degree studies hujikuta wanakua obedient sana kiasi hata cha kudhulumiwa haki zao za msingi(mf.hela ya field)
sasa kasumba hii huendelea hadi mtu anapoajiriwa na ktk maisha kwa ujumla....lakini suala la ufundishaji pia wako wa diploma wabovu sana ila kiukweli huku ualimu tunafundishwa haswaaa,unaingia damuni vizuri...mengine ni masuala binafsi ya mtu
 
walim mnakaziana aiseee....just watchin nione nan mkali
 
hawa watu wenye diploma na certificate ndio wanatuangusha sana waalimu mi naona walimu wa degree tuanzishe umoja wetu

Kula bonge la "like",sio siri hawa walimu wa diploma&certificate wengi wao ni MIZIGO.
Mkitangaza kudai haki za waalimu,wao ndyo wa kwanza kurudi nyuma&ni wasaliti nambari 1.
Ni heri kuwe&chombo ama chama cha waalimu wenye degree kivyao.
 
mkuu hebu jaribu kupitia hapa au google ili uone tofauti ya Management na administration:

Definition: Management: Art of getting things done through others by directing their efforts towards achievement of pre-determined goals.

Administration: Formulation of broad objectives, plans & policies.

Nature: Management: executing function, doing function.
Administration: decision-making function, thinking function.

Scope: Management: Decisions within the framework set by the administration.
Administration: Major decisions of an enterprise as a whole.

Level of authority: Management: Middle level activity Administration: Top level activity.

Status: Management: Group of managerial personnel who use their specialized knowledge to fulfill the objectives of an enterprise.
Administration: Consists of owners who invest capital in and receive profits from an enterprise.

Usage: Management: Used in business enterprises.
Administration: Popular with government, military, educational, and religious organizations.

Influence: Management: Decisions are influenced by the values, opinions, beliefs and decisions of the managers.
Administration: Influenced by public opinion, government policies, customs etc.

Main functions: Management: Motivating and controlling Administration: Planning and organizing.

Abilities: Management: Handles the employees.
Administration: Handles the business aspects such as finance.

Na sijui kama ulimaanisha hivi, mie niliona umemaanisha tofauti na umekuwa general na kwa nature ya mfumo wetu utekelezaji wetu unaweza kuwa kinyume kabisa, kwa maelezo yako ya awali nani anastahili kuwa administrator ama Manager (mwenye diploma ama mwenye degree):
Nashukuru kwa maelezo yako, ni mazuri kiasi tatizo hizo definition are not from a credited scholar (No source-who said that)
According to F. Taylor.
MANAGEMENT- This is the process of designing, developing and affecting the organisational objectives and resources so as to achieve the predetermined organizational goals.

According to H. Fayor.
ADMINISTRATION- This is the process of acquiring and allocating resources for the achievement of organizational goals.
Conclusion
Management thherefore determines both the means and the ends in an organization while Administration is an excutive function therefore it is a means to an end.

Nadhani mfumo huu wa definition ndio ambao unakubalika, Degree holder is a manager and Diploma and certificate are administrators.
 
Mheshimiwa naomba utambue kuwa degree haikwepeki upende usipende. Diploma ni cheo cha taaluma kinachotambulika nafkiri kwa afrika. Lakini worlwide hakuna diploma inayotambulika. Jitahidi tu uchukue degree. Wengi wanajaribu kuomba kazi hata makampuni/mashirika ya kimataifa hata nje wanaambiwa wanachotambua ni degree na kushauriwa wakasome degree level.
 
Kula bonge la "like",sio siri hawa walimu wa diploma&certificate wengi wao ni MIZIGO.
Mkitangaza kudai haki za waalimu,wao ndyo wa kwanza kurudi nyuma&ni wasaliti nambari 1.
Ni heri kuwe&chombo ama chama cha waalimu wenye degree kivyao.

Walimu wa primary si ndio hadi sasa wanarazimishwa washone sare kwa ajiri ya kupokea mwenge? Kaka siwashangai maana wengi wao wamepatikana kimagumashi, wanatumia vyeti vya wajomba zao, wengine wanaelimu ya darasa la nne wanafundisha la saba. Sasa ni lini watasimama na kudai haki zao? Wanaona hata hapo walipo ni neema tosha kabisa!
 
Mleta mada anaonyesha kabisa anajibu ndio maana anaanza na "tuwe wa kweli" Kwangu mimi hivi ni vitu wili tofauti kabisa Diploma na Degree. Mimi nilisoma diploma kisha degree ya kwanza na ya pili tayari; sasa natafuta ya tatu PhD; Japo sikusomea ualimu ila nahisi mambo mengi yanashabihiana. Unaposoma diploma unaandaliwa kwenda kufanya kazi husika "unakua skills oriented" Ndio maana kule hamna longolongo za managerial issues, entrepreneurial courses. Ila kwnye degree mwanfunzi anandaliwa kuutawala ulimwengu kwa mapana yake ndio maana kuna masomo ya siasa "Development Studies" hata kama huchukui political science. Communication skills,Business and entrepreneurial courses etc. Hivyo unapowaleta wanafunzi wawili mmoja ana degree na mwingine diploma katika kazi, lazima uone tofauti. Mwanzo mwenye diploma ataonekana "jembe" kwani alisomea hiyo kazi tangia mwanzo wa masomo yake ila as time goes huyu wa degree anaanza kumpita wa diploma kwani anaanza kupata uzoefu na anaanza kuweza kutawala mazingira ya kazi katika nyanja mbalimbali kwanza huyu ni mbunifu, visionary, kujiamini, etc (kwani yote haya alishayapata chuoni katika course mbalimbali). Ukitaka kuamini hilo hudhuria mhadhara unaoandaliwa na wawili hawa utaona tofauti zao ktk kujieleza. Degree inamfanya mwanafunzi awe flexible anaweza ku fit katk kazi mbalimbali, kwakukuhakikishia hilo angalia mabank mengi yanaajiri graduates wa aina tofauti tofauti hata auditing firm kama water-house coopers wanaajiri any graduate ila wanafunza kazi zao na baada ya muda wanakuwa experts kaitka filed zao. Wenye diploma ni wazuri sana katika kile walichosoma tu na ulimwengu wa sassa unahitaji mtu uwe na uelewa mpna ili uweze kuyatawala mzairingira ya kazi, kifamilia, kisiasa n.k. Yangu nihayo kwa leo
 
Kweli bado tupo mbali sana ,ukitaka kuongea jaribu kwanza kujua ukweli.Kwaharaka ninachojifunza ni kwamba unadhani chuo kikuu wanajifunza kufundisha tu huu ni ujinga.Ukitaka kujua tofauti ya DIP na DEG pitia TANZANIA EDUCATION POLICY utapata jibu
Wewe umemamliza Form Six halafu umekwenda Chuoni kufundishwa namna ya kufundisha. Jee, unadhani elimu uliyonayo inatosha kumfundisha mwanafunzi wa Form Six? Siyo unataka kuturidisha kwenye ualimu wa UPE?

Unasema elimu yako uliyonayo ya F6 na Diploma inatosha, hivyo ndivyo unawaeleza wanafunzi wako? Bado huamini kuwa elimu haina mwisho?
 
Pia waweza kuwa na methodology lakini content kichwani hakuna mfano mwalimu wa grade A mwenye methodology nyingi za kutosha anaweza kufundisha Form four?
Hoja hapa ni "taaluma ya kufundisha" ,ngazi ya diploma zaidi ni "teaching methodology" wakati ngazi ya degree zaidi ni "content" . HITIMISHO: waweza kuwa na content na ukashindwa kuito kwa jinsi ipasavyo.
 
mwalimu wa diploma yuko deep kwa kukariri lkn akikutana na challenge kidogo anambwela!ni muoga kuhoji mambo ktk utawala lkn ni mtendaji mzuri akielekezwa na kwa stick hawajambo!wa degree si muoga,hata kama hayuko deep ni mjanja kutegua mitego ila uwajibikaji zero!frankly kila mtu anatamani degree ila uwezo ndo mdogo
 
Pia waweza kuwa na methodology lakini content kichwani hakuna mfano mwalimu wa grade A mwenye methodology nyingi za kutosha anaweza kufundisha Form four?
  • Chukua mfano huu rahisi. Una vijana wawili waliomaliza kidato cha sita kwa ufaulu ulio sawa. Na uwezo kimasomo.
  • Mmoja mpeleke Diploma In education kwa miaka miwili (2)nna
  • Mwingine mpeleke ngazi ya Degree miaka mitatu (3)
  • Baada ya kumaliza masomo wote wapewe wafundishe mfano kidato cha nne.

  • Je ni yupi atakuwa mwalimu bora zaidi ya mwingine?
  • Na ni kwa nini?

  • Unapojibu zingatia mantiki ya Mwalimu na Ualimu - Na mafunzo yatolewayo ngazi ya Diploma na Degree.
Mimi binafsi nilianza na stashahada nikafanya kazi miaka mitatu , ndipo nikajiunga na mafunzo ya shahada, Ukizingatia Mantiki ya mwalimu na ualimu, Ngazi ya Diploma huandaliwa vyema zaidi ili kukabiliana na majukumu yao ya kila siku ukilinganisha na ngazi ya Degree. Ngazi ya degree huwa ni mchaka mchaka wa kumaliza course / course work.
 
Hali halisi ilivyo, walimu wa Diploma wanaandaliwa kwenye nyanja nyingi, Kitaaaluma, Kimaadili na pia jinsi ya kuwasilisha maarifa kwa mwanafunzi wake (Teaching Methodology). Kwa kipindi cha miaka yao miwili chuoni lazima waende BTP kila mwaka . Tofauti na wale Degree wao huandaliwa kitaaluma zaidi, kimaadili hapo sisemi maana unaweza kuvaa hata mlegezo Lecture room bila kuulizwa ilimradi Course work yako iko safi.

Hata shuleni ukifuatilia kwa makini, kesi nyingi za utovu wa nidhamu kwa walimu unahusishwa na walimu wenye Degree. Nina ushahidi katika hili.

Kuna mmoja ameuliza humu kwamba kwani anayefundisha mwalimu wa Diploma si ni yule wa Degree kwenda juu? Jibu ni kwamba ni kweli ila Walimu wengi wa chuoni hivi sasa (Maprofesa, Madokta) wengi walipitia ngazi za chini wakajiendeleza mpka kufikia ngazi hizo za elimu walizo nazo sasa. Mfano mzuri ni Dkt. Kadeghe na wengineo. Dkt. Kadeghe akikufundisha Lugha ya "English" ndani ya mwezi mmoja unaweza kuwa mzungumzaji mzuri sana wa lugha hiyo.

Na hii ipo wazi hata kwenye fani nyinginezo, mfano mtu mwenye FTC kutoka DIT halafu akajiendeleza kufikia Masters anakuwa na uwezo mkubwa kwenye field tofauti na aliyehitimu shahada ya uhandisi moja kwa moja (Ushahidi upo tunayaona maofisini).
 
Mleta mada anaonyesha kabisa anajibu ndio maana anaanza na "tuwe wa kweli" Kwangu mimi hivi ni vitu wili tofauti kabisa Diploma na Degree. Mimi nilisoma diploma kisha degree ya kwanza na ya pili tayari; sasa natafuta ya tatu PhD; Japo sikusomea ualimu ila nahisi mambo mengi yanashabihiana. Unaposoma diploma unaandaliwa kwenda kufanya kazi husika "unakua skills oriented" Ndio maana kule hamna longolongo za managerial issues, entrepreneurial courses. Ila kwnye degree mwanfunzi anandaliwa kuutawala ulimwengu kwa mapana yake ndio maana kuna masomo ya siasa "Development Studies" hata kama huchukui political science. Communication skills,Business and entrepreneurial courses etc. Hivyo unapowaleta wanafunzi wawili mmoja ana degree na mwingine diploma katika kazi, lazima uone tofauti. Mwanzo mwenye diploma ataonekana "jembe" kwani alisomea hiyo kazi tangia mwanzo wa masomo yake ila as time goes huyu wa degree anaanza kumpita wa diploma kwani anaanza kupata uzoefu na anaanza kuweza kutawala mazingira ya kazi katika nyanja mbalimbali kwanza huyu ni mbunifu, visionary, kujiamini, etc (kwani yote haya alishayapata chuoni katika course mbalimbali). Ukitaka kuamini hilo hudhuria mhadhara unaoandaliwa na wawili hawa utaona tofauti zao ktk kujieleza. Degree inamfanya mwanafunzi awe flexible anaweza ku fit katk kazi mbalimbali, kwakukuhakikishia hilo angalia mabank mengi yanaajiri graduates wa aina tofauti tofauti hata auditing firm kama water-house coopers wanaajiri any graduate ila wanafunza kazi zao na baada ya muda wanakuwa experts kaitka filed zao. Wenye diploma ni wazuri sana katika kile walichosoma tu na ulimwengu wa sassa unahitaji mtu uwe na uelewa mpna ili uweze kuyatawala mzairingira ya kazi, kifamilia, kisiasa n.k. Yangu nihayo kwa leo

Nashukuru kwa elimu nzuri, nadhani umeeleweka, ambaye hajaelewa infiority complex inamsumbua/ he/she is optimistic person (wanaosema glasi haina maji nusu badala ya glasi ina maji nusu)
 
Back
Top Bottom