Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Wakubwa hapo kwenye red: nadhani mnachanganya mada ama mnachoongea na kumaanisha ni tofauti kabisa na wala hamkielewi na inawezekana kipo kinyume na maana yenu.
Wewe ndo umechanganya mambo, na kama hujui tofauti yao hata ukigoogle hutaelewa tofauti iliyopo kati ya manager na administrator.
Pitia vizuri notes zako.
 
Unahitaji elimu zaidi wewe, umeambiwa degree anasomea elimu na diploma anasomea ualimu, kitu kingine unanionesha kuwa hujui tofauti iliyopo kati ya administrator and manager, hapa ndipo tunapopishana. (Kwa lugha ya layman, administrator=mfanyakazi na Manager=bosi)

Hivi jamani manager na administrator nani mkubwa? Maana kwa elimu yangu ya mulugo type administrator ni mkubwa ki maamuzi kuliko menager sasa unaposema diploma ni administrator na degree ni manager napata shaka na elimu yangu pia na yako huenda kuna div 5 na div 4 wanarumbana! Hembu div 1 na 2 njooni mtusaidie
 
There is a difference between an
administrator and a manager. An
administrator is an individual who is the
executive official in charge of other
officials or workers in a business or
institution such as a school.
Administrators usually hold higher
degrees such as master's or doctor's
degrees. They also help oversee and
manage the affairs of the business or
institution. A manager is an individual
who takes care of the affairs or finances
of a business, institution, client, or
residence. They may be regulated by an
administrator.
 
Suala la uwezo Wa MTU ni individual case isitoshe MTU akiandaliwa kisanii nae atakuwa msanii watoke wapi walimu wazuri halo ufaulu f2 ishirini? Hui ni VODA faster
 
mkuu hebu jaribu kupitia hapa au google ili uone tofauti ya Management na administration:

Definition: Management: Art of getting things done through others by directing their efforts towards achievement of pre-determined goals.

Administration: Formulation of broad objectives, plans & policies.

Nature: Management: executing function, doing function.
Administration: decision-making function, thinking function.

Scope: Management: Decisions within the framework set by the administration.
Administration: Major decisions of an enterprise as a whole.

Level of authority: Management: Middle level activity Administration: Top level activity.

Status: Management: Group of managerial personnel who use their specialized knowledge to fulfill the objectives of an enterprise.
Administration: Consists of owners who invest capital in and receive profits from an enterprise.

Usage: Management: Used in business enterprises.
Administration: Popular with government, military, educational, and religious organizations.

Influence: Management: Decisions are influenced by the values, opinions, beliefs and decisions of the managers.
Administration: Influenced by public opinion, government policies, customs etc.

Main functions: Management: Motivating and controlling Administration: Planning and organizing.

Abilities: Management: Handles the employees.
Administration: Handles the business aspects such as finance.

Na sijui kama ulimaanisha hivi, mie niliona umemaanisha tofauti na umekuwa general na kwa nature ya mfumo wetu utekelezaji wetu unaweza kuwa kinyume kabisa, kwa maelezo yako ya awali nani anastahili kuwa administrator ama Manager (mwenye diploma ama mwenye degree):

Wewe ndo umechanganya mambo, na kama hujui tofauti yao hata ukigoogle hutaelewa tofauti iliyopo kati ya manager na administrator.
Pitia vizuri notes zako.
 
sheria ya wizara ya elimu inatamka kuwa Mwl wa diploma anaandaliwa kufundisha form one na two na mwl wa degree anatakiwa afundishe kuanzia form three hadi diploma na anaweza kuwa Tutorial Assitance chuo kikuu, what is diploma by then!
 
Nakushukuru kwa hili NA UKIFANYA UTAFITI MDOGO HUMU UTAGUNDUA HAPA COMMENTS ZA WENYE DEGREE ZIPO KISOMI ZAIDI KULIKO DIP SO HAKUNA HAJA YA KUUMIZA KICHWA
sheria ya wizara ya elimu inatamka kuwa Mwl wa diploma anaandaliwa kufundisha form one na two na mwl wa degree anatakiwa afundishe kuanzia form three hadi diploma na anaweza kuwa Tutorial Assitance chuo kikuu, what is diploma by then!
 
kuelekea ajira mpya za walimu hebu tuwe wakweli wanaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na degree? ikumbukwe kuwa mwalimu wa diploma hufanya mtihani wa mwisho chini ya necta na akifeli somo moja (SUP) Haajiriwi wakati yule wa chuo kikuu husoma kwa semister..nina mifano ya watu kadhaa ambao walifeli diploma wakaamua kwenda chuo kikuu leo hii wana degree! pia hata shule nyingi za binafsi hawapendi wenye degree unless huyo mtu kapitia diploma kwanza! sitasema mengi najua kuna watu watanielewa tofauti....hata hivyo sina nia mbaya karibuni tujadili

Wanafanya necta kwa sababu serikali haiwaamini kuwa ni wazuri,wa degree wamewaamini kwa matokeo ya awali na suala la maadili ni la mtu mwenyewe yaani haihitaji kufundishwa zaidi yaliyoko ndani yake.
 
Diploma mi wazuri katika ufundishaji, maadili na content pia kwa level yao. Pia wanawashinda waalimu wengi wa degree kwenye practical preparation.Degree wanajua content ngumu zaidi ya diploma.
 
Shule binafsi wanaepuka gharama kubwa ya kuwalipa walimu wa degree, maana s/binafsi ipo kwa ajili ya profits

Dgree mnajitahidi kuvutia kwenu,,lakini ukweli upo pale pale mwl wa degree ni too low kwa diploma ,,kuanzia kiutendaji,ufanisi wa ufundishaji na kila kitu,, nafikiri nlicho kiona hapa nikwamba watu waitukuza degree kimatamshi wakati ni vilaza wa kutupa?nenda na hiyo degree yako kafanye mtihani wa diploma uone kama hujatoka na sup zote! Ila kwa alie pitia dip then akaenda degree huyo kweli respect kwake .lakini sio hawa vikojozi wa fm 6 wanao vulia chupi ma prof ili wapate GPA ,,ni sufuri, tupu! Hata utendaji wao ni bure kanibisa, na wengine wajaribu kujenga hoja eti kuajiri mwl wa degree gharama ,,ghara gani unayo ongelea hapa?? Kwa wale wanao own shule wanajua utofauti uliopo kati ya degree na diploma kiutendaji sio kutukuza sifa tu kuwa na degree halafu kichwani huna kitu.
 
Ujinga mtupu,yani walimu wa vidiploma nao ni wakujadiliwa humu kweli?

Kuna gap gani kati ya diploma na degree??? Au unatumia mazoea mkuu, degree inaweza kumvulia chupi prof na ukapata GPA lakini diploma bila kuwa na juhudi kusoma utaiisikia hiyo dip kwenye bomba for sure nimepita ngazi zote dip ,degree to master's 'kuna tofauti kubwa sana na fom 6 to degree na diploma to degree ,hilo lipo wazi ila kwa zile degree fake za maprof hawawezi kuliona hilo
 
Wanafanya necta kwa sababu serikali haiwaamini kuwa ni wazuri,wa degree wamewaamini kwa matokeo ya awali na suala la maadili ni la mtu mwenyewe yaani haihitaji kufundishwa zaidi yaliyoko ndani yake.

Kwa kukushauri tafuta mtaala wa diploma usome kwa makini walau ujue hao dipolma wanasoma nini na wewe wa degree unasoma nini ,,halafu uijue interval iliyopo kupata degree na kupata diploma,mwisho wa siku mnaweza kujikuta wote ni wamoja tofauti ni majina ,huyu degree na huyu diploma na mnacho bishania ni ujinga mdogo wa kuto kuelewa 'mnacho bishania,,ondoa mazoea elekeza akili yako katika uhalisia kwa yule aliye pitia diploma halafu akaendelea juu, naamini kwa hakika atakuwa kanielewa vizuri ninacho maanisha ila kama wewe unajijua ni fm 6 to degree ukae kimya sababu kiwango chako ni kidogo sana kitaaluma kujilinganisha na mwl aliye fuzu diploma,, na kwa mfumo wa elimu ya juu ulivyo wewe wa dgree ukae kimya huwezi kushindana na diploma kiuhalisia na si kimazoea..FULL STOP.
 
mwalimu aliye pita dip huwa ni mzuri kwakua amefundishwa mbinu za kufundishia lakini hawa ndugu zangu wa degree hakuna kitu kabisa, hasa sasa hivi na hizi degree za chupi ndio basi tena, kiukweli mwalimu alieanza na deploma alafu akajiendeleza huyo ni mwalimu bora
 
Dgree mnajitahidi kuvutia kwenu,,lakini ukweli upo pale pale mwl wa degree ni too low kwa diploma ,,kuanzia kiutendaji,ufanisi wa ufundishaji na kila kitu,, nafikiri nlicho kiona hapa nikwamba watu waitukuza degree kimatamshi wakati ni vilaza wa kutupa?nenda na hiyo degree yako kafanye mtihani wa diploma uone kama hujatoka na sup zote! Ila kwa alie pitia dip then akaenda degree huyo kweli respect kwake .lakini sio hawa vikojozi wa fm 6 wanao vulia chupi ma prof ili wapate GPA ,,ni sufuri, tupu! Hata utendaji wao ni bure kanibisa, na wengine wajaribu kujenga hoja eti kuajiri mwl wa degree gharama ,,ghara gani unayo ongelea hapa?? Kwa wale wanao own shule wanajua utofauti uliopo kati ya degree na diploma kiutendaji sio kutukuza sifa tu kuwa na degree halafu kichwani huna kitu.

Naona umetoa matusi tu, wanaovua chupi umewaona au ndo stori za mtaani?
Vp kuhusu wanaume nao walikuwa wanatoa chupi kwa maprof?
Acha fikra za mztaani, grow up and give facts.
 
kuelekea ajira mpya za walimu hebu tuwe wakweli wanaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na degree? ikumbukwe kuwa mwalimu wa diploma hufanya mtihani wa mwisho chini ya necta na akifeli somo moja (SUP) Haajiriwi wakati yule wa chuo kikuu husoma kwa semister..nina mifano ya watu kadhaa ambao walifeli diploma wakaamua kwenda chuo kikuu leo hii wana degree! pia hata shule nyingi za binafsi hawapendi wenye degree unless huyo mtu kapitia diploma kwanza! sitasema mengi najua kuna watu watanielewa tofauti....hata hivyo sina nia mbaya karibuni tujadili

utajuaje,labda hawawapend kwakua hawawez kuwalipa degree holders,
utafiti ulishafanywa na watafiti Dr.Kitila aliwah kulisema hili Nkrumah Hall UDSM kuwa walim wengi wa degree hawatulii kazini,tofaut na diploma Holders ambao hawana choice,degree holders wanaweza kukimbia na kufanya kazi nyingine
 
mwalimu aliye pita dip huwa ni mzuri kwakua amefundishwa mbinu za kufundishia lakini hawa ndugu zangu wa degree hakuna kitu kabisa, hasa sasa hivi na hizi degree za chupi ndio basi tena, kiukweli mwalimu alieanza na deploma alafu akajiendeleza huyo ni mwalimu bora

mmmh,umeamua kuwatukana akina dada z not fair,kuna watu wapo vizur kichwan kuliko ww na p.u.m.b,u zako,take care mdau,
tujadili anachosema mtoa mada hapa na naamini hapa wengi ni walim,stara itumike bhana
 
Naona umetoa matusi tu, wanaovua chupi umewaona au ndo stori za mtaani?
Vp kuhusu wanaume nao walikuwa wanatoa chupi kwa maprof?
Acha fikra za mztaani, grow up and give facts.

Acha ujinga usifikiri hiyo degree wewe ndio uliye ipata peke yako wenzio tulisha pita huko tena kabla hata hujamaliza fm4 so usifikiri nimeyatoa kwenye riwaya za shigongo, degree ya hapa nchini kwa upande wa elimu haiwezi kufikia ufanisi wa diploma , hii ni kiuhalisia lakini kwa nadharia mlizo nazo watu kama wewe mtaendelea kuzitukuza degree zenu zisizo kuwa na ubora na kushikiria vyeti tu vyenye sifa ya degree.
 
!
!
labda inategemea na aina ya degree...ila kwa degree za udom zipo sawa na cheti au form six leaver.
Hakuna kitu pale
 
Dgree mnajitahidi kuvutia kwenu,,lakini ukweli upo pale pale mwl wa degree ni too low kwa diploma ,,kuanzia kiutendaji,ufanisi wa ufundishaji na kila kitu,, nafikiri nlicho kiona hapa nikwamba watu waitukuza degree kimatamshi wakati ni vilaza wa kutupa?nenda na hiyo degree yako kafanye mtihani wa diploma uone kama hujatoka na sup zote! Ila kwa alie pitia dip then akaenda degree huyo kweli respect kwake .lakini sio hawa vikojozi wa fm 6 wanao vulia chupi ma prof ili wapate GPA ,,ni sufuri, tupu! Hata utendaji wao ni bure kanibisa, na wengine wajaribu kujenga hoja eti kuajiri mwl wa degree gharama ,,ghara gani unayo ongelea hapa?? Kwa wale wanao own shule wanajua utofauti uliopo kati ya degree na diploma kiutendaji sio kutukuza sifa tu kuwa na degree halafu kichwani huna kitu.

basi serikali iajiri diploma holders wapandishe matokeo,
ukweli ni kwamba mlienda diploma kwakua matokeo yenu ya form 6 hayakua mazuri,mlifeli,na mlishindwa kuingia univ,sasa hapa mnajipongeza na kujifariji,haya diploma holders wazuri zaid ya digrii,sasa mkae ne diploma zenu,wale wa degree ambao ni too low muwaache,na wenzenu mnaowaita too low wamewazidi mshahara,,,,,sasa ukiwa mwalim mzuri na huna mshiko which z better,
 
Back
Top Bottom