Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
!
!
labda inategemea na aina ya degree...ila kwa degree za udom zipo sawa na cheti au form six leaver.
Hakuna kitu pale
hehehehhe,sasa mdau umeibua mjadala mwingine hapa,
!
!
labda inategemea na aina ya degree...ila kwa degree za udom zipo sawa na cheti au form six leaver.
Hakuna kitu pale
mwalimu aliye pita dip huwa ni mzuri kwakua amefundishwa mbinu za kufundishia lakini hawa ndugu zangu wa degree hakuna kitu kabisa, hasa sasa hivi na hizi degree za chupi ndio basi tena, kiukweli mwalimu alieanza na deploma alafu akajiendeleza huyo ni mwalimu bora
Naungana na wewe kabisa hivi vi fm6 haviwezi kulitambua hilo sababu havijui hata nini kinafundishwa diploma vimekalia ushabiki kwa kushabikia bi degree vyao hewa visivyo kuwa hata na ubora,, mwl wa degree aliye pitia diploma ni mzuri zaid lakini kwa huyu wa fm 6 + degree ni matatizo matupu hata hapa shuleni kwangu nimeajiri hao walimu wenye sifa zote wenye dip na wenye degree kutoka fm6 na mwenye degree kutoka diploma ,,wanatofauti kubwa sana hawa walimu wangu wengi ambao ni fm 6 to degree ndio wanao lalamikiwa sana na watoto hapa shulen hawana weledi,kufundisha hawajui hata ukiwapa utawala wanakiuka kanuni,nimebadilisha utaratibu na nawapunguza taratibu hawa fm6 to degree.
Kwa kukushauri tafuta mtaala wa diploma usome kwa makini walau ujue hao dipolma wanasoma nini na wewe wa degree unasoma nini ,,halafu uijue interval iliyopo kupata degree na kupata diploma,mwisho wa siku mnaweza kujikuta wote ni wamoja tofauti ni majina ,huyu degree na huyu diploma na mnacho bishania ni ujinga mdogo wa kuto kuelewa 'mnacho bishania,,ondoa mazoea elekeza akili yako katika uhalisia kwa yule aliye pitia diploma halafu akaendelea juu, naamini kwa hakika atakuwa kanielewa vizuri ninacho maanisha ila kama wewe unajijua ni fm 6 to degree ukae kimya sababu kiwango chako ni kidogo sana kitaaluma kujilinganisha na mwl aliye fuzu diploma,, na kwa mfumo wa elimu ya juu ulivyo wewe wa dgree ukae kimya huwezi kushindana na diploma kiuhalisia na si kimazoea..FULL STOP.
Umeongea vema mkuu, kitu kingine mtu wa degree anaandaliwa kwaajili ya management, kufundisha ni kidogo sana wakati dip. Wao ni wafanya kazi.
Ukiona mkuu wa shule ana diploma basi jua ni experience imembeba na ni mzee, lakine wakuu wengi wa shule wana degree, na waraka wa elimu wa 1995 unasema wakuu wa taasisi zote lazima wawe na degree na kuendelea (haijalishi ni shule ya msingi au sekondari na taasisi zote za elimu)
Uwezo na ubora wa walimu wa degree hutegemea mambo mengi,
1: Chuo alichosoma mhusika
2: mtu binafsi.
Na sababu nyinginezo.
Suala la watu wa degree kukataliwa, inategemea na aina ya chuo, waajiri wengine huchagua aina ya vyuo wanavyo taka.
Kitu kingine ni suala la minimum cost=cheap labor. Kumlipa mtu wa degree ni kazi kuliko wa diploma-they are cheap to pay na hawana challenge sana kwenye management ( They are administrators-they only do what the management want)
basi serikali iajiri diploma holders wapandishe matokeo,
ukweli ni kwamba mlienda diploma kwakua matokeo yenu ya form 6 hayakua mazuri,mlifeli,na mlishindwa kuingia univ,sasa hapa mnajipongeza na kujifariji,haya diploma holders wazuri zaid ya digrii,sasa mkae ne diploma zenu,wale wa degree ambao ni too low muwaache,na wenzenu mnaowaita too low wamewazidi mshahara,,,,,sasa ukiwa mwalim mzuri na huna mshiko which z better,
why ulipita DIPLOMA
Ndio maana nikasema haya ni mambo ya kuhuzunika sio kujivunia
Mkuu kweli nina diploma na kutokana na nilivyoona uwezo wa wale degree holder nimeona sina haja ya kuchukua degree maana hakuna walichonizidi ! pia kuhusu sifa kuanzia za form 6 hadi matokeo yangu ya dip yananiruhusu kuchukua degree...sasa nifuate nini huko? kuongeza mshahara au? maana maujuzi...hahaha!
kuweka sawa mimi nimefaulu vizuri form six na diploma . nimemaliza chuo mwaka jana nipo nasubiri ajira hapa
Dgree mnajitahidi kuvutia kwenu,,lakini ukweli upo pale pale mwl wa degree ni too low kwa diploma ,,kuanzia kiutendaji,ufanisi wa ufundishaji na kila kitu,, nafikiri nlicho kiona hapa nikwamba watu waitukuza degree kimatamshi wakati ni vilaza wa kutupa?nenda na hiyo degree yako kafanye mtihani wa diploma uone kama hujatoka na sup zote! Ila kwa alie pitia dip then akaenda degree huyo kweli respect kwake .lakini sio hawa vikojozi wa fm 6 wanao vulia chupi ma prof ili wapate GPA ,,ni sufuri, tupu! Hata utendaji wao ni bure kanibisa, na wengine wajaribu kujenga hoja eti kuajiri mwl wa degree gharama ,,ghara gani unayo ongelea hapa?? Kwa wale wanao own shule wanajua utofauti uliopo kati ya degree na diploma kiutendaji sio kutukuza sifa tu kuwa na degree halafu kichwani huna kitu.
Naungana na wewe kabisa hivi vi fm6 haviwezi kulitambua hilo sababu havijui hata nini kinafundishwa diploma vimekalia ushabiki kwa kushabikia bi degree vyao hewa visivyo kuwa hata na ubora,, mwl wa degree aliye pitia diploma ni mzuri zaid lakini kwa huyu wa fm 6 + degree ni matatizo matupu hata hapa shuleni kwangu nimeajiri hao walimu wenye sifa zote wenye dip na wenye degree kutoka fm6 na mwenye degree kutoka diploma ,,wanatofauti kubwa sana hawa walimu wangu wengi ambao ni fm 6 to degree ndio wanao lalamikiwa sana na watoto hapa shulen hawana weledi,kufundisha hawajui hata ukiwapa utawala wanakiuka kanuni,nimebadilisha utaratibu na nawapunguza taratibu hawa fm6 to degree.
kuweka sawa mimi nimefaulu vizuri form six na diploma . nimemaliza chuo mwaka jana nipo nasubiri ajira hapa
hukufaulu vizuri wewe sema ulifaulu kwa kiwango gani,scan matokeo weka hapa,ww upate one au 2 ya art uwende diploma,me nna wanafunz wangu wana two na baadhi III wapo university leo hii