Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Vyuo vikuu hawafundishwi sijui mambo ya zana kwa vitendo. Vyuoni wanakula mapindi tu

Ama kweli ukistaajabu ya degree utayaona ya diploma! Chuo kikuu gani hakifundishi kutumia nyenzo? Kuna kozi inaitwa subject teaching methods, kuna educational media and technology sasa wewe unajua zina elekezwaje kwa wanafunzi? Usiseme kitu ambacho huja jionea! Fika, soma, fanya practice
 
Huyo hajui kitu uyo anajishebedua tu,eti kuna mwingne anasema tungekua tnapewa test mara kwa mara,anafkiri tnatungiwa na necta,wanajiaibisha then wanaona wanaongea point,hawa ndio vichwa eti uko diploma...
Ama kweli ukistaajabu ya degree utayaona ya diploma! Chuo kikuu gani hakifundishi kutumia nyenzo? Kuna kozi inaitwa subject teaching methods, kuna educational media and technology sasa wewe unajua zina elekezwaje kwa wanafunzi? Usiseme kitu ambacho huja jionea! Fika, soma, fanya practice
 
bado mechi ngumu!! ningekuwa na uwezo niwalete hapa waliomaliza kidato cha nne waseme...walimu wepi walikuwa wanawakubali zaidi kiutendaji na kimaadili...

Maadili? Au uoga' tatizo walimu wa diploma mnafanya kazi kwa uoga ndio maana mnatumika sana'
 
kwa mbinu za kiualimu diploma yupo poa zaidi .Ila knowledge digrii anaweza zaidi.

Mimi na pointi kumi advance nilianzia Diploma ya Kasulu kwa Mbonigaba then nkapga digrii Udom ila kiukweli ktka hii fani nikp poa zaidi na hilo naliona coz nshapga usaili km mara nne shule za private hapa dar na watu ibao ila zote naitwa.

Juzi nimepga zile za tume ya ajira kati ya watu 11 nimekuwa wa kwanza katika Written interview.ila all in all mbinu za ualimu najivunia diploma ndo nilikozipata kwa digri hilo halipo maana darasani mnajazana sana hasa vyuo vya serikali.wahadhiri hawana muda wa kufafanua.

Ndo maana wanaoenda degri wakiwa fresh from school wanaweza maliza miaka 3 bila kujua kuandaa hata leson plan ipasavyo.
 
Hapa naona kama kuna ligi kati ya walimu wa diploma na wale wa degree. Mkimaliza hii ligi muweke na matokeo basi.
 
Na bado,utawapigia saluti vijana wenye shahada zao hadi ukome,mpo wengi mnaojipa moyo kuwa chekechea ni zaidi ya darasa la saba.
 
Na bado,utawapigia saluti vijana wenye shahada zao hadi ukome,mpo wengi mnaojipa moyo kuwa chekechea ni zaidi ya darasa la saba.

Kweli kuna haja sekta ya elimu ikawekewa vyeo kama jeshini na vikawa na sare kwa kila mwalimu wa daraja husika ili tuheshimiane na kupigiana saluti. Mwalimu mwenye elimu ya cheti avae kaptula jeusi na shati jeupe lenye alama Grade "A" T mabegani, mwenye diploma avae suruali jeusi shati jeupe lenye mikono mirefu na liandikwe Diploma holder Teacher (DHT), wenye degree wavae suruali za kijivu na mashati ya pinki mikono mirefu yaandikwe began Degree Holder Teacher(DEHT), wahadhiri wavae nguo zozote ila ziwe na alama mabegani ikionesha elimu na cheo chake mfano: dr. John dean of coed, prof juma principal coed etc. Hapo tuta eshimiana kama wanafunzi wa sekondari wanavyo vaa suruali wakati wa msingi wakivaa makaptula. Pia mbona manesi wana uniform zinazo alamisha vyeo why not for teachers?
 
Hapa naona kama kuna ligi kati ya walimu wa diploma na wale wa degree. Mkimaliza hii ligi muweke na matokeo basi.

Hakuna ligi kaka hapa tatizo watu hawaelewi nini wanachozungumza. Mie nimesoma diploma na hiyo digrii pia hakika walimu wa diploma wako vizuri zaidi kitaaluma na kiutendaji.

Elimu kubwa inasaidia katika uzalishaji zaidi lakini kama haizalishi zaidi haina maana (human capital theory)

Shule za kata zina walimu wa kutosha wenye shahada lakini ukiangalia jinsi shule hizi zinavyoenda hazilingani na juhudi za serikali za kupandisha uzalishaji(matokeo) Organization as a system of flow.

Tukiwa tunatamba na digrii zetu tuonyeshe tofauti ya kiutendaji, kitaaluma, kinidhamu na kiuzalishaji.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kaka ulisha soma hiyo degree au unaisikia? Unaposema degree na diploma hamna tofauti nakuwa na wasi wasi na uelewa wako na wanafunzi unao wafundisha! Kasome degree kisha ulete uzi hapa ukihitimu.
hapo ndiyo umemaliza kila kitu .big up
 
Kasome degree then uje,diploma umeisoma ndo maana unaiona ngumu.
 
ila ukiangalia vizuri hili suala unaona saratani inayotutafuna watanzania tulio wengi. Yaani hapa tulio wengi tunazungumzia ufahari wa kuwa na hizo shahada. Hebu tujiulize kwanza zimetusaidiaje kubadili hali iliyopo??
 
Kwani walimu wa diploma huandaliwa na walimu wa level gani?

utamkimbiza mtoa mada mkuu!
kuna walimu wenye degree wazuri tu na wenye diploma hivyo.
usomaji na ufuatiliaji wa maswala ya masomo huamua aina ya mwalimu!
 
Mkuu kweli nina diploma na kutokana na nilivyoona uwezo wa wale degree holder nimeona sina haja ya kuchukua degree maana hakuna walichonizidi ! pia kuhusu sifa kuanzia za form 6 hadi matokeo yangu ya dip yananiruhusu kuchukua degree...sasa nifuate nini huko? kuongeza mshahara au? maana maujuzi...hahaha!
bado hujajitambua mwl!
digrii haichukuliwi, unaisomea. vinginevyo watu wangekuwa wamechukua wengi sana
walichokuzidi kipo: digrii na diploma ni tofauti na ili ku suppress inferiority complex unajifanya hujali hiyo tofauti.
nakushauri kasome digrii( sio lazima iwe ya ualimu) kwa manufaa ya jamii yako.
kuwa na degree holders wasiojiweza haikuzuii wewe kwenda kusoma wala haimaanishi all the degree holders teachers are the same!!!
 
Hakuna ligi kaka hapa tatizo watu hawaelewi nini wanachozungumza. Mie nimesoma diploma na hiyo digrii pia hakika walimu wa diploma wako vizuri zaidi kitaaluma na kiutendaji.

Elimu kubwa inasaidia katika uzalishaji zaidi lakini kama haizalishi zaidi haina maana (human capital theory)

Shule za kata zina walimu wa kutosha wenye shahada lakini ukiangalia jinsi shule hizi zinavyoenda hazilingani na juhudi za serikali za kupandisha uzalishaji(matokeo) Organization as a system of flow.

Tukiwa tunatamba na digrii zetu tuonyeshe tofauti ya kiutendaji, kitaaluma, kinidhamu na kiuzalishaji.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

bold: ina maana taaluma ya mwenye diploma ni kubwa kuliko ya mwenye digrii?

blue: serikali na wanafunzi wanalalamika kuwa walimu hawatoshi. kauli hii naona inapingana na uhalisia wa idadi ya walimu(achilia mbali wenye digrii). kuhusu utendaji unaweza ukajikumbusha madudu ya kuitendaji, kisera na kimaamuzi ktk wizara ya elimu.

red: kwa mujibu wa uzi huu wanaotamba elimu yao ni wenye diploma, wakionyesha kuwa wao ni bora kuliko wenye digrii.

swala liangaliwe individually. mi ninasumbuliwa kila siku na wenye diploma niwasaidie hiki mara kile, sijui hao mnawachukuliaje?
 
huu ulevi wa elimu umewafanya walimu wasiwe kitu kimoja ktk kudai haki zao. kila mtu anajiona bora kuliko mwenzake
 
Chuo kikuu kuna methods of teaching and pedagogy of teachers edn,edn media&technlgy,methodsof teachin (any of ur subj)
 
Back
Top Bottom