Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

ndo maana vile vya diploma na certificate vinaitwa TTC-Teachers' Training Colleges!!

Mkuu hakuna ttc nowdays kuna tc...neno training limetolewa

Nimegundua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana! Nenda kasome upanue ubongo huo!
 
well said mkuu degree asifananishwe na diploma wa diploma wameachwa mbali na degree, ndo maana degree anaweza fundisha a level ila dip mmmh

Ok.. ndio wameachwa mbali lakini twende ktk uwezo wao! pia kumbuka diploma na degree wote wameishia form six!! na ujue siku hizi dip na degree wote wanakuja kwenye shule za olevel ni baadhi wanaoenda a level...jiulize why..
 
Sizitaki mbichi hizi..! Polee, Kasome na master's diploma Ph Diploma ili uwe mzuri zaidi. huyo Diploma anafundishwa na Degree holder kumbuka. Afu next time anzisha mada zenye tija.
 
Sizitaki mbichi hizi..! Polee, Kasome na master's diploma Ph Diploma ili uwe mzuri zaidi. Ujinga mtupu, huyo Diploma anafundishwa na Degree holder kumbuka. Afu next time anzisha mada zenye tija.

Nimeona mkuu kweli degree holder anafundisha diploma! lakini ningetegemea ungehuzunika sio kufurahia!! ndo ujue katika elimu tz bado tuko mbali...najua unajua ukweli sema basi tu
 
Umeongea vema mkuu, kitu kingine mtu wa degree anaandaliwa kwaajili ya management, kufundisha ni kidogo sana wakati dip. Wao ni wafanya kazi.

Ukiona mkuu wa shule ana diploma basi jua ni experience imembeba na ni mzee, lakine wakuu wengi wa shule wana degree, na waraka wa elimu wa 1995 unasema wakuu wa taasisi zote lazima wawe na degree na kuendelea (haijalishi ni shule ya msingi au sekondari na taasisi zote za elimu)

Uwezo na ubora wa walimu wa degree hutegemea mambo mengi,
1: Chuo alichosoma mhusika
2: mtu binafsi.
Na sababu nyinginezo.
Suala la watu wa degree kukataliwa, inategemea na aina ya chuo, waajiri wengine huchagua aina ya vyuo wanavyo taka.
Kitu kingine ni suala la minimum cost=cheap labor. Kumlipa mtu wa degree ni kazi kuliko wa diploma-they are cheap to pay na hawana challenge sana kwenye management ( They are administrators-they only do what the management want)

sikubaliani na wewe diploma wapo dip sio siri.
 
Nimeona mkuu kweli degree holder anafundisha diploma! lakini ningetegemea ungehuzunika sio kufurahia!! ndo ujue katika elimu tz bado tuko mbali...najua unajua ukweli sema basi tu

Ulitarajia Diploma afundishwe na mtu gani haswa!?
 
Wewe uliyeposti hi status itakuwa una diploma sasa unajaribu kujifariji na kuvutia upande wako!!endelea kupambana na mbinu za kufundishia kwenye dunia hii iliyojaa njaa,na watu wa degree watawapiga bao kwenye mshahara,jipe moyo kijana
 
kuelekea ajira mpya za walimu hebu tuwe wakweli wanaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na degree? ikumbukwe kuwa mwalimu wa diploma hufanya mtihani wa mwisho chini ya necta na akifeli somo moja (SUP) Haajiriwi wakati yule wa chuo kikuu husoma kwa semister..nina mifano ya watu kadhaa ambao walifeli diploma wakaamua kwenda chuo kikuu leo hii wana degree! pia hata shule nyingi za binafsi hawapendi wenye degree unless huyo mtu kapitia diploma kwanza! sitasema mengi najua kuna watu watanielewa tofauti....hata hivyo sina nia mbaya karibuni tujadili

Inategemea huyo wa aliyefeli diploma na kwenda degree,,mwanzoni alipata divion gan .yawezekana alipata.div 3 akaona diploma imemzingua akaamua kwenda degree ..Lakin kwa fikra zangu Walimu wa diploma ndio best than degree

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
well said mkuu degree
asifananishwe na diploma wa diploma wameachwa mbali na degree, ndo maana
degree anaweza fundisha a level ila dip mmmh

phenomena upo sahihi kabisa,,aende akasome inaelekea hana qualification sasa ameamua kujifariji kwa njia hii kuna ile kitu tulisoma degree kwamba baada ya kukosa kitu flani ndo waanza kukiponda
 
Sikuelewi, mwalimu wa diploma anaandaliwa na mwalimu wa degree sasa kama mwanafunzi anakuwa bora kuliko mwali wake mimi nakaa kimya
 
Mkuu kweli nina diploma na kutokana na nilivyoona uwezo wa wale degree holder nimeona sina haja ya kuchukua degree maana hakuna walichonizidi ! pia kuhusu sifa kuanzia za form 6 hadi matokeo yangu ya dip yananiruhusu kuchukua degree...sasa nifuate nini huko? kuongeza mshahara au? maana maujuzi...hahaha!

sizitaki hizi mbichi,kama ulikuwa una qualification za kusoma degree ukaenda diploma unatudanganya,either ulikosa mkopo or matokeo yako yalikuwa hayakuruhusu kujiunga na degree,kama wabisha weka link ya matokeo yako hapa tuone. Cha msingi kaongeze elimu mkuu sio kuendelea kujilinganisha na mwalimu aliyekufundisha mpaka upate diploma.or mwenzetu ulifundishwa na diploma mwenzio ndo ukapata hiyo diploma yako
 
sizitaki hizi
mbichi,kama ulikuwa una qualification za kusoma degree ukaenda diploma
unatudanganya,either ulikosa mkopo or matokeo yako yalikuwa hayakuruhusu
kujiunga na degree,kama wabisha weka link ya matokeo yako hapa tuone.
Cha msingi kaongeze elimu mkuu sio kuendelea kujilinganisha na mwalimu
aliyekufundisha mpaka upate diploma.or mwenzetu ulifundishwa na diploma
mwenzio ndo ukapata hiyo diploma yako

huyu pimbi nanfahamu
matokeo yake alipata div 3 ya 15 tena HKL,SASA ANGEENDAJE DEGREE?SI NDO MAANA ANAJIFARIJI HAPA!!
 
Ndo mana nataka aweke link ya matokeo yake,akidanganya namuumbua hapa hapa,hana vigezo vya kusoma degree ndo mana anatapatapa kama anavyo aweke matokeo yake hapa
 
Ok.. ndio wameachwa mbali lakini twende ktk uwezo wao! pia kumbuka diploma na degree wote wameishia form six!! na ujue siku hizi dip na degree wote wanakuja kwenye shule za olevel ni baadhi wanaoenda a level...jiulize why..

Unajua kuwa dip. Mnatakiwa kufundisha form 1 & 2 peke yake?
 
kuelekea ajira mpya za walimu hebu tuwe wakweli wanaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na degree? ikumbukwe kuwa mwalimu wa diploma hufanya mtihani wa mwisho chini ya necta na akifeli somo moja (SUP) Haajiriwi wakati yule wa chuo kikuu husoma kwa semister..nina mifano ya watu kadhaa ambao walifeli diploma wakaamua kwenda chuo kikuu leo hii wana degree! pia hata shule nyingi za binafsi hawapendi wenye degree unless huyo mtu kapitia diploma kwanza! sitasema mengi najua kuna watu watanielewa tofauti....hata hivyo sina nia mbaya karibuni tujadili

Mkuu sijaelewa namna ulivyotofautisha: "Diploma anafanya mtihan chini ya necta na Degree anasoma kwa semister" kuhusu suala la kufeli hata degree wanafeli (Discontinue), maana yake hawezi kuajiliwa hali ya kuwa hajakamilisha degree yake....Jipange unapotoa mada.
 
Kwa mfumo rasmi, aliyeenda kusoma diploma ni wazi kuwa hakuwa na sifa za kusoma degree (points za form 6 hazikutosha)... Sasa mleta mada inaonekana form 6 points hazikutosha ndo maana ukaenda diploma, sasa huko kwenye diploma pia umedunda sasa kilichobaki ni kujifariji tu hapa! Ndo maisha lakini, wote hatuwezikuwa na degree bana!
 
Umeongea vema mkuu, kitu kingine mtu wa degree anaandaliwa kwaajili ya management, kufundisha ni kidogo sana wakati dip. Wao ni wafanya kazi.

Ukiona mkuu wa shule ana diploma basi jua ni experience imembeba na ni mzee, lakine wakuu wengi wa shule wana degree, na waraka wa elimu wa 1995 unasema wakuu wa taasisi zote lazima wawe na degree na kuendelea (haijalishi ni shule ya msingi au sekondari na taasisi zote za elimu)

Uwezo na ubora wa walimu wa degree hutegemea mambo mengi,
1: Chuo alichosoma mhusika
2: mtu binafsi.
Na sababu nyinginezo.
Suala la watu wa degree kukataliwa, inategemea na aina ya chuo, waajiri wengine huchagua aina ya vyuo wanavyo taka.
Kitu kingine ni suala la minimum cost=cheap labor. Kumlipa mtu wa degree ni kazi kuliko wa diploma-they are cheap to pay na hawana challenge sana kwenye management ( They are administrators-they only do what the management want)

Good! Nadhan it will b a new chapter for this diploma holder, hajielewi na aende akasome. Ajue yy ni: 1. Cheap labor 2. Sera ya elimu days ahead diploma holder atafundisha primary schools. To present!!!
 
sikubaliani na wewe diploma wapo dip sio siri.

Hakijaeleweka kipi?
Diploma and certificate are administrators while degree holder is a manager, kunatofauti kubwa kati ya manager na mfanyakazi, ndio maana kuna mdau kasema, dip. Unasomea ualim, degree anasomea elimu, tofauti kubwa sana hapo.
 
Back
Top Bottom