nakubaliana na wewe kuwa haya maneno watu wanayatumia kama neno moja, yes! ila nakushauri usi-base kwa Henri Fayol peke yake, yeye aliangalia zaidi kanuni 14 za menejimenti na hakuongelea sana Utawala, japo nakushauri upitie na wanazuoni wengine wa Scientific Management i.e.Frederick W. Taylor,Frank and Lillian Gilbreth,Chester Barnard, Elton Mayo, etc usikie wanasemaje.
Ila tukirudi kwenye hoja Meneja/msimamizi yoyote anatakiwa kufuata kanuni za hao akina Fayol na wengine (niliokushauri uwapitie). Kwa maana ingine hao mameneja ambao ndio watekelezaji wa hizo Goals za taasisi, kampuni ama shule (wengi wao wanakuwa Line managers), wanatakiwa kuwa na skills za management na kuelewa hizo kanuni za hao wanazuoni wa Scientific Management, ili hali kwa definition ya Fayol kama ulivyoelezea "Management determines bothe means and ends of the organization while administration determines the ends of organization", ndio management determines means and end of organisation: kwa sababu walimu wa diploma ambao naamini wengi wao hawapo katika kiwango cha kutunga sera, utafutaji wa raslmali, ila wao ni watekelezaji wa sera, na watumiaji wa rasilimali kwa ajili ya kuhakikisha lengo ambalo lilipangwa na watunga sera "administrators" linafikiwa.
Administrators determine the end " kwa maana wao ndio watunga sera, wenye mtaji, wenye mipango yote ya taasisi, hivyo wasipojishughulisha na kufanikisha kuwepo kwa sera nzuri,mtaji/rasilimali,malengo n.k basi ujue "end ya hio taasisi itakuwa hatarini".
Hivyo namalizia kusema kuwa administration hufanywa na mtu wa juu kabisa kwenye taasisi husika wakati management hufanywa na mtu aliye chini ya administration, kwa maana hiyo naweza kusema kabisa kwa system yetu ilivyo ni walimu wachache sana wenye Diploma wanafanya administration isipokuwa wanafanya management wakati na administration inafanywa na walimu wengi sana wenye elimu ya kuanzia degree ama zaidi. Kwa hio sikubaliani kwamba walimu wa diploma wapo kwa ajili ya administration na wenye degree na zaidi wao wanafanya management, ila nakubaliana na wewe kuwa haya maneno huwa yanachanganywa, japo ki ukweli kabisa huwa ni vigumu wakati mwingine mtu kufanya management na wakati huo kufanya administration na hata kinyume chake, japo ni vitu viwili tofauti