Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
tabia za wanaume humu akimtongoza mwanamke akimkataa ayakujanna tjread kama zote hivi utachambuliwa kila dimension atakuja na stori kama za shigongo... labda tu niweke wazi huwezi kumchukia kila mtu kuna sababu itakuapo ya kumchukia ... siku zote hakuna somo gumu kama la kumsoma mtu kumjua tabia yake.. yeyote anaweza pretend kwa kulenga kitu flani akitimiza ndipo utajua black or yellow
Haya makosa ya kugeneralize kila siku tunayasema.. We umejuaje Ni tabia za wanaume Wa humu we umetongozwa na wangapi humu wakakuchukia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa tufikie hatua tukubali kuwa hapa JF tupo watu wa aina tofauti tofauti na siku zote mtu usiemjua usijiwekee expectations kuwa huyu yupo hivi ama vile.

Hapa tupo watu wa aina tofauti sana kuanzia umri, tabia, nia na malengo ya kuwepo, wasomi, wasiosoma na aina nyingine tofauti kabisa.

Kuna wengine humu ndani sio watu huwezi kuamini. Yaani sio binadamu kama ID zinavyoonyesha na jinsi tunavyo interact nao.


Chamuhimu ni kufuata wewe kilichokuleta.

Kama umefata papuchi wewe mwanaume alafu ukakutana na mwanamke aliefata nae mambo hayo mkazinguana huna haki ya kumsema mwenzako vibaya maana na wewe ndio wale wale tu.

Mtu unajisifu umetongoza wanawake kibao JF alafu unaanza kutaja tabia zao kwa kuwachafua bila kujiangalia wewe kama usingekuwa mchafu ungezijuaje hizo tabia chafu za hao wanawake?

Ungekuwa sio mhuni na mzinzi ungetongoza vipi hao wanawake wote na kujua tabia zao.

Nasikiaga mnasema 'nyani haoni kundule' sielewagi maana yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeandika ya maana chalii

Happy new year love

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi binafsi sijapenda mnavyotaka kumalizana , et wanawaambia plz tunakuheshimu yaishe jaman. Yaishe nini? Acheni watu wapeane ukweli bhana kila mtu ajimimine tu ili 2019 tuingie vizuri ikibidi mambo yakinafki nafki yanazaa chuki za hovyooo tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Typical 2pac's opinion, man you want em to hit each other up untill when.
 
We jamaa kuna mda unaonekanaga wa maana ila hapa tu ndipo unapopotezaga point.

Unapenda sana ku attack wanawake tena sio kwa hoja ni kwa matusi. Kwanini usijibu tu kistaarabu mpaka uanze kutukana matusi?

Utajiita na wewe ni GT? Wewe ni Platinum Member mtu mkubwa ambae ni kama reflection ya u GT hapa JF lakini you are treading very low brother, this is not your level. Unanishushia heshima ka mkubwa.

Unaweza kuona ni sifa labda ila sio kabisa. Tukanana na wanaume huko poa ila sio wanawake. Heshimu wanawake ndio mama zako na dada zako.

Pussy ass biatchhh nigga.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]

Mnapoelekea ni pabaya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji28][emoji28]wanaume wakiguswa wanacharukaa sana!

Jana gudume kapondaa watu wamekaa kimya Leo! Ya kwao naona wanavyohabuka!

Kwa nini mwateseka!![emoji28][emoji28][emoji38]

Goes around comes back around!
Mjikaze si kwa ubaya kaka zetu tunawapenda km mnavyotupenda!![emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawapenda sana [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa, kuoa mwanamke single mother ni sawa na kununua kiwanja bila kupewa hati, mwanaume rijali mwenye akili timamu hawezi kuoa single mother.hata wewe mwenyewe huwezi kukubali mtoto wako wa kiume akioa single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unanikatisha tamaa maana mi nina mchumba single mother tena mtoto wake ndo ana miezi saba tu ,sasa si ndo utanisababisha nimuache asee!?
 
Huo ni umbumbu,mwanamke kama amekuacha au mmeachana kuna haja gani tena ya kumrudia kwa matusi? Huo ni ushamba. Naweza kusema toka nianze kukua sijawahi kukosa na mwanamke. Huwa mara zote hata mkichokana ilikuwa najitahidi kuachana nae kwa amani. Kuna leo na kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wewe wajua hayo..kuna bata hawajui hayo

Wanachojua kuharisha tu ovyoovyo kila wanapojisikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom