Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...

Tuwasamehe tu

wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…

Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…

Especially wakiwa wadogo,

wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc

hii trauma inabaki kwenye ubongo,

ambayo ina result into hatred towards women,

Utawajua tu humu,

tabia ni ngumu kuficha,

Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..

he is probably twisted!

Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
Hiyo trauma inasabishwa na nyinyi masingo maza kwa kuwajaza watoto ujinga ka kumwambia mtoto Babako mshenzi tu,au mlevi na muhuni,mitusi Mingi,hana mpango wala nini kisa mna maugomvi yenu,afu mtoto anakua mtu mzima anagundua Baba hakuwa perfect lakini siyo mshenzi ka maza alivyokuwa anataka kumwaminisha,unakaa unapiga stori na mshua anakupa stori mbili tatu, then unagundua tatizo moja ni maza alikuwa hapati pesa za matunzo yako kwa sababu uwezo wa Baba ulikuwa ni mdogo,hapo ndiyo unaanza kuona wanawake ni wakuda tu, ka siyo Mamangu,Dadangu,au ndugu, yangu nakuchukulia poa tu ka kitoweo fulani hivi.
 
tabia ya baadhi ya wanaume humu akimtongoza mwanamke akimkataa atakujana thread kama zote hivi utachambuliwa kila dimension atakuja na stori kama za shigongo... labda tu niweke wazi huwezi kumchukia kila mtu kuna sababu itakuapo ya kumchukia ... siku zote hakuna somo gumu kama la kumsoma mtu kumjua tabia yake.. yeyote anaweza pretend kwa kulenga kitu flani akitimiza ndipo utajua black or yellow
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom