Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Da Rebecca nakupenda niwie radhi kama ntakukwaza ila ulikosea!!!unless labda kama mna ishu zingine!!ambazo Mimi na wengine hatuzijui!!
Nakuheshimu na kukupenda pia!!Nyani msamehe kwa hilo maisha yaendelee!!!!Isije onekana kasie amekutuma umtukane Rebecca hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ungenyamaza kabisa, ningeweza kusema mengi lakini haitanisaidia na wala haitakubadili, hustahili kuwa mpatanishi kwa kifupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahhhh Sana tu
Ila punguza kutuponda jamen
Nasi tuna mioyo mweeh

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok ninaahidi kubadilika na kuacha kabisa na Nitakua mtetezi wa akina Dada na Mama.

Tatizo nikiandikaga kutetea, kuna wapuuzi huja kusema naandika kujipendekeza eti nimashobokea ili wanipende.

Nikiandika vingine bado watakuka kusema tunaponda.

Now you can see? Haijalishi utasema nn Binadam siku zote ataongea tu.

So what is the deal??? ... Niweje ili Niendane na mazingira???

Embu nipe sababu ya kutaka niwe vile unavyoona wewe nisahihi???
 
Mi binafsi sijapenda mnavyotaka kumalizana , et wanawaambia plz tunakuheshimu yaishe jaman. Yaishe nini? Acheni watu wapeane ukweli bhana kila mtu ajimimine tu ili 2019 tuingie vizuri ikibidi mambo yakinafki nafki yanazaa chuki za hovyooo tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]

Bora umewaambia wanaume wenzako

Na mkiachwa mkubali kua mmeachwa sio vikicharuka kutwa kutukana watoto wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni umbumbu,mwanamke kama amekuacha au mmeachana kuna haja gani tena ya kumrudia kwa matusi? Huo ni ushamba. Naweza kusema toka nianze kukua sijawahi kukosa na mwanamke. Huwa mara zote hata mkichokana ilikuwa najitahidi kuachana nae kwa amani. Kuna leo na kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok ninaahidi kubadilika na kuacha kabisa na Nitakua mtetezi wa akina Dada na Mama.

Tatizo nikiandikaga kutetea, kuna wapuuzi huja kusema naandika kujipendekeza eti nimashobokea ili wanipende.

Nikiandika vingine bado watakuka kusema tunaponda.

Now you can see? Haijalishi utasema nn Binadam siku zote ataongea tu.

So what is the deal??? ... Niweje ili Niendane na mazingira???

Embu nipe sababu ya kutaka niwe vile unavyoona wewe nisahihi???
bora umejitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie napenda watoto sana, 😀😀😀,

kwa kweli nitajali furaha ya mwanangu,

kama huyo ndio mchumba anayempa furaha,

sitajali kama ana watoto wawili,ni kilema etc
Hii comment yako ime invalidate uzi wako mzima ,nmekuona mwongooo na mnafki sana kwa only this comment...

Yaan,...a grand hypocrite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok ninaahidi kubadilika na kuacha kabisa na Nitakua mtetezi wa akina Dada na Mama.

Tatizo nikiandikaga kutetea, kuna wapuuzi huja kusema naandika kujipendekeza eti nimashobokea ili wanipende.

Nikiandika vingine bado watakuka kusema tunaponda.

Now you can see? Haijalishi utasema nn Binadam siku zote ataongea tu.

So what is the deal??? ... Niweje ili Niendane na mazingira???

Embu nipe sababu ya kutaka niwe vile unavyoona wewe nisahihi???
Just be neutral
Na kama kuna tukio limekukuta kuhusu mwanamke just try to present it in a positive way
Unapresent as if wanawake wote ni mashetan ,hawafai na ni wakutumika na kuachwa tu,unakuwa unagusa wengi.vinginevyo uko on the rite track

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom