Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
ungekua haukubaliani ungekaa kimya,hivi 'kuonyesha kwamba dawa haikuingii ndio kabisaaa inaonyesha inakuingiiiiaaa vyema...
Hahahaha uwiiiiii Kukaa kimya kwa sauti potofu ni KUISALITI NAFSI YANGU

yaaan niivi mada za ivi.,,, sitokaa kimya na nyinyi ndo mmechangia sana Kuwaharibu hata wanawake wachache wahumu wanaojielewa na kujitambua.

Mnafanya wasomeke Wote ni wabaya nakwamba 99% ya walioko humu tabia ni moja.

Ni nyie nyie hhahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]teheeee theeeeee teheeeeee endeleen jifariji.

Mama na Baba yangu walinilea ktk mapenzi makubwa sanaaa na yenye dini ndani yake ,nahapa nilipofika nikwa msaada wao na Mungu....saizi Wanakula Mafao ya mzee...baadae watafatia ya Mama

Endeleen kujifariji. Kila siku mtaniona ivi ivi bahat nzuri siku zinayoyoma !!!....... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahahhahah
OK nimekusoma Mkuu
May be its just my imagination
Mie sio mchangiaji Sana jf hasa humu MMU, but truth be told
Most times nalog in kama guest just to update myself and in several occasions have Noticed either ur comments or threads have a negative opinions againts women/gals
Am sorry to misinterpret you
But honestly mostly that's is how I read about you
Ciao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha uwiiiiii Kukaa kimya kwa sauti potofu ni KUISALITI NAFSI YANGU

yaaan niivi mada za ivi.,,, sitokaa kimya na nyinyi ndo mmechangia sana Kuwaharibu hata wanawake wachache wahumu wanaojielewa na kujitambua.

Mnafanya wasomeke Wote ni wabaya nakwamba 99% ya walioko humu tabia ni moja.

Ni nyie nyie hhahahaha

Kanafiki sana hako kakinuka mkojo.

Huku kanajifanya kamtu kema sana wakati hamna lolote.

Kutwa kucha kujipitisha pitisha na ku stalk watu ambao hawana hata time naye.
 
Ayaaaa rebeka, najua wee upo ktk lile kundi la Watu walioko ktk Risk .
Ila msijali, nyie ni wanawake wazuriii, mnatabia nzuriiii sanaa, yaan mnamvuto sana, yaan nyie mlitendwaa na wanaume, hamkua na makosa kabisaaaaa , yaaan nyie hamtak ndoa, itakuja tuu. Yaan nyie ni wanawake wasokua wachoyoo kabisaa.

[emoji117][emoji117]Kiukweli kabisa Wanaowasema na kuwaponda ni watu wanaowakosea kabisaa ivo , Wasameeni...sawa wanawake wazuriiii warembo wenye maisha yao [emoji23][emoji23]
 
Ningewachukia wanawake ??? Siwachukii hata kidogooo , acha kuniunganisha sanaa.
Tatizo lako niile Tatizo lako la kusahau sahau hata kabla ya kua bibi .

Ungetafuta tiba kwanza.

Siwachukii wanawake... ninaongea ukweli. Sasa wee ndo unanitafasiri ivo !!! Na ukweli utabak ukweli na utasemwa tuuu na kwamba Singo mama na walio kama wewe, siku mkiacha ujinga km ilivokua kwa wamama wa zaman, niwazi Wanaume watavuna ASALI TAMU.

Lkn kwa style hii hii mlonayo ..DUNIA ITAWAFUNZA.

Sasa basi, Endelea kusubiri Dunia inifunze [emoji23][emoji23][emoji23]
Maandiko yanasema ,Mwenye Haki ataishi kwa Imani yake !!!.

eti unaongea ukweli,ukweli upi?..wewe kwa nini unaona uongee 'ukweli' kwenye topic zinazoponda wanawake pekee yake….??

Tiba??? hahahhaaaaaaaaa wewe pamoja na kuambiwa constantly umuone 'shrink' hufanyi hivyo,afu una uthubutu wa kuwaambia wengine watafute tiba...

BORA DUNIA ITUFUNZE,SIO WEWE ndio utufunze!!!!...HATUNA LA KUJIFUNZA KUTOKA KWAKO!!…so cheo cha kutufunza ujivue….mxiewww
 
Muache kutuumiza aisee
Mimi mpaka leo wanawake wanajihisi vibaya.nawajibu shit wakiongelea niwaoe.
Sometime tuko na washkaji anakuja demu ananipa Hi sijibu .yani in short hua mnaacha a huge scar mioyoni mwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa aliekuumiza ni mmoja tu, chuki uwafanyie wanawake wote? Na je, sisi wanawake tungeamua kuwalipizia wanaume wote kwa namna ambavo na sisi tumeumizwa ingekua kuna mapenzi leo hii? Wanawake ndo wanaumizwa zaidi kwenye mahusiano! Ndio mana nyie wanaume mkiona kuna mwanaume anamtaka Dada ako, binti yako, mke wako, au mama yako mnachukia sana coz mnajijia tabia zenu kama ni waharibifu tu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gudume kaleta balaa toka jana Tumebanana umu htr alafu kibaya zaidi Gudume mwenyewe kaingia kusikojulikana, kasababisha mpka ID zingne zipotee humu, jamani wadada sisi madananda msitunyime, mnyimeni Gudume peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wadada wa humu wana Roho nzuri.

Et Iron batterfly si unaroho nzuri eeehh????
 
Kanafiki sana hako kakinuka mkojo.

Huku kanajifanya kamtu kema sana wakati hamna lolote.

Kutwa kucha kujipitisha pitisha na ku stalk watu ambao hawana hata time naye.

Mnhhh toa mahasira yako yote hapa kwenye hii topic,naona ulikua unanitafuta kwa kuangalia wapi nimmecoment mtu kaniponda ukawa unacheka,nilijua tu unanitafuta,kujipitisha pitisha,nilijipitisha kwako lini??? ili iweje?? hunijui na utabakia hunijui...mxiewww
 
Shauri yako.

Umeanzisha mada.

Acha watu wafunguke.

Mnafiki mkubwa wewe.

Now bring it on bitch.
Oh yes.

Keshalalamima sana kwenye nyuzi zake.

Hujui kusoma?

Btw, kakuibia bwana au?

Manake chuki ulonayo kwake ni ya ajabu sana.

Stupid filthy ho.

*** you.
We jamaa kuna mda unaonekanaga wa maana ila hapa tu ndipo unapopotezaga point.

Unapenda sana ku attack wanawake tena sio kwa hoja ni kwa matusi. Kwanini usijibu tu kistaarabu mpaka uanze kutukana matusi?

Utajiita na wewe ni GT? Wewe ni Platinum Member mtu mkubwa ambae ni kama reflection ya u GT hapa JF lakini you are treading very low brother, this is not your level. Unajishushia heshima ka mkubwa.

Unaweza kuona ni sifa labda ila sio kabisa. Tukanana na wanaume huko poa ila sio wanawake. Heshimu wanawake ndio mama zako na dada zako.

Pussy ass biatchhh nigga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasie where ya at?

Njoo huku uone....huyu kinuka mkojo anadai eti hujawahi kulalamika vile anavyokuandamaga na kukutukana kwenye threads zako.
 
Mnhhh toa mahasira yako yote hapa kwenye hii topic,naona ulikua unanitafuta kwa kuangalia wapi nimmecoment mtu kaniponda ukawa unacheka,nilijua tu unanitafuta,kujipitisha pitisha,nilijipitisha kwako lini??? ili iweje?? hunijui na utabakia hunijui...mxiewww

Sikujui ndiyo na sitaki kukujua takataka wewe.

You are worse than toilet bowl scum.

Why in the hell would I want to know you?

Bitch you crazy.

*** you.
 
Ayaaaa rebeka, najua wee upo ktk lile kundi la Watu walioko ktk Risk .
Ila msijali, nyie ni wanawake wazuriii, mnatabia nzuriiii sanaa, yaan mnamvuto sana, yaan nyie mlitendwaa na wanaume, hamkua na makosa kabisaaaaa , yaaan nyie hamtak ndoa, itakuja tuu. Yaan nyie ni wanawake wasokua wachoyoo kabisaa.

[emoji117][emoji117]Kiukweli kabisa Wanaowasema na kuwaponda ni watu wanaowakosea kabisaa ivo , Wasameeni...sawa wanawake wazuriiii warembo wenye maisha yao [emoji23][emoji23]

VIZURI KAMA UMEKUBALI KUBADILIKA,yes sio kila siku wanawake ni negatives tu tunaziona humu
 
Sikujui ndiyo na sitaki kukujua takataka wewe.

You are worse than toilet bowl scum.

Why in the hell would I want to know you?

Bitch you crazy.

*** you.

HUNIJUI,na itabaki kuwa hivyo,eti najidai mwema,ili iweje?? si na wewe uanze kuwa mwema,au una wivu?? mxieewww nakupotezea kama nilivyokua nakupotezea….mada hii sio ya tambo zako...umalay.a wako peleka huko huko!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom