Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
Jaman msiendelee kuchochea moto kwenye hii ishu..sema shida wengine wanapenda kuona maugomvi ndo shida iko hapo..My dear Rebbeca kwa muda wako na sisy Kasie ikiwezekena na Dadii..myamalize kiutu uzima..ukìsoma fresh thread ya kasie hakuna cha kuchukuliana mabwana wala nn ila becky huenda alichefukwa either alikua stressed(siku hazifanani)...kwasabb umeona kbs kasie hakua na papara[emoji4]!myamalize jaman..ombaneni misamah pm huko naamini Kasie hana roho mbaya hyo nawasiwasi na Dadii tu mm[emoji4][emoji4]!
cheers[emoji485][emoji481]
Ni kweli ni vizuri kuyamaliza kiungwana,tena leo leo kabla ya saa 6 usiku. Mimi nina kawaida moja mtu hata kama yeye hajagundua kwamba amenikosea huwa namuomba samahani mimi ili maisha yaendelee sawa. Na kuanzia hapo nakuwa na amani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka niwashauri viongozi wa jamii forums wafute pm wabakishe pm zao tu, Wallah wanaume wengi watapinga tena wengi watakao pinga ni wale wanao toa povu kila siku kuhusu wanawake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio nn mkuu wengine hatujaoa bhana rizkh zimo humuhumu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasie where ya at?

Njoo huku uone....huyu kinuka mkojo anadai eti hujawahi kulalamika vile anavyokuandamaga na kukutukana kwenye threads zako.

Jabuu labda tuu awe haelewi maandishi nnayoweka kwenye mabandiko yangu. Mara nyingi tuu nimelalama nini kimetokea hata mtu anatoka huko alikotoka na kuanza kunitukana kisa Dadii.....

Sema ndo hivo wanavosema na kuniandama ndo wananiongezea nguvu ya Mahaba kwa Dadii.

Na hii siku zote umekuwa ukisema, people are taking things so serious huku.

Thanks for the alert Jabuu hata sikuwa nimejua kuna kitu kinaendelea huku JF.

Cheers Axeee.
 
Jabuu labda tuu awe haelewi maandishi nnayoweka kwenye mabandiko yangu. Mara nyingi tuu nimelalama nini kimetokea hata mtu anatoka huko alikotoka na kuanza kunitukana kisa Dadii.....

Sema ndo hivo wanavosema na kuniandama ndo wananiongezea nguvu ya Mahaba kwa Dadii.

Na hii siku zote umekuwa ukisema, people are taking things so serious huku.

Thanks for the alert Jabuu hata sikuwa nimejua kuna kitu kinaendelea huku JF.

Cheers Axeee.

Thank you!

Afadhali umekuja mwenyewe kuthibitisha.

Happy New Year 🎆🎊🎈
 
Wajua kuna mada zingine zinagusa watu wasohusika directly.
So mfano ukiona mada imekugusa sana na wataka kumwaga povu ,hebu ipotezee manake utaibua mengine
Kwani jinsi ilivyokugusa kuna wengine imewagusa pia either positively ama negatively.So reaction yako itaoneka personal though ulikuwa na nia njema tu.But kama waona kuna umuhimu kuchangia basi jipe muda kuidigest then utajibu ukiwa with calm mind and feelings.


Sent using Jamii Forums mobile app
Aaahhhh sasa hilo tu kumbe ndio tatizo.

Basi ndio maana mnaendelea kua wahanga !!! .

Haya maisha ni matamu sana yenye raha, Hasa hasa ukiwa na Uhuru wa Kifkra na uhuru wa maisha kwa ujumla wake.

Ila ukipungukiwa kimoja wapo..basi amin nakuambia Hata mtu akikohoa utahis anakusema wewe.



Humu bana, Wapo wanaopretend wema kwa faida zao binafsi na wanajulikana .

Mimi sijawah kaaa nifikirie kua mnafiki kwa faida binafsi.

Napendaga nikisema kitu niseme, naata ikitokea nmekuelewa, nitakufata PM mimi mwenyewe nikuambia Nmekuelewa !!!... Alafu kisha ww ndo utaamua !!!


Wadada mnapenda sana kusifiwa yaan mnapenda sana, Mnapenda kufichiwa Mabaya yenu, mnapenda hata km unafanya jambo lisofaa , basi mwanaume atakayekupa kupa kamoyo kwalo, ndio atafaidi sana utamu wako naww mwenyewe.!!


Ayaaaaa nmekuelewaa mamaaaaa yake mtu ...... .... Hapo vipi????
 
Sikukulenga wewe,na kama uliona halina faida,ungesoma usepe sio kujibu mashudu yako humu,kwani kila topic unareply?? pita kushoto shetani wewe,na wala sikulenga mada yangu kwa mafala kama wewe!

You know what Nyani Ngabu

What comes around goes around.

Thread ya Dadii ndo aliyelengwa ila anaibuka mtu na kuanza kumnanga Dadii what what....

Laters off
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom