Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Tuwasamehe wanaume wanaochukia wanawake humu

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiiiiiii hahahahaha Dunia itanitua??? Hahahajahahah hahahahahaha nmechekaaaa sanaaaaaa yan saaana.

Kile kipindi nmepewa BAN ulisema ivoivo..nikakuambia mimi siwez ikimbia ID yangu maana ndo uhalisia wangu.

Umeona nmerudi,, na Ninaendelea vilevile..nalabda nikuhakikishie kitu Hamna cha Dunia wala bibi yake

Sanasana mimi na akina guDume na wengine ndio tunatumika, kuwafunza kama wewe, ili mzione pande zenu zapili za Sarafu ambazo hampendi kuambiwa !!!


Utasubiriii sanaa Dunia inifunze, nahaitokaa inifunze kwasababu Nina elimu ya Dini, Malezi, maisha ......... Itaanzia wapi???...uzuri tuko humhm JF... Mtakua mnabadili ID mzee baba nipo tu nadunda .

hahahahaha ..hii miandiko humu JF inaeleza a lot about us,wewe una nyodo in real life and yes Dunia itakufundisha,eti una elimu ya dini hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa utoto bwana yaani elimu ya dini inakufundisha kuwachukia wanawake na kupoteza muda na energy kuwaponda,leta kifungo cha biblia kinachosema uwachukie masingle mazas
 
Na hata ukimwambia hakubali,ndio tatizo hapo..lol
Hahahahaha HAITOKAAA MIMI KUKUBALIANA NA MAWAZO YA KUFUNIKA UJINGA HATA SIKU MOJAAA.

HAITOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA .

bahat nzur najiamini..ujue nn??? mnapendwa kusifiwa..SIFA HUPEWA ANAYEZISTAHILI.


mbn rahisi..Mwangalien HAMISA MOBETO...amechoka njia za panya..kaamua kufanya maisha... Sasa ivi ni mdau wake sana na nmemkubali !!!.
 
Hahahahaha uwiiiiii hahahahahahahahahau kumbe??? Basi Hata wazazi wauzao Maembe bado wanatosha kulea watoto wao Vzuri sana na watoto wakaleleka namwisho wakawa Wanaojitegemea.

Point nikwamba, nmelelewa maisha mazuri yalonipa malezi na elim ya Dunia, Dini na maisha kwa ujumla wake.


Haoooooo Mloshindwa hahahaha tunaingia 2019 bado hueleweki tu ....JF members .

si useme hujaelewa,doh!
 
Hivi sikusema jana kwenye ile sredi ya GuDume kwamba si muda mrefu ataibuka mtu mwenye ID ya kike na kuanza kuponda wanaume??

Halafu here is the irony...huyu huyu mwanzisha mada kutwa kucha anamnganga mwanamke ‘mwenzie’ [ Kasie ] akianzishaga sredi zake halafu anaanza kutukana na kurusha backhanded madongo kwa wengine ambao hawana hata time naye.

Unafiki unafiki tu.
Yeah Agano limetimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha HAITOKAAA MIMI KUKUBALIANA NA MAWAZO YA KUFUNIKA UJINGA HATA SIKU MOJAAA.

HAITOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA .

bahat nzur najiamini..ujue nn??? mnapendwa kusifiwa..SIFA HUPEWA ANAYEZISTAHILI.


mbn rahisi..Mwangalien HAMISA MOBETO...amechoka njia za panya..kaamua kufanya maisha... Sasa ivi ni mdau wake sana na nmemkubali !!!.

ungekua haukubaliani ungekaa kimya,hivi 'kuonyesha kwamba dawa haikuingii ndio kabisaaa inaonyesha inakuingiiiiaaa vyema...
 
Hivi sikusema jana kwenye ile sredi ya GuDume kwamba si muda mrefu ataibuka mtu mwenye ID ya kike na kuanza kuponda wanaume??

Halafu here is the irony...huyu huyu mwanzisha mada kutwa kucha anamnganga mwanamke ‘mwenzie’ [ Kasie ] akianzishaga sredi zake halafu anaanza kutukana na kurusha backhanded madongo kwa wengine ambao hawana hata time naye.

Unafiki unafiki tu.

hahahaaaa mimi sio mnafiki wa kuanza kuangalia wapi 'mtoa mada amekanyagwa na kuanza kujichekesha….Kasie mwenyewe hajalalamika..au umekua wakili wake...mxiewww
 
hahahahaha ..hii miandiko humu JF inaeleza a lot about us,wewe una nyodo in real life and yes Dunia itakufundisha,eti una elimu ya dini hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa utoto bwana yaani elimu ya dini inakufundisha kuwachukia wanawake na kupoteza muda na energy kuwaponda,leta kifungo cha biblia kinachosema uwachukie masingle mazas
Ningewachukia wanawake ??? Siwachukii hata kidogooo , acha kuniunganisha sanaa.
Tatizo lako niile Tatizo lako la kusahau sahau hata kabla ya kua bibi .

Ungetafuta tiba kwanza.

Siwachukii wanawake... ninaongea ukweli. Sasa wee ndo unanitafasiri ivo !!! Na ukweli utabak ukweli na utasemwa tuuu na kwamba Singo mama na walio kama wewe, siku mkiacha ujinga km ilivokua kwa wamama wa zaman, niwazi Wanaume watavuna ASALI TAMU.

Lkn kwa style hii hii mlonayo ..DUNIA ITAWAFUNZA.


Sasa basi, Endelea kusubiri Dunia inifunze [emoji23][emoji23][emoji23]
Maandiko yanasema ,Mwenye Haki ataishi kwa Imani yake !!!.
 
Kiasi cha kuwaponda wanawake humu na kuwafanya wafeel worthless...…………...

Tuwasamehe tu

wengi wao hawajijui kama wana hili tatizo as chuki yao ni uncounscios…

Wamama wenye watoto wa kiume jitahidini kubalance malezi kwa watoto wa kiume…

Especially wakiwa wadogo,

wakisuffer trauma kutoka kwa mtu wanayemuamini (female figure),kama mama,dada,mpenzi,mwalimiu etc

hii trauma inabaki kwenye ubongo,

ambayo ina result into hatred towards women,

Utawajua tu humu,

tabia ni ngumu kuficha,

Mwanaume aki come across as self centred,controlling and every time ana pick up a fight na wanawake..

he is probably twisted!

Salamu za mwaka mpya kwa nyie wote..
Well said my dear [emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake akili zetu tunazijua wenyewe unakuta mama anasomesha wanae wa kike shule za gharama Ila hataki watoto wake wa kiume waoe wanawake wasomi au wenye pesa kuwazidi watoto wake Dunia haishi vituko kikubwa tuvumiliane tu.
Ha ha ha haaaa
 
hahahaaaa mimi sio mnafiki wa kuanza kuangalia wapi 'mtoa mada amekanyagwa na kuanza kujichekesha….Kasie mwenyewe hajalalamika..au umekua wakili wake...mxiewww

Oh yes.

Keshalalamika sana kwenye nyuzi zake.

Hujui kusoma?

Btw, kakuibia bwana au?

Manake chuki ulonayo kwake ni ya ajabu sana.

Stupid filthy ho.

*** you.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom