Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,189
- 144,023
Sina shida hiyo kabisa.
I got plenty of pussy.
Mkuu naomba hata pusi mmojaSina shida hiyo kabisa.
I got plenty of pussy.
Mkuu naomba nitagie huo UziWanaroho nzuri mkuu lkn Gudume kawakimbiza, wengne toka jana afungue uzi wa kuwachana Mubashara wamepotea kbsa umu jamvini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba hata pusi mmoja
Acha kudanganya watu.... malezi mazuri sio kula kuvaa kulala.Ni kweli mtu aliyelelewa vizuri ana staha, anajua wapi pa kusema wapi pa kunyamaza, anajua ni neno gani aseme wapi na wapi aseme nini hata kama ni ukweli. Mtu anayetapika kila anachowaza mradi aguse hisia za mtu fulani anakuwa na shaka kwenye saikolojia yake
Sent using Jamii Forums mobile app
unajuaje nimetumia ishu ya wengine?
tena dumb kupita maelezo,wewe inakuhusu nini mimi nikiwa dumb?
naona umeishikilia ishu ya Kasie,hahaha una lingine lolote la kuongea..??
Hahahah we hufai walahAaaaah mkuuu Negative huenda kwa mada inayofanya Negative istahili .
Sasa km mwanamke kazungumziwa Uzuri... Ivi kweli unaanzaje kumsema vibaya???? .
Sijawah koment neg ktk mada chanya juu ya mwanamke .
Labda unaweza niletea koment ambayo nmeongea Neg hata paspostahili???
Ukiwa mrefu ni mrefu tuu..ukiwa mfupi ni mfupi...
Ubaya nipale unapoona mtu mfupi anataka aitwe mrefu.
Ifike mahali, Ondeen mawazo hayo.. Nyeusi ibaki kua nyeusi..nanyeupe ibaki kua nyeupe.
Tatizo linaanzia km alivosema ndugu GuDume alafu mjifanye kua alichoandika kaandika Kwa chuki.
Naziona nyumba za vioo zinavyopuputika humu leo...
Huwa sipendi shida muhumu weka balimi nyingine.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina link yake mkuu ila upo humu humu ukiutafta hautapiga kona mbili kabla haujakutana nayo, ni ya jana2 ina headline unayosema NILIYOJIONEA BAADA YA KUWEKA TANGAZO HPA LA KUTAFTA MCHUMBA, utacheka sanaMkuu naomba nitagie huo Uzi
Sikuuona Wajua tena majukumu
Sorry lakin mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio hapo mwenyewe unajiona kidume! Unaona raha na sifa kumuumiza binti asokua na hatia kwa kosa la Ex wako? You are so Evil. Namhurumia mwanamke atakaeolewa na ww! Hivi ukija kujaaliwa watoto wa kike, utafurahia binti yako apate mume mwenye tabia kama zako??[emoji23] hawap mkuu. NawAkula sema wakinipa hua nafanya komoa ili hata akiniacha nakua nishamchoka.
Kuna mmoja tulikua lodge usiku kucha nipo kwenye papuchi.anasema amechoka na ana usingizi ila mi sielewi kitu.tumelala saa kumi na moja asubuhi.kufika saa moja asubuhi nikamuomba tena cha mwisho akaanza kulia eti namchukulia kama kahaba
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha hata kama ungeniomba nisingekupa!
@The iron butterfly (PhD)Wengi wameumizwa kihisia
Aidha walitelekezwa na mama zao wakiwa watoto,ama waliumizwa na wapenzi wao waliowapenda na kuwaamini.
Wamejeruhiwa so wametengeneza chuki na kila mwanamke ama jinsia ya kike .Ni wagonjwa wa kiakil bila kujijua.Wasamehe na uwaombee huenda wakapona siku moja.
Wanadhihak wanawake na kuwadharau wanasahau ni kupitia hayo maumbile ya mwanamke walikuja duniani.Hata uyatukane maumbile ya mwanamke vipi ama umdhalilidhe vipi atabaki kuwa mwanamke na msaidizi wa muumba katika uumbaji.
Mungu alimuumba mwanamke ili akasaidie kazi ya uumbaji na jukumu hilo haliwezi badilika kamwe na umuhimu wa mwanamke utabaki enzi na dahari.
Wengi utawatambua kwa comments na mabandiko yao hapa jf,wanastahili kuonewa huruma na ikibidi kupatiwa msaada wa kisaikologia.
Sihitaji kuwataja wanajijua and nashauri its about time watafute msaada wa matibabu,tuna wataalamu wengi wa magonjwa hayo kwenye hospital zetu zote kubwa nchini Tanzania.
Mwisho niwape moyo wasichana na wanawake wenzangu msivunjike moyo.we we ni kiumbe wa pekee na uliletwa duniani kama mwanamke kwa sababu.Una nguvu kama malkia esta,kama Eva/hawa,Mariamu mama yake Yesu,Malkia wa Sheba na wanawake wote mashujaa wa enzi na enzi.Wewe ni dhahabu maneno hata kwenye kanga yapo.Hakuna mtu wala maneno machafu ya mtu ya kukushusha isipokuwa wewe mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
OK shukran ngoja niutafuteSina link yake mkuu ila upo humu humu ukiutafta hautapiga kona mbili kabla haujakutana nayo, ni ya jana2 ina headline unayosema NILIYOJIONEA BAADA YA KUWEKA TANGAZO HPA LA KUTAFTA MCHUMBA, utacheka sana
Sent using Jamii Forums mobile app