Si kweli mkuu, Basic si chini ya 1.8Hahaaaaaa kaka mi nina ndugu yangu ni TA SUA huo mshahara ataufikia labda 2026 ila kwa sasa hata 1.2 hafiki
Si kweli mkuu, Basic si chini ya 1.8Hahaaaaaa kaka mi nina ndugu yangu ni TA SUA huo mshahara ataufikia labda 2026 ila kwa sasa hata 1.2 hafiki
Hao wa GPA ya 3.5 walibaki kama instructors na sio TANi kweli lakini naona Luna wengine wanataka 3.5
Hiyo ilibaki kwa instructors3.5 inakubalika asee kwa Bachelor kwa mujibu wa TCU
Sijabisha au unataka kielelezo.Asante mkuu, ubishi hauna utija, endelea kuamini unachokijua.
Kwa hiyo ataazeeke akiwa instructor?Hiyo ilibaki kwa instructors
Itategekea na chuo ila vyuo vingi mnapiga paper ya written ambayo ni research na field yako. Inakusanywa.Sawa mkuu,wanatoa cha kupresent au unachagua wewe? Aisee inatakiwa uwe vizuri sana
Anaongea kitu hajuiKakudanganya
T.A PUTS 1.1 basic ni 1.9(na upekepeke)
anaweza lamba take home hadi 1.2 kama hana makato ya bodi ya mkopo anavuta parefu.
Akienda upgrade to master anakunja parefu pia mengine ni kujiongeza tu.
Kumbuka T.A ni seed inayopandwa na chuo huyu muhadhiri au professor wa baadae.
Si vyuo vyote muhimu uijue field yako vizuri kazi unapata.Kupata izo nafasi hata za kuitwa kwenye usahili aseee uwe na connection kali mnoo. Kuipata kazi hiyo ni mbinde. Mnaenda kwenye usahili ila kuna mtu ameshaandaliwa.
Usaili ni chuo chenyewe ila utumishi wanatuma mtu wao wa kusimamia mchakato uwe fair.Ni noma,kumbe sasa kwa kazi za tutorial ni ajiraportal wanatangaza,usahili ni chuo chenyewe?
Sio kweli jiandae vizuri uwe unajua vitu basiUdsm kama huna jina linaloanzia na Ruta ama kule karibu na mlima mrefu sahau kupata.
#MaendeleoHayanaChama
Nyinyi watu ni wa kuroga,, sema lugha ya malkia nlikuwa namchana mbali mno




ila kwa pepaa anakuchinjilia mbali, shemelaaa wee daaah.Khaaaah kumbe? Mbna sikua najua hili, bas watu wana kazi mweeeh.Kuna changamoto kiasi chake, moja ni pale itakapohitaji uthibitisho ama tafsiri ya matokeo yako toka kwenye mamlaka ya vyuo vikuu ya nchi. Kwa msingi huo anayetakiwa kufanya hivyo ni TCU ambaye sio msimamizi wa hivi vyuo vya kati. Sio kwamba haiwezekani bali kumekuwepo na changamoto kadhaa.
Wasikutishe kabisa, ukiwa vizuri kwenye presentation hawawezi kukuacha, oral ni maswali yakawaida sana yanahusu fani yako, watakupiga maswali ya kutosha kwenye eneo hilo. Kumbuka kuna panel na kila mmoja anascore. Mwisho zinajumlishwa na waliofaulu wanajulikana. Kama kuna manjogi labda huyo ndugu yake aombe maswali kwa panel members wengine na sio wote wanakubali huo ujinga. Kuna dogo tulimuinterview chuo fulani, alikuwa kasoma nje, vyeti vyote kiarabu, alikula maswali mpaka ambayo si fani yake, ilipofika presentation alifanya maajabu. Sasa ana PhD yake na yuko only 30 years.Kheeeeeh km ndo hivyo sitoboi, maana mmmh.
Nna damu ya kunguni shem.![]()
Unawezaje kunipa kielelezo kwa kitu nilichokifanya binafsi, kwa nini usikubali kupata maarifa mapya? hapa hatufanyi mashindano, tunashare experience zetu tu, endelea kubaki na vielelezo vyakoSijabisha au unataka kielelezo.
Nitakupatia.
Ooooohhhhpppsss unanipa nguvu sasa.Wasikutishe kabisa, ukiwa vizuri kwenye presentation hawawezi kukuacha, oral ni maswali yakawaida sana yanahusu fani yako, watakupiga maswali ya kutosha kwenye eneo hilo. Kumbuka kuna panel na kila mmoja anascore. Mwisho zinajumlishwa na waliofaulu wanajulikana. Kama kuna manjogi labda huyo ndugu yake aombe maswali kwa panel members wengine na sio wote wanakubali huo ujinga. Kuna dogo tulimuinterview chuo fulani, alikuwa kasoma nje, vyeti vyote kiarabu, alikula maswali mpaka ambayo si fani yake, ilipofika presentation alifanya maajabu. Sasa ana PhD yake na yuko only 30 years.
Hivi hivyo sio vyuo vya kati kweli!!Hicho nilichopost hapo ni IFM. Naona taasisi za elimu kama ISW & IFM kwa tutor inaanzia na 3.5 ila ass lect inaanzia na 3.8
Vyuo vingi huwapa vipaumbele wale waliohitimu kwenye vyuo husika.98% ya TA wa udsm ni waliosomea hapo 1.5 wamesoma vyuo vya kueleweka nje 0.5 ni wa nje ya udsm
Ewalaaa!Vyuo vikuu viko katika makundi mawili, ambavyo viko chini ya TCU na ambavyo vinasimamiwa na NACTE. IFM ni moja ya vile ambavyo viko chini ya NACTE na kwa kweli, hivi ni vyuo vikuu hapa ndani ila nje havitambukiki. Hata katika orodha ya vyuo vikuu Tanzania kwa mujibu wa TCU hutavikuta. Hivi vyuo, vina vigezo tofauti vya kiajira, kuanzia intaeview zake mpaka masharti na sifa. Hapa GPA ya 3.5 ya degree ya awali utapata kazi na zoezi zima la ajira huendeshwa na tume ya ajira.
Kundi la pili la vyuo ni vyuo vikuu ambavyo vinatambulika na kusimamiwa na TCU. Hivi ni vyuo ambavyo vina hadhi ya kimataifa na vingi viko accredited kimataifa. Sifa ya kupata hapa lazima uwe na GPA ya 3.8 kwa degree ya awali. Ajira zake pia kwa upande wa wafanyakazi wataaluma huendeshwa na kamati za ajira za vyuo. Hapa tume ya ajira huja kama observers tu kuona kama taratibu zote za kiajira zinafuatwa lakini wao sio custodian wa zoezi la ajira hizi.
Tutorial Assistant wa DIT, IFM, TIA...na wengine wanaofanana na hawa ni tofauti na TA wa Udsm, UDOM, SAUT, TUMAINI, SUA..na wengine wanaofanana.
Mishashara katika makundi haya ya vyuo haitofautiani sana isipokuwa hutofautiana katika maslahi mengine kama fursa kusoma.
Karibu kwenye ulingo, uwanoe vijana vichwa.
Simple easyTopic unachagua mwenyewe..tuliomba direct chuo na utumishi walokuwapo kusimamia tu ila oral wanakua wale doctors ndo wanauliza maswali..hr na secretary pia academic wa chuo husika anakuwapo.Panel ilikua na watu 7 na tuliitwa watano tu.Walianza na maswali general after that nkaona umeletwa ubao..Mark pen..ufutio nmeambiwa haya chagua topic yoyote utufundishe kwa nusu saa.
damn confidence tu.Huh, ina maana hizo vitu hazina kazi. Haina haja ya kuwekwa. We umekomalia experience.Unawezaje kunipa kielelezo kwa kitu nilichokifanya binafsi, kwa nini usikubali kupata maarifa mapya? hapa hatufanyi mashindano, tunashare experience zetu tu, endelea kubaki na vielelezo vyako