CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,529
- Thread starter
- #41
Ni kweli mkuu,tena naona huwa wanaita wachache sana wakiwa wengi ni 50 tuwanakosea wachukue watu wenye GPA hata za kawaida wawaweke pale kwenye interview waone mbivu na mbichi
jamaa angu nimempita GPA ila alikuwa dedicated anafundisha watu na wanaelewa kweli, wenye gpa kubwa walikuwa hawana time ya kumfundisha mtu...
Unaajili Lect hana hata habari ya kufundisha kazi kusifia credentials zake kasoma UK sijui ana PhD halafu anafundisha havieleweki
wenye kuzitaka wachache

