Nafasi ya kazi – Wakala wa mauzo (FULL-TIME)

Dr Said Said

New Member
Joined
Apr 5, 2026
Posts
2
Reaction score
5
Je, wewe ni mtu mwenye ujasiri wa kuzungumza na wateja, huporomoshwi na kukataliwa, na unatamani kipato kikubwa kutokana na juhudi zako?

Kama jibu ni ndiyo, basi nafasi hii inaweza kuwa ya kwako.

Online Profits ni kampuni ya e-learning inayosaidia wajasiriamali na wajasiriamali watarajiwa kuanzisha na kukuza biashara za kitaalamu mtandaoni. Kupitia programu yetu kuu, Online Profits University, tunatoa kozi za mtandaoni, mentorship, na coaching zinazowawezesha wanafunzi kufanikiwa katika uchumi wa kidijitali.

Kutokana na ukuaji mkubwa wa mahitaji ya programu zetu, tunatafuta Wakala wa Mauzo wa muda wote (remote full-time sales representative) atakayesaidia kuwasiliana na leads, kufuatilia wateja watarajiwa, na kufunga mauzo kwa njia ya simu na WhatsApp.

Hiki ndicho tutakachotarajia kutoka kwako​

  • Kuhitimu leads na kuwasiliana na wateja wanaovutiwa na programu zetu
  • Kupiga angalau simu 20 za mikakati kila siku
  • Kufanya ufuatiliaji wa leads mara 10 kwa siku
  • Kupost status za WhatsApp kila siku kuhusu programu na bidhaa za Online Profits
  • Kusambaza maudhui ya Dr. Said na kampuni kwa wateja wanaovutiwa
  • Kuwashawishi wateja kwa mawasiliano yenye ujasiri, weledi, na ufuatiliaji wa karibu

Tunamtafuta nani?​

Tunatafuta mtu ambaye:
  • Anaongea na kuandika Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha
  • Anaweza kuwasiliana kwa simu kwa ujasiri mkubwa
  • Haogopi kukataliwa na wateja
  • Ana hamu ya kujifunza mauzo na copywriting
  • Ana malengo makubwa ya kifedha na kitaaluma
  • Ana nidhamu ya kufanya kazi kwa kujisimamia akiwa remote

Uzoefu wa mauzo au telemarketing ni faida, lakini si lazima.
Kama una attitude sahihi, tutakufundisha.

Malipo na faida​

  • Kamisheni ya 10% hadi 30% kwa kila mauzo utakayofanya
  • Kipato kinaweza kufikia Tsh 2M – 6M+ kwa mwezi kwa mtu mwenye bidii na performance nzuri
  • Bonasi za utendaji kwa wanaofanya vizuri
  • Mafunzo na mentorship moja kwa moja kutoka kwa Dr. Said
  • Ufikiaji wa programu zote za Online Profits
  • Fursa ya kukua kitaaluma ndani ya kampuni inayopanuka kwa kasi

Kwa nini ujiunge nasi?​

Hii si nafasi ya “kazi tu.”
Ni fursa ya kujenga uwezo mkubwa wa mauzo, kujifunza kutoka kwa viongozi wa sekta, na kukuza kipato chako kulingana na matokeo yako.

Kama wewe ni mtu anayependa changamoto, anayetaka kukua, na yuko tayari kujenga career ya muda mrefu kwenye mauzo, tutafurahi kufanya kazi na wewe.

Tahadhari muhimu​

Hii si kazi rahisi.

Utakutana na:
  • Wateja watakaokataa
  • Ufuatiliaji wa mara kwa mara
  • Pressure ya kufikia matokeo
Kama huwezi kushughulikia msongo wa mawazo, kukataliwa, au kufanya kazi kwa nidhamu ya juu, nafasi hii haitakuwa sahihi kwako.

Pia tunatafuta watu wanaotaka kumudu muda mrefu.

Kama unatafuta kazi ya kupita tu, tafadhali usitume maombi.

Jinsi ya kutuma maombi​

Jaza fomu ya maombi sasa kama unaamini una uwezo wa kuwasiliana na wateja kwa ujasiri, kufuatilia leads kwa umakini, na kufunga mauzo kwa matokeo makubwa.

Ni wagombea watakaochaguliwa pekee watakaowasiliana kwa hatua inayofuata ya mahojiano.
 
Binafsi nakushukuru sana Dr Said kwa mafunzo yako na maarifa yaliyopo kwenye kozi zako kwakuwa mimi ni mwanafunzi niliyejiunga na kozi zako mwaka 2022 nilikuwa chini ya Coach Ema kipindi hicho Darasa letu na kina Imanuel Mnyongo,Omary Gubi,Elia Sereka,Madam Husna wa Zanzibar,Ahazy Nges na wengine wengi sana

Nilijiunga nikiwa kwenye hari mbaya kiuchumi kwakuwa biashara nilizokuwa nafanya hazikuweza kunipatia kipato cha kutosha na nilikuwa nikitumia nguvu kubwa sana kufanya mauzo

Lakini kwasasa nimeweza kufungua kampuni mbili ambapo 1 inajihusisha na utengenezaji wa bidhaa zenye kutatua changamoto sugu za usafi na kampuni ya pili inajihusisha na mambo ya Usafi na Furmigation majumbani,Viwandani,Maofisini,n.k

Nimeweza kufungua Kampuni zote mbili bila kutegemea mkopo wala kuuza hisa kwakutumia mafunzo yako kupitia Biashara yangu nnayoiendesha kupitia mtandao iliyoniwezesha kuingiza kipato kikubwa kila siku mpaka Tsh.2,500,000 kwa siku wakati sijajiunga na Program hata kupata Tsh.500,000 tu kwa mwezi ilikuwa kazi

Nashukuru sana Dr Said mwanzo nilikuwa napuuzia sana ndiyo maana nilibaki kwenye hari ngumu lakini baada ya kuchukua hatua nimeyaona mafanikio licha ya elim yangu ya kidato cha nne tu nimeweza kufanya kazi na watu wenye Elim kubwa katika kampuni zangu zote

Mungu akuongeze umri na maisha marefu ili uweze kuwasaidia wengine wanao chelewa kuchukua hatua ili siku watakapo amua kuchukua hatua wakukute uwasaidie pia kupitia Program zako

Ishi sana Dr Said
 
Hhhhhhhhhhhhhhhh

2.5M per day aisee haya sawa bilionea ajae
 
Back
Top Bottom