Sawa. Na mhadhiri anapokeaje?Sikulazimishi kuamini ikiwa haupo au hujawahi fanya kazi katika eneo hili.
3.5 inakubalika asee kwa Bachelor kwa mujibu wa TCUKijana ni 3.8 kwa bachelor degree na 4.0 kwa master degree
Si kweli mkuu, TCU walisha harmonize hiyo kitu, ikapandishwa toka 3.5 hadi 3.8. Nina uhakika na ninachokwambia na nimekuwa kwenye panel kadhaa kwa miaka sita iliyopita3.5 inakubalika asee kwa Bachelor kwa mujibu wa TCU
Ni kweli lakini naona Luna wengine wanataka 3.5Si kweli mkuu, TCU walisha harmonize hiyo kitu, ikapandishwa toka 3.5 hadi 3.8. Nina uhakika na ninachokwambia na nimekuwa kwenye panel kadhaa kwa miaka sita iliyopita
Haha !lpole sanaHawajiiti, bali wanaitwa hivyo na ni sahihi kabisa., punguzaa ujuaji
Ziweke jukwaani mkuuMUST wametangaza nafasi 83..
AiseeKwakweli
Wale wa "maisha ni zaidi ya GPA" sio mahala pao.
Sawa mkuu,wanatoa cha kupresent au unachagua wewe? Aisee inatakiwa uwe vizuri sanaNaona saivi utumishi wanaita direct kwenye oral kwa nafasi za kufundisha... sie tuliitwa oral moja kwa moja. Jiandae tu kuandaa presentation na kupresent
Kuanzia 2.7 hadi 5.0 inategemea yupo level gani kwa wakati huo.Sawa. Na mhadhiri anapokeaje?
Sio chini ya 1.8 - 2.0 M hivi.
KakudanganyaHahaaaaaa kaka mi nina ndugu yangu ni TA SUA huo mshahara ataufikia labda 2026 ila kwa sasa hata 1.2 hafiki
Mkuu nimefanya kazi SUA niko na Bachelor tu, nilikuwa nalipwa PUSS ya kuanzia kabisa 1.5 basic sio Academician hapo TA amenizidi hiyo nikuwa napata. Labda hiyo 1.2 itakuwa ni net, yani hapo ana makato mengi.Hahaaaaaa kaka mi nina ndugu yangu ni TA SUA huo mshahara ataufikia labda 2026 ila kwa sasa hata 1.2 hafiki
Ndo nipo ktk michakato hiyo.Mbona ww kupata rahisi sana. Hujaamua tu
Robo / Nusu ya Mshahara wa Lecturer wa Chuo Kikuu husika.Mishahara yao ikoje
Watakufurumusha![]()




shemelaaaa, GPA yangu nikionesha tyuuh, hapo hapo napewa kazi. Khaaaaah wee hebu kuwa serious.Hahaaaaaa kaka mi nina ndugu yangu ni TA SUA huo mshahara ataufikia labda 2026 ila kwa sasa hata 1.2 hafiki