Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

Hujaelewa nilichokiandika (umesoma nelson Mandela nn) what i am sayn ni kwamba dunia nzima utaratibu wako hauwezi kutumika

Really Hata sense of humour huna
-Hujui kusoma Kwa umakini, hivyo umepoteza sifa ya Kuwa Msomi, paragraph ya Kwanza ilikuwa wazi kabisa inajieleza kabisa Ila Ukawa huelewi Halafu na ww unataka kufundisha Chuo kikuu?
 
Sio upendeleo ni different philosophy ndio maana siwezi chukua someone out of my college
- Hata Kama kafeli interview? Hivi unajua Kuwa Kanuni za Uendeshaji wa sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma zinasema Kwa Kada ya Ufundishaji wa Vyuoni unatakiwa upate 70% kwenda Juu, Sasa Kama Kakosa hiyo 70% Maana yake hafai.
 
-Hujui kusoma Kwa umakini, hivyo umepoteza sifa ya Kuwa Msomi, paragraph ya Kwanza ilikuwa wazi kabisa inajieleza kabisa Ila Ukawa huelewi Halafu na ww unataka kufundisha Chuo kikuu?
What part of sense of humour that you don't understand?? ,, jeez and nani kasema nataka kuwa TA,,, generalising things like a little bi*#&
 
Vyuo vikuu viko katika makundi mawili, ambavyo viko chini ya TCU na ambavyo vinasimamiwa na NACTE. IFM ni moja ya vile ambavyo viko chini ya NACTE na kwa kweli, hivi ni vyuo vikuu hapa ndani ila nje havitambukiki. Hata katika orodha ya vyuo vikuu Tanzania kwa mujibu wa TCU hutavikuta. Hivi vyuo, vina vigezo tofauti vya kiajira, kuanzia intaeview zake mpaka masharti na sifa. Hapa GPA ya 3.5 ya degree ya awali utapata kazi na zoezi zima la ajira huendeshwa na tume ya ajira.
Kundi la pili la vyuo ni vyuo vikuu ambavyo vinatambulika na kusimamiwa na TCU. Hivi ni vyuo ambavyo vina hadhi ya kimataifa na vingi viko accredited kimataifa. Sifa ya kupata hapa lazima uwe na GPA ya 3.8 kwa degree ya awali. Ajira zake pia kwa upande wa wafanyakazi wataaluma huendeshwa na kamati za ajira za vyuo. Hapa tume ya ajira huja kama observers tu kuona kama taratibu zote za kiajira zinafuatwa lakini wao sio custodian wa zoezi la ajira hizi.
Tutorial Assistant wa DIT, IFM, TIA...na wengine wanaofanana na hawa ni tofauti na TA wa Udsm, UDOM, SAUT, TUMAINI, SUA..na wengine wanaofanana.
Mishashara katika makundi haya ya vyuo haitofautiani sana isipokuwa hutofautiana katika maslahi mengine kama fursa kusoma.

Karibu kwenye ulingo, uwanoe vijana vichwa.
Hicho nilichopost hapo ni IFM. Naona taasisi za elimu kama ISW & IFM kwa tutor inaanzia na 3.5 ila ass lect inaanzia na 3.8
 
- Hata Kama kafeli interview? Hivi unajua Kuwa Kanuni za Uendeshaji wa sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma zinasema Kwa Kada ya Ufundishaji wa Vyuoni unatakiwa upate 70% kwenda Juu, Sasa Kama Kakosa hiyo 70% Maana yake hafai.
Kuwa wote wa chuo hcho walioitwa kwenye interview wamefeli?? Maan your argumentative got to give ya that one,, but you are more or less like 8th grader
 
Kuwa wote wa chuo hcho walioitwa kwenye interview wamefeli?? Maan your argumentative got to give ya that one,, but you are more or less like 8th grader
- kwani haiwezekani muitwe 50 Halafu Katika hao 50 kutoka UDSM 5 na watano hao wote wa UDSM wakafeli interview?
 
Kazi zenyewe kumbe za connection, Halafu salary yake ndogo tu, ukilinganisha na eGa, Tra, TCRA nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom