The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,251
- 2,162
hapana,ni zaidi ya 1.5M;Ila kumbe mishahara yao ni chini ya milioni?
NOTE: zaidi ya hiyo niliyoweka;
hapana,ni zaidi ya 1.5M;Ila kumbe mishahara yao ni chini ya milioni?
duh!!,hapana;Kwenye bachelor uwe na 3.5 na kama ni masters uwe na 3.8
SUA umeisingizia,vyuo vya umma vyote mishahara ni sawa na si huu unaosema;Hahaaaaaa kaka mi nina ndugu yangu ni TA SUA huo mshahara ataufikia labda 2026 ila kwa sasa hata 1.2 hafiki
Shem labda uchaguliwe na department ila hizi za kuitwa kwa interview ni kama wanakomoana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemelaaaa, GPA yangu nikionesha tyuuh, hapo hapo napewa kazi.
GPA ndo muamuzi, hata usinitishe bhana wee.
Labda teku[emoji1787]Kupata izo nafasi hata za kuitwa kwenye usahili aseee uwe na connection kali mnoo. Kuipata kazi hiyo ni mbinde. Mnaenda kwenye usahili ila kuna mtu ameshaandaliwa.
Kheeeeeh km ndo hivyo sitoboi, maana mmmh.Shem labda uchaguliwe na department ila hizi za kuitwa kwa interview ni kama wanakomoana
Na sikuiz department ndo wanapeleka uhitaji na majina ya wanaowataka,, so department ikisema haihitaj mtu,,,ndo imetoka hvo,, halafu kiingereza [emoji1787][emoji1787] wanakazania utadhan unaenda kufundisha languageKheeeeeh km ndo hivyo sitoboi, maana mmmh.
Nna damu ya kunguni shem. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hizi nafasi hazina konekisheni.
#MaendeleoHayanaChama
Nliwahi kufanya udom..written ilikua research na pia kuandika topic ktk masomo husika.....oral unapewa nafasi ya kufundisha topic unayochagua mbele ya panel umeweka kabisa na ubao kama lecture.Hivi interview huwa inakuaje? Kuanzia written na oral? Mimi nimeomba ya Architect.
Shem labda uchaguliwe na department ila hizi za kuitwa kwa interview ni kama wanakomoana
Una maanisha hata ajira portal pia wanakuwepo department husika kuhoji?! Kama ni hivi basis kunakuwepo mchongo aisee,Shem labda uchaguliwe na department ila hizi za kuitwa kwa interview ni kama wanakomoana
Aisee balaa,sasa topics kila somo,hiii bhagosha.kukumbuka ni mtihani sana.mliitwa wangapi? Na he ilikuwa Utumishi au chuo wenyewe?Nliwahi kufanya udom..written ilikua research na pia kuandika topic ktk masomo husika.....oral unapewa nafasi ya kufundisha topic unayochagua mbele ya panel umeweka kabisa na ubao kama lecture.
Koneksheni itatuua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inter view yake itakuwa ni ya presentation tu ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemelaaaa, GPA yangu nikionesha tyuuh, hapo hapo napewa kazi.
GPA ndo muamuzi, hata usinitishe bhana wee.
Kumbeee?Inter view yake itakuwa ni ya presentation tu ,
Hiii unafikiri kama umechaguliwa kuwa AT wa physics udsm utafanyiwa assessment na mtu mwingine??, dadeki ni panel nzima ya idara waliochaguana sio poa,, so unachopresent wanakijua a to z ole wako udanganyeUna maanisha hata ajira portal pia wanakuwepo department husika kuhoji?! Kama ni hivi basis kunakuwepo mchongo aisee,
Shem unajua kiingereza kama cha tinsley? [emoji16][emoji16]Kumbeee?