CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Tatizo linaanzia hapoila kwa pepaa anakuchinjilia mbali, shemelaaa wee daaah.
Tatizo linaanzia hapoila kwa pepaa anakuchinjilia mbali, shemelaaa wee daaah.
Ni noma sanaTatizo linaanzia hapo
Aisee yani ni kujipanga sana,kweli kaposho kazuriNi kazi nzuri kwa kijana anaeanza maisha baada ya chuo. Mshahara wa 1.8m kwa kijana wa miaka 24 sio mbaya. Kwa sisi tuliokula chumvi nyingi ni hela ndogo haitoshi.
Kweli nzuri,ni ktk vyuo vyote?Ni kazi nzuri kwa kijana anaeanza maisha baada ya chuo. Mshahara wa 1.8m kwa kijana wa miaka 24 sio mbaya. Kwa sisi tuliokula chumvi nyingi ni hela ndogo haitoshi.
Vyuo vikuu ni 3.8Gpa 3.5 kea vyuo vingi vya serikali ifm iaa na mocu
Asilimia ni ndogo sana hicho chuo ni full nepotism ya wachaga na wahaya.Inategemeana na department
mkuu cpb,Mbona Moccu ni university na open university na wao ni university wameweka 3.5 ache kukatisha watu tamaa kama una 3.5 omba tu hujui unaweza pata
tupamabane,kama udsm hapo ni tabu kwelikweli kupata.Academician at work.Unataka uwe member wa UDASSA ili mkilewa Bia safari tu-discuss mambo ya nadharia za research na business modals?Karibu nipo hapa UDASSA rafiki!!
Sina uhakikaKweli nzuri,ni ktk vyuo vyote?
MaGPA yenyewe ya kupeana haya. Me pale chuo siku niliposhuhudia mwalimu amempa solution paperwork dem wake ambaye akaenda kuwapatia wadangaji wenzake wanaostay nyumba moja. Na kwenye paper yule binti akatoboa na A+ ndipo nikajua elimu usitazame performance ya cheti.wanakosea wachukue watu wenye GPA hata za kawaida wawaweke pale kwenye interview waone mbivu na mbichi
jamaa angu nimempita GPA ila alikuwa dedicated anafundisha watu na wanaelewa kweli, wenye gpa kubwa walikuwa hawana time ya kumfundisha mtu...
Unaajili Lect hana hata habari ya kufundisha kazi kusifia credentials zake kasoma UK sijui ana PhD halafu anafundisha havieleweki
Hahaha poleeeeeh.Tatizo linaanzia hapo
Ni uwezo wake ktk usahili tuKuna kijana wangu ana 3.5 ameomba iaa na ifm na ndo vigezo walivoweka vip anaweza pata
Ni kweli mkuu,lkn pia Luna wenye uwezo hivyo ni kama kweli chuo husika kinasimamia usahili alafu mwalimu aliegawa marks za bure Yuko pale unafikiri hawezi kufanya ujinga uleule?MaGPA yenyewe ya kupeana haya. Me pale chuo siku niliposhuhudia mwalimu amempa solution paperwork dem wake ambaye akaenda kuwapatia wadangaji wenzake wanaostay nyumba moja. Na kwenye paper yule binti akatoboa na A+ ndipo nikajua elimu usitazame performance ya cheti.
Mwite mtu ajiexpress kwa kichwa chake amebebelea nini. Makampuni mengi wamegundua huu upuuzi kuwa wanaingia gharama kuajiri watu ambao hawana vigezo mwisho wa siku wanapata hasara maana ufanisi kiutendaji ni zero.
Huko tuendako makampuni watajua na kuelewa kuwa cheti cha masomo ni qualification ya kuingia tu katika interview ila kumpata best candidate ni kupitia interview ya oral.
Kijana apambane.Kuna kijana wangu ana 3.5 ameomba iaa na ifm na ndo vigezo walivoweka vip anaweza pata