Kwa Nini ccm na Rais wake wanalala mchana?na kufanya kazi usiku?Imani ya kuroweka miguu kwenye baseni uku unafanya kazi ndo principle Yao?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Maisha ya kusoma bwana Yana visa na Mikasa mingi sana.hasa Kwa watoto wa masikini.

Enzi hizo nikiwa o level kwenye moja ya shule kongwe rafiki yangu kipenzi Sasa ni mkuu wa Wilaya fulani nchini Tanzania(urafiki wetu ulikoma baada ya kuwa mwana ccm kukisaliti chama tulichojiunga nacho tukiwa Chuo kikuu Kwa lengo kuikomboa nchi hii Kwa mara ya pili,Kwa Sasa ameungana na walaji wa nji(nchi), hii na urafiki wetu ukafariki,nareja ukafariki tafakali ilo).

Jamaa yangu tukiwa tunapiga msuri mzito alikuja na dhana ya kututaka sisi wanageti tuache kujisomea mchana na badala yake tuwe tunasoma usiku wa manane.

Ili kufanikisha ilo alitutaka Kila mmoja wetu tununue beseni na dumu moja kubwa la maji.

Alidai yakuwa Ili tuweze kuushinda usingizi lazima TUWEKE miguuu kwenye beseni liliro jazwa maji mpaka kati kati. Na tudumbukize miguu,

Namkumbuka rafiki yetu mmoja aliitwa Endrew Sasa ni mtumishi mwenye cheo kikubwa sana Jeshini alipinga dhana hii yeye alikuja na dhana ya kunywa kahawa au kuweka KUBELI Domo la chini uku ukinyonya utamu wa kamchuzi ka KUBELI kaliko changanyika na tumate mate twako mnyonyaji usiku Kucha.

Binafis niliipenda dhana ya kuweka KUBELI Domo la chini usiku Kucha ( ombea Domo lisikauke mate, yaani unajikuta umeungua), hakika hii ilinisadia ingawa ilinitia kilema Leo hii Mimi sifi Leo Domo langu la chini limelegea na kutapwata kama sehemu za Siri za ng'ombe kisa kuweka KUBELI Domo la chini usiku kucha

Wapo walio kuwa wanakunywa kahawa nao pia baadhi waliishilia kupata maradhi ya presha Kwa kuzidisha kahawa mwilini.

Wale walio kubaliana na kuloweka miguu, wao waliishia kupata virema vya miguu Yao kutepweta yaani mtu hawezi simama hata dakika kumi ONYAYO umelendemka.
(Hapa nambuka rafiki yangu ambae Sasa ni adui yangu kisa siasa ambae ni mkuu wa Wilaya Siku Moja nilimtoa mbele ya wanafunzi na kumpandisha kwenye jukwaa Ili atoe "Morning Talk" dakika Tano tu,( walio soma Airwing enzi za Afande Mwanasika wananielewa),kile kiwewe Cha kusimama mbele ya wanafunzi, kuchangia na kulendemka Kwa miguu hasa unyayo, na kulendemka alisweti Mwili mzima,kuanzia usoni kwapani na sehemu za Siri, kama anasoma andiko Ili lazima atakumbuka, maana wakati huo Mimi nilikuwa kiranja wake wa ulinzi Siku Hiyo niliamua kumtoa kafala mwanangu"pole mwamba.

Dhana zote hizi zilikuwa na madhara Kwa sababu moja kuu hazikuwa na udhibitisho wa kisayansi.

Leo hii nauliza Kwa Nini ccm na Rais wao ufanya kazi usiku? Na kulala mchana?

Je utumia dhana(thiory),(principle)ipi kati ya hizo nilizozitaja katika utendaji wao?

Nasema hivyo Kwa sbabu zifatazo:

Ally Karume alifukuzwa uana chama saa Saba za Usku sababu ilikuwa ni Nini?
Je Hawa watu wanataka tuamini yakuwa wakati sisi tumelala wao wanafanya vikao miguuu kwenye ndoo?wameweka KUBELI kwenye Domo la chini uku wananyonya tumchuzi twao wenyewe?au Mirungi?au wanavuta bangi Ili wasisinzie?na wanafnye maamuzi sahihi?

Taarifa ya kufutwa uwakili wa mtoto wa Raisi wa Zanzibari uwezi amini nayo iliandikwa usiku,yaani mtu alilala na mkewe,usiku wa manane akaamka na kuandika baada ya hapo kulipokucha akatoa taarifa Kwa umma!

Ni majuzi tu hapa, rafiki yangu aliyekuwa mkuu wa wilaya fulani ambae niliwai andika yakuwa anaisiwa kumtafuna "dent" mmoja uko "nkoani" na mwingine wa Temeke wakiwa wameisha nyoosha "SUTI" zao Huyu wa mjini alikuwa anajipanga kwenda sabasaba anaamka saa kumi na mbili simu inaita "eti" wametenguliwa.

Najiuliza wanao fanya kazi usiku mnatumia thiory ipi kati ya hizo nilizo zitaja?
Je Kuna umuhimu wa nyinyi kufanya kazi usiku Ili muwanyime watu haki zao za Msingi?(mathalani za ndoa?).

Je hamuoni mnakosea?Leo hii uliyemfukuza kazi usiku kukicha unamtaka ufanye nae kazi sehemu nyingine?

Mathalani Kama Allya Happy na Makonda na Ole Sabaya uliwafukuza usiku serikalini,iweje uwaitaji mchana chamani?
Angalieni thiory mnazo zitumia zina madhara makubwa.
 
Maisha kusoma bwana Yana visa na Mikasa mingi sana.

Enzi hizo nikiwa o level kwenye moja ya shule kongwe rafiki yangu kipenzi Sasa ni mkuu wa Wilaya fulani nchini Tanzania(urafiki wetu ulikoma baada ya kuwa mwana ccm kukisaliti chama tulichojiunga nacho tukiwa Chuo kikuu Kwa lengo kuikomboa nchi hii Kwa mara ya pili,Kwa Sasa ameungana na walaji wa nji hii na urafiki wetu ukafariki,nareja ukafariki tafakali ilo).

Jamaa yangu tukiwa tunapiga msuri mzito alikuja na dhana ya kututaka sisi wanageti tuache kujisomea mchana na badala yake tuwe tunasoma usiku wa maneno.

Ili kufanikisha ilo alitutaka Kila mmoja wetu tununue beseni na dumu moja kubwa la maji.

Alidai yakuwa Ili tuweze kuushinda usingizi lazima TUWEKE miguuu kwenye beseni liliro jazwa maji mpaka kati kati.

Namkumbuka rafiki yetu mmoja aliitwa Endrew Sasa ni mtumishi mwenye cheo kikubwa sana Jeshini alipinga dhana hii yeye alikuja na dhana ya kunywa kahawa au Kutafuna KUBELI usiku Kucha.

Binafis nilikupenda dhana ya kutafuna KUBELI usiku Kucha hakika hii ilinisadia ingawa ilinitia kilema Leo hii Mimi sifi Leo Domo langu la chini limelegea na kutapwata kama sehemu za Siri za ng'ombe kisa kuweka KUBELI Domo la chini.

Hapa niseme sikutafuna nilikuwa naiweka Domo la chini.

Wapi walio kuwa wanakunywa kahawa nao pia baadhi waliishilia kupata maradhi ya presha Kwa kuzidisha kahawa mwilini.

Walio kubaliana na kuloweka miguu, wao waliishia kupata virema vya miguu Yao kutepweta yaani mtu hawezi simama hata dakika kumi ONYAYO umelendemka.
(Hapa nambuka rafiki yangu ambae Sasa ni adui yangu kisa siasa ambae ni mkuu wa Wilaya Siku Moja nilimtoa mbele ya wanafunzi na kumpandisha kwenye jukwaa Ili atoe "Morning Talk" dakika Tano tu,kile kiwewe na kulendemka Kwa unyayo wake alisweti Mwili mzima,kuanzia usoni kwapani na sehemu za Siri, kama anasoma andiko Ili lazima atakumbuka, maana wakati huo Mimi nilikuwa kiranja wake wa ulinzi Siku Hiyo niliamua kumtoa kafala mwanangu"pole mwamba.

Dhana zote hizi zilikuwa na madhara Kwa sababu moja kuu hazikuwa na udhibitisho wa kisayansi ilo tu.

Leo hii nauliza Kwa Nini ccm na Rais wao ufanya kazi usiku?

Je utumia dhana(principle)ipi kati ya hizo nilizozitaja katika utendaji wao?

Nasema hivyo Kwa sbabu zifatazo:

Ally Karume alifukuzwa uana chama saa Saba za Usku sababu ilikuwa ni Nini?
Je Hawa watu wanataka tuamini yakuwa wakati sisi tumelala wao wanafanya vikao miguuu kwenye ndoo?wanatafuta KUBELI?au Mirungi?au wanavuta bangi Ili wasinzie?na wanafnye maamuzi sahihi?

Taarifa ya kufutwa uwakili wa mtoto wa Raisi wa Zanzibari uwezi amini nayo iliandikwa usiku,yaani mtu alilala na mkewe,usiku wa manane akaamka na kuandika baada ya hapo kulipokucha akatoa taarifa.

Ni majuzi tu hapa, rafiki yangu aliyekuwa mkuu wa wilaya fulani ambae niliwai andika yakuwa anaisiwa kumtafuna dent mmoja uko "nkoani" na mwingine wa Temeke wakiwa wameisha nyoosha "SUTI" zao Huyu wa mjini alikuwa anajipanga kwenda sabasaba anaamka saa kumi na mbili simu inapita "eti" wametenguliwa.

Najiuliza wanao fanya kazi usiku mnatumia thiory ipi kati ya hizo nilizo zitaja?
Je Kuna umuhimu wa nyinyi kufanya kazi usiku Ili muwanyime watu haki zao za Msingi?(mathalani za ndoa?).

Je hamuoni mnakosea?Leo hii uliyemfukuza kazi usiku kukicha unamtaka ufanye nae kazi sehemu nyingine?

Mathalani Kama Allya Happy na Makonda na Ole Sabaya uliwafukuza usku serikalini,iweje uwaitaji mchana chamani?

Nimesoma fasihi mkuu. Nimekuelewa sana kwa andiko lako
 
Makonda alifukuzwa na nani??
 
Usiku siku zote huusishwa na ghilba (udanganyifu/ujanjaujanja). Mchawi hawangi mchana hata siku moja.

CCM wamegubikwa na ghilba, chuki, usaliti na roho mbaya. Hivyo vyote vinakwenda sambamba na uchawi. Hivyo lazima mambo yao yafanywe kizani ili kutimiza maovu yao.

CCM NI LAANA KUBWA KATIKA NCHI HII.
 
Thanks
 
Back
Top Bottom