Nahitaji mtaji kiasi gani kuanza kufanya kazi ya uwakala wa kutoa na kuweka pesa???

Tallbata

Member
Jan 31, 2023
37
101
Wanajf ningependa niwashirikishe ili mwenye uzoefu anisaidie, m kjana ambaye natamani kufanya kazi ya uwakala wa kuweka na kutoa pesa ktk mitandao ambayo tumekua tunaitumia ila tatzo sijui nahitaji niwe na kiasi gani kama mtaji wa kuanza nayo kazi iyo ya uwakala ko yoyote mzoefu wa hizo mambo naomba anisaidie kunipa mwanga ili nijipange;
 
Naona watu wamegoma kujibu
Sasa basi jaribu kwenda kwa watu wanaofanya biashara hii anatolia mmoja atakusaidia. .
 
Wanajf ningependa niwashirikishe ili mwenye uzoefu anisaidie, m kjana ambaye natamani kufanya kazi ya uwakala wa kuweka na kutoa pesa ktk mitandao ambayo tumekua tunaitumia ila tatzo sijui nahitaji niwe na kiasi gani kama mtaji wa kuanza nayo kazi iyo ya uwakala ko yoyote mzoefu wa hizo mambo naomba anisaidie kunipa mwanga ili nijipange;
watu wengi wanashindwa kuhamu jambo 1 kuhusu biashara,mtaji wowote unaweza kuazishia biashara alimladi uchunge mambo yafatayo

kwanza wazo la bishara uayotaka kuifanya
2 sehemu ya kufanyia bishara hiyo

3 mtaji baada ya hapo malengo
 
Back
Top Bottom