matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,592
- 15,387
Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure).
Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho yaendelee kumburudisha mwanamke ambaye atazaa kwa uchungu tu.
Umasikini wa wanaume, hasa wazazi ambao wamepewa jukumu na Mungu kuandaa Urithi hadi kwa wajukuu ndio umepelekea kuibukq kwa mafuriko ya wanawake wadangaji, wapenda pesa na Pseupoprositutes ( Wanawake wanaojiuza kwa kificho, wafanyao tendo la ndoa kama chanzo cha mapato).
Nilitaka kuandika uzi wa kuwaponda wanawake wanaopenda starehe na pesa wakati namaliza para ya mwisho roho wa Bwana akanipa haya mafunuo.
Tafakari: Madhambi na makosa mengi ya wanawake wa kulaumiwa huwa ni wanaume ukichunguza kwa kina.
Ni hayo tu.