mwanamke mzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kijana ana lalamika kila mwanamke mzuri kaguswa au kazalishwa.

    Vijana wa nia nzuri wana lalamika kwa idadi ya masingle maza na ambao washamiliki usajili wa timu tofauti. Kwa wimbi ambalo napata malalamiko ni wale wenye nia ya kuoa ila kinacho waumiza wanawake wazuri walishakuwa toleo la iphone lilopita japo umri wao ni sahihi. Wafanye nini ?.Mimi...
  2. Sexer

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke mzuri wa kuoa

    Binti mrembo ambaye yuko tayari kutulia na mme aje inbox chap, umri wangu ni miaka 37, pia asome Uzi huu na azingatie Waepuke wanawake masikini
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pastor Nikki Shaboka, anakuambia hawezi kushindana na mwanamke aliyezaa naye watoto watatu. Ni ileile Facts niliyowapa. Mwanamke mzuri mzalishe watoto

    Hamjambo Wote! 1. Kuna wanaume wenye upeo Mdogo Sana. Ndio wale wanaotajwa wamezidiwa akili na wanawake. Ndio maana mambo madogo kama haya wanashindwa kuyaelewa. 2. Wanaume wote ambao uliwahi kuwaona hawababaishwi na Mapenzi wanatabia zinazofanana. Mojawapo ni kujua kuwatumia wanawake...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usiishi na Mwanamke Mzuri kisasa. Mzalishe chapuchapu angalau watoto wawili, watatu. Huna hasara hata mkiachana

    1. Sitachoka kuwafundisha ninyi vijana. Maana wengi wenu hamkuishi na Wazee nazungumzia wazee waliozaliwa kabla ya mwaka 1940. Hao ndio Wababu. 2. Mtibeli nilibahatika kuishi na Wazee waliozaliwa miaka ya 1920-1945. Nikajifunza baadhi ya issues kutoka kwao. Na bahati nzuri walikuwa rafiki...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ndo anagombaniwa? Bandari, Gas, Tanzanite, Graphite etc

    Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi, List ya urembo wa mama Tanzania, 1. SURA: Diamond, Gold, , Tanzanite, makaa ya mawe, Graphite, Chuma liganga, Nickel kabanga etc 2. KIFUA CHUCHU SAA SITA...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ni mwenye akili, tabia njema na mwonekano

    Anaandika, Robert Heriel Tz Mtibeli. Kwa Sisi watibeli mwanamke mzuri ni Yule mwenye akili, Tabia njema, na Mwonekano. Kuwa na kimoja hakukufanyi uwe mzuri. Kuwa na viwili hakulifanyi uwe mzuri. Lazima uwe navyo vyote. AKILI ZA MWANAMKE MZURI! 1. Lazima ajitambue yeye ni mwanamke 2. Lazima...
  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Jinsi Malezi ya Wazazi Wanaweza Kumuunda Mwanamke Mzuri wa Kuoa

    Katika safari ya kutafuta mwenza wa maisha, jambo moja ambalo halipaswi kupuuzwa ni malezi aliyoyapata mwanamke. Ingawa kila mtu anaweza kujifunza na kubadilika, msingi wa tabia, maadili, na mtazamo wa maisha mara nyingi hujengwa kupitia malezi ya wazazi. Mwanamke mzuri wa kuoa mara nyingi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Usikose Mwanamke mzuri kwa kuogopa Ukali wa maneno yao, Wanawake wa Arusha wanafaa kuoa

    Bwana bwana tembea uone. Msichana wa Arusha akikasirika kidogo anaweza kukwambia ntakuchoma kisu mimi. Au akitaka kukwambia kitu hata kama cha kawaida anaweza kulipuka kwa sauti kubwa ya ukali. Sasa ukiwa huwaelewi utawaogopa ukidhani hawana adabu. Kumbe ni hulka zao, wala hana hasira, na...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nitazishtaki shule za miaka hii ya 90 kwa Unyanyasaji huu mkubwa waliotufanyia

    Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa. Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ni yupi?

    Ndugu wana JamiiForums naomba kuuliza swali? Swali langu linaweza kuonekana la kawaida Ila lina maana kubwa wengine husema uzuri wa mwanamke ni tabia. Wengine husema uzuri wa Mwanamke ni sura. Je kati ya haya mawili sura na tabia lipi lipewe kipaumbele ninapochagua mchumba? Naomba kuwasilisha
  11. Analyse

    JamiiForums Tanzania Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Portion 01: Here We Go! ....Kwa upande wangu ni miongoni mwa wale watu wanaoamini maisha ni popote hivyo ni kawaida sana ukisikia naishi kijijini ndani ndani kabisa, cha msingi niwe naingiza hela. Kutokana na hiyo mentality, nimejikuta naishi sehemu nyingi sana hapa Tanzania. Moja kati ya...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ni mzuri tu haitahitaji makorokoro meengi ili aonekane ana mvuto

    Makucha ya bandia, mawig na makorokoro mengine mnajipamba na kujiremba ni takataka tu.
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

    USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tusiseme wana wa kike wa siku hizi wanapend pesa, ukweli ni wanawake wameumbwa ili waishi maisha mazuri ten yenye usalama.

    Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure). Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ni yupi?

    Ni yule asiyekupiga mizinga na haji kwa wakati pale unapomhitaji au ni bora yule anayekupiga mizinga na anakuja kwa wakati pale unapomhitaji? Nikimaanisha huyu anakuja kwa wakati akijua kuna hela atachukua, na yule mwingine anakuambia ana mapenzi na wewe ya dhati na ahitaji hela zako, lakini...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tufunge mjadala: Vijana wenzangu oeni mke mzuri ni huyu hapa

    Nimesikia yote kuhusu malalamiko baina ya wanandoa ila kubwa imeonekana tatizo ni watu hawapati watu sahihi Mimi nimeshuhudia mke sahihi atakayekupenda story yenu iwe kama ifuatavyo. 1.Umzidi umri kuanzia miaka 7-10. 2.Umzidi urefu kidogo sana 3.Umzidi elimu Na mafanikio 4.Atokee familia ya...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna raha kama kuwa na Mwanamke mzuri, mwenye Elimu na Pesa halafu awe anakupenda

    HAKUNA RAHA KAMA KUWA NA MWANAMKE MZURI, MWENYE ELIMU NA PESA ALAFU AWE ANAKUPENDA. Anaandika, Robert Heriel Ooh! Sitaki Mwanamke mwenye Elimu, Ooh! Sitaki Mwanamke anayejiweza kiuchumi, Hivi mmelogwa? Au hamjiamini! Hakuna kazi ngumu kama kuishi na Mwanamke asiye na Elimu yaani mjinga. Na...
  18. Surya

    JamiiForums Tanzania Usihangaike kutongoza Mwanamke Mzuri asiye na hisia na wewe. (Jinsi ya kutongoza.) Raha ya mapenzi kupendwa

    Kukataliwa na Mwanamke uliyetokea kumtamani sana imekua ni mala nyingi sana. Christian Ray nadhani hata wewe nimuhanga katika hili. but mala nyingi ni tamaa tu ya nje. na kumbe huyo mwanamke hana maajabu yoyote, raha ya mapenz ni kupendwa, so tafuta atakayekupenda na kitu gani kitafanya...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine kuyasema huenda ikaonekana ni aibu. Nina tabia ya kupenda Kila mwanamke Mzuri

    Kwema Wakuu! Natambua wapo wakubwa zangu humu ambao mnaweza nishauri na kuniongoza kwenye mazuri. Aisee! Nisiwe Mnafiki, sijui ni ugonjwa au ndio asili yangu, au asili ya kila Mwanaume. Nina tabia ya Kupenda kila Mwanamke Mzuri atakayepita Mbele yangu. Awali wakati Nabalehe miaka zaidi ya 10...
  20. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Aaliyah ndio mwanamke mzuri na mrembo kuliko watangazaji wote wa kike East Africa

    Ana sura nzuri. Ni mrembo. Anapendeza kila nguo. Ana swaggs. Ana mvuto. Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
Back
Top Bottom