TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Daah mimi niliomba kuunganishwa na fiber, nikajaza form huu mwezi wa nne hao technician wao sijawaona, nilifany follow up kama mara 2 hivi kuuliza, wanasema wameniweka kwenye list, ikifika zamu yangu watakuja?hawa jamaa ni wazembe balaa, nilichofanya ni kununua line yao na simu simbanet wakizingua najiunga kifurushi kwao
 
Pole sana mzee.
Karibu inbox
 
May be an image of text that says '4G LIE TτCι Corporation T-CONNECT Plus Tsh 5,000 3.5GB TU WIKI NZIMA Kujiunga Piga *148*30# Kwa zaid 00 100 00 embel ea ttcl_corporation Ru Rudi Nyumbani Kumenoga'

Peruzi mtandaoni ukiwa na kifurushi bomba kutoka TTCL. Piga *148*30# kujiunga.
#RudiNyumbaniKumenoga
 
May be an image of 1 person, standing and text that says 'Karibu tukuhudumie Mteja wetu & TTCι Corporation HUAWEI Tupo Viwanja vya Mazaina Chato katika kuadhimisha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru tumekuletea vifaa vya Mawasiliano kwa bei nafuu ttcl corporation Rudi Nyumbani Kumenoga'

Jipatie simu ya mezani kwa matumizi ya nyumbani na ofisini kwa bei nafuu.
Karibu sana

May be an image of 6 people and people standing

May be an image of 4 people, people sitting and people standing

May be an image of 4 people and people standing

Katibu Tawala Wilaya ya Kwimba Bw. Nyakia Ally (anayesaini) kitabu cha wageni ameipongeza TTCL kwa huduma nzuri na kutoa rai kwa Shirika hilo kuongeza nguvu vijijini. Kilele cha Mbio za Mwenge Kitaifa kinafanyika Chato mkoani Geita.
May be an image of 5 people, people sitting and people standing

May be an image of 5 people and people standing

May be an image of 3 people, people sitting and people standing

May be an image of 6 people and people standing

May be an image of 4 people, people sitting and people standing

May be an image of 4 people and people standing
 
Back
Top Bottom