modem

 1. sam green

  MODEM 4G

  wadau kwa wanaotumia modemu za 4g naomba kuuliza hapo kwenye speed huwa inasoma ngap? natanguliza shukran
 2. Mr Snow

  Naomben msaada wa ku_unlock modem ya Huawei E3372

  Habari wakuu, Naomben msaada wa ku_unlock modem ya Huawei E3372.
 3. M

  Msaada wa modem na router connection problem

  Habari wakuu. Nina changamoto kwenye suala la connection ya internet kwenye computer nahitaji msaada wa anaeweza kujua jinsi ya kusolve hili tatizo. Pc yangu ni DELL ina window 10, nilichange window siku ya juma tatu (25-01-2020) sababu window 10 ya mwanzo nilokua nayo ilikua ni Japanese...
 4. teac kapex

  Jamani Modem yangu imekufaje MSAADA

  Nina modem ya vodacom zile za zamani sijui nimeikorofisha wapi mara baada ya kui unstall na kui install Join air, hapo ndomkosa likaanzia. zamani ilikuwa ukiichomeka kwenye computer inajiinstall yenyewe automatic lkn sasa hivi wala haifanyi hivyo tena na hata ile dashboard yake haipo kwa hiyo...
 5. teac kapex

  Nahitaji dashboard ya Modem

  Wakuu siku nyingi za nyuma kulikuwa na Dashbord ya modem iliyokuwa inatumika kupiga simu hata kwa hizi modem ambazo hazijachakachuliwa ili zitumie line zote. Ni muda mrefu enzi zile akina mtimkavu ndo walikuwa wataalamu, sasa nimejaribu kutafuta thread iliyokuwa inazungumuzia hayo nimekoswa...
 6. Ulisikia Wapi

  Je, unapotumia Modem kuna uwezekano mdogo wa kutumia matumizi ya MB?

  Eti endapo utatumia Internet kwenye PC ambayo ni Hotspot kutoka kwenye simu na Endapo utatumia internet kupitia kifaa cha Modem Ni sehemu gani kunakuwa na Unafuu wa kusave MB?
 7. McMahoon

  Namna ya ku-unlock modem ya D-link 222 (DWM-222) itumie laini ya mtandao wowote

  Kwa njia hii utaweza kufungua modem ya dlink 222 na kutumia laini ya mtandao wowote ule Mahitaji Pakua D-link 222 (DWM-222) Unlocked Firmware SIM Card (laini) ya mtandao wowote ule Modem ya Dlink 222 Maelezo 1. Pakua D-link 222 (DWM-222) Unlocked Firmware kisha extract kwenye computer yako...
 8. McMahoon

  Namna ya kuunlock modem ya D-link 157 (DWM-157 Zantel) itumie laini ya mitandao yote

  Kutokana na watu wengi kuhangaika sana jinsi ya kuunlock modem ya Zantel Dlink 157. Leo nimewaletea solution bure. Hakuna gharama yoyote Baada ya kuunlock modem yako. Utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule kama vile Vodacom, Airtel, Halotel n.k Mahitaji Pakua D-link 157 (DWM 157) Unlocked...
 9. e2themiza

  Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

  Pata kujua jinsi watu wanavyounlock modem unakaribishwa kwa maswali na utasaidiwa. BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI --- --- === UFAFANUZI WA JUMLA WA NAMNA YA KUFANYA JAMBO HILI A. Jinsi ya kuunlock modem ya E303s-1 Kwa njia hii utaweza kuunlock modem zote za...
 10. mabuladaud

  Naomba mnisaidie, modem yangu nikiiunganisha na mobile hotspot inazima

  HAbari zenu wakuu? Naomba mnisaidie, modem yangu nikiconnect inazima mobile hotspot. Je, niwezeje kushare internet kwenye computer nyingine. Pia sms zikiingia zingine hazisomeki, yaani zinakuja alama za maneno tu. Nmejaribu ku unistall tatzo bado lipo.
 11. Murano

  Ni Modem gani ya 4G inayoweza kufanya kazi kwenye Macbook pro MOJAVE OS bila shida?

  Habari wakuu, eti Ni USB Modem gani ya 4G inayoweza kufanya kazi kwenye Macbook pro MOJAVE OS bila shida yoyote? kama unajua mahali zinapouzwa nijuze pia. Maana niimejaribu D Link na huawei wanaishia kusoma kwenye windows tu ila kwenye mac yenye updated OS hazisomi
Top Bottom