Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,969
- 97,628
Wabheja ngalo🤣Hongereni sana
Wabheja ngalo🤣Hongereni sana
Kwani wali sio affordable? Magimbi, viazi, mihogo, maboga....tena hivi hata bila mboga unakula.chakula affordable sana hiki Eve, tutakula nini sasa?😅
Msosi unadumaza akili huo najuta sana kuula 😂😂😂😂😂Ulikuudhi nini jamani🤣 au ulikosana na mpishi
Nimeimiss michembe, vile ipikwe afu ipate na chai 😋Na
michembe😂
Mchele kilo moja shingapi? Sh ef2500-3000 wakati mahindi sado nzima 3500 mnakula siku ngapi😂Kwani wali sio affordable? Magimbi, viazi, mihogo, maboga....tena hivi hata bila mboga unakula.
Hicho chakula chako bila mboga hakiliki 😂😂
Nini kilikutokea jmn share ur experience basii😂Msosi unadumaza akili huo najuta sana kuula 😂😂😂😂😂
Ushaila kwa maziwa? Oyaa😋Nimeimiss michembe, vile ipikwe afu ipate na chai 😋
Unaonaaaa sado nzima bei cheee ndo ujue sio chakula hicho 🤣🤣🤣🤣🤣Mchele kilo moja shingapi? Sh ef2500-3000 wakati mahindi sado nzima 3500 mnakula siku ngapi😂
Magimbi, viazi siwezi bora mihogo..
Wee kama una familia ndio utaelewa,
Ugali ata nachumvi unalika bwana😁
Michembe chai ya maziwa, unashiba hadi unaota ndoto mbaya 😃Ushaila kwa maziwa? Oyaa😋
Ugali tunakula tu ila ni chakula duni sana.Mchele kilo moja shingapi? Sh ef2500-3000 wakati mahindi sado nzima 3500 mnakula siku ngapi😂
Magimbi, viazi siwezi bora mihogo..
Wee kama una familia ndio utaelewa,
Ugali ata nachumvi unalika bwana😁
Bwana tuachie ugali wetu🤪Unaonaaaa sado nzima bei cheee ndo ujue sio chakula hicho 🤣🤣🤣🤣🤣
Nakuhakikishia ndoto zake sio mbaya😂Michembe chai ya maziwa, unashiba hadi unaota ndoto mbaya 😃
Dahh.. na huwezi kuwaelewesha kanda hii kuhusu hilo!Ugali tunakula tu ila ni chakula duni sana.
Kanda ipiDahh.. na huwezi kuwaelewesha kanda hii kuhusu hilo!
Mi mbona wa kanda na siupendi hicho chakula hapana jamani, nkiwa raisi naufuta ugali 😂😂😂😂Dahh.. na huwezi kuwaelewesha kanda hii kuhusu hilo!
Ya ziwaKanda ipi
Ili wa nyehunge na magu wafe na njaa ufurahi😅Mi mbona wa kanda na siupendi hicho chakula hapana jamani, nkiwa raisi naufuta ugali 😂😂😂😂
Naitikiaje?Wabheja ngalo🤣
Kwamba ni chakula cha mifugo?Unaonaaaa sado nzima bei cheee ndo ujue sio chakula hicho 🤣🤣🤣🤣🤣