Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,950
- 67,489
Hello
Leo nilipata mwaliko kwa mshikaji wangu kufika pale njaa zikatushika nikamwambia chakula chepesi na cha haraka hapa ni ndizi so tupike ndizi yeye alitaka tupike pilau mimi nimefuliliza kula pilau nikagoma
Chakufanya menye ndizi zako
Katakata nyama yako vzr chemsha ikisha karibia kuiva changanya nyama pamoja na ndizi karoti hoho njegere karoti saga kama livyo saga na sijaweka nyanya changanya na pilipili kama unapendelea kisha acha ziive kidogo
Msosi mtamu sana nipo kwa watu so sikuwa huru kupiga picha kila hatu ila kivile nawakubali sana washikaji zangu
Kitu hiko hapo