Tupike mlo wa haraka mchesho wa ndizi na samaki

Tupike mlo wa haraka mchesho wa ndizi na samaki

Hello

Huu naona mdio chakula chepesi kupika kwa haraka na kitamu hasa pale unapo kuwa umeshikwa njaa na tumbo lina tetemeka

Uta chukua ndizi zako mimi nimetumia mzuzu nikazimenya vzr kisha nika ziweka jikoni zikichemka baada ya mda nika weka samaki vichemke kwasbabu samaki achelewi kuiva so nilikuweka mwishoni ili asiolojeke

Niachukua na simba mbili nikaweka siku taka viungo vingi kabisa
View attachment 3488442
Na nazi ya azam niliweka baada ya kuona ndizi zimeiva pamoja na samaki so nikaweka nazi na pilipili ya unga kidogo sana
View attachment 3488443End of the day nimeonja chakula kitamu sana hapa nipo na kula na juice ya matunda embe na machungwa
View attachment 3488444
Actually nahisi kushiba sana leo si fikirii kama usiku nitakula tena

Jaribu na wewe utupe mrejesho
Kijana utaoa kweli ?🤔
 
Mkinipa mke mwenye pesa maana sipendi kuombwa pesa
C7788451-CBB5-4D31-B691-E1F0E08C04DA.jpeg
 
Back
Top Bottom