Tupike mlo wa haraka mchesho wa ndizi na samaki

Tupike mlo wa haraka mchesho wa ndizi na samaki

Picha linaanzia utotoni unakabwa ili kumeza ugali mlaini......

Hapo bold nimecheka mnooo 🤣🤣🤣🤣🤣
Usicheke ni janga la taifa hili, tumelishwa dona sisi mpaka tunalipenda kuliko ata wali😂 ni ugali na mawashio(furu) daily🤣
 

Attachments

  • 95B75631-5CCC-492D-BCE7-75DD978F0621.jpeg
    95B75631-5CCC-492D-BCE7-75DD978F0621.jpeg
    905.6 KB · Views: 16
Back
Top Bottom